hussenly18
New Member
- Aug 23, 2012
- 3
- 0
Tundu lissu ni mtu ambaye anaweza kuwa ni kigeugeu,miaka ya nyuma alikuwa anapigania haya mambo tena ikafikia hatua akawa anatukana viongozi wa serikali,leo katokea kiongozi ambaye anaonessha dira ya kupigania taifa,badala ya kumuunga mkono hata kumshauri afanye nn,amekuwa wa kwanza kupinga,ninachohisi huyu jamaa inawezekana hata hyo sheria yake alipata kwa kubahatisha,mwanasheria hutakiwi kuwa muoga,wanatakiwa wanasheria kumunga mkono raisi na sikuogopa kwenda kushitakiwa,kama kweli tuliingia mikataba mibovu hata tukiibiwa tusizuie?ebu tuweke pembeni siasa hili ni suala la kupigania haki yetu na kizazi kijacho
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app