Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

Tundu lissu ni mtu ambaye anaweza kuwa ni kigeugeu,miaka ya nyuma alikuwa anapigania haya mambo tena ikafikia hatua akawa anatukana viongozi wa serikali,leo katokea kiongozi ambaye anaonessha dira ya kupigania taifa,badala ya kumuunga mkono hata kumshauri afanye nn,amekuwa wa kwanza kupinga,ninachohisi huyu jamaa inawezekana hata hyo sheria yake alipata kwa kubahatisha,mwanasheria hutakiwi kuwa muoga,wanatakiwa wanasheria kumunga mkono raisi na sikuogopa kwenda kushitakiwa,kama kweli tuliingia mikataba mibovu hata tukiibiwa tusizuie?ebu tuweke pembeni siasa hili ni suala la kupigania haki yetu na kizazi kijacho

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
vilaza wa lumumba bhana
 
Uhuru usio na mipaka ni wenda wazima kuchamba kwingi utaondoka na kinyesi..
katika Nchii Tundu Lissu yeye ndio msomi pekee? Hakuna mwingine anayejua sheria za kitaifa na kimataifa zaidi yake yeye? Anajifanya yeye ndiye anaejua kila sheria na kila kanuni kwa Nchi hii ... who is he by the way..
kwa mtazamo wangu akiachiwa aendelee na upayukaji wake bila wanaohusika kuchukua hatua stahiki atawapotosha watu wengi sana..
uongo ukirudiwa mara nyingi hufanana na ukweli kwa wasioweza kupambanua...!!
i think kuna mahali salama zaidi panapomfaa huyu mtu zaidi ya Bungeni.
Tatizo lako unaishi kwa mazoea

Lisu hajakata wala haungani na mazungu
Ila alitaka itumike njia ya mazungumzo badala ya kuwazuia kibabe
kwan mikataba ni makaratasi kwan wasinge ipitia mikataba na kuwambia tunataka turekebishe mikataba badala ya kuzuia gafla wakati
wametuibia miaka takirbani 25
Mtukufu alishindwa nn kuita pande zote mbili kuja mezani na kukubaliana upya
Tuache mihemuko tujitafakari

Kitu mpaka kinafika bandarini ww umehakiki kila kitu ukamruhusu andoke anafika bandarini unadai unaniibia achani ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom