Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

Jamaa anachokonoa mpaka ashindwe kuvumiliwa sasa. Kuna analolitafuta sio bure.
 
Acacia Mining now a 'binary investment', figures Investec

Oliver Haill | 30 May, 2017

With shares in Acacia Mining down by more than a third since Tanzania's accusation that the company is grossly underreporting the value of its gold exports, Investec said the company was more of a "binary investment" as it "may not be dealing with a rational administration".

After an investigation of containers held at Dar Es Salaam port by a presidential committee, the FTSE 250 gold miner, which is 63.9%-owned by Toronto-based Barrick Gold, was accused of reporting only a tenth of the true gold content.

The committee claimed to have found gold content of 7.8 tonnes, or 250,000 ounces, which compared to the 26,000oz declared by the company and the 254,552 oz produced in the calendar year of 2016.

"We had expected the concentrate ban to be resolved, anticipating perhaps some penalty in the form of increased tax prepayments," said Investec on Tuesday, keeping its 'hold' rating and setting a 'binary' target price outcome of 512p or 235p.

"However, given the implausible assertions being propagated by the Tanzanian government, it now appears that Acacia may not be dealing with a rational administration and that there may not in fact be an equitable resolution to come.

"Unless some resolution is reached, Acacia now faces the prospect of a protracted and costly legal battle in international courts."

The fall in the share price might arguably reflects an appropriate risk adjustment, analyst Hunter Hillcoat wrote, were it not for the improbability of the government’s assertion.

If Acacia decides to close its Bulyanhulu and Buzwagi mines to focus on its one remaining mine in the country and emerging production from Kenya, his valuation for the shares crashes to 235p as 2018-19 earnings per share forecasts would reduce by more than half, but if the situation is resolved the base case of 512p offers plenty of upside.

"Our sense is that Acacia is now more of a binary investment – it is either worth what it was before this situation, or it is worth the cash that it has in its (non-Tanzanian) banks. We cannot recommend investment in Acacia until the Tanzanian authorities provide some comfort that companies can operate there under predefined agreements."

Acacia Mining now a 'binary investment', figures Investec | Digitallook.com
..................................................................................................................................

Hakuna hata mtu mmoja mpaka muda huu ambae ameshutumu matendo ya serikari zaidi ya wanasiasa na wasomi wa Tanzania. Lakini kwa wengine wote as yet hakuna tatizo; what measures the government follows baada ya hapa and cooperation with ACACIA to resolve the matter ndio mziki unapoanza.

Naona lugha iliyotumika huielewi
 
Jimbo la IKungi anakotoka LISU ndilo eneo linaloongoza tanzania nzima kwa kuwa na vichaa wengi.Dodoma kunaongoza kwa kuwa na vipofu wengi.Ikungi singida inaongoza kwa kuwa na vichaa wengi.kwa takwimu za wizara ya afya.
Unaanza kashifu watu kwahiyo huko hakuna wanaccm je umeshidwa kujibu hoja lkn si ni ww na magufuli mlipitisha sheria mbaya kwa hati ya dharula na si ndio ccm kwa kutumia polisi mlimfunga ilimpitishe upumbavu wenu leo mnautowa wapi uzalendo just kwakusema tu mbona hakuwa kama wakina Mandela kuunyesha uzalendo kwavitendo
 
Je na hapa Tundu lissu alitoa pongezi za kijinga?: alisema hivi:""
Pongezi kwa kazi nzuri iloyofanywa na tume""

Conversation

Onesmo Frank @Oneschumo
·May 24

Replying to @TunduLissu
sema na raisi au unasikia aibu?

wosawosa @Philemo90386260
·May 24

Replying to @TunduLissu
ck zte mchango wenu hautasahaulika...dunia nzm inajua mliyasema haya miak mingi

Xav Bero @xavbero
·May 24

Replying to @TunduLissu
Ipo tena i karibu utampongeza na rais,,ila nauliza na hili nalo ni udikteta?

ahmed al-sheibany's @littlebahati
·May 24

Replying to @TunduLissu
Na kazi nzuri alioifanya rais ,, kiingozi mzuri ni km huyu hakuna kubebana wala kuangaliana sura

emmanuel ngwegwe @ngwegwe
·May 24

Replying to @TunduLissu
also pongezi kwa mweshimiwa raisi. mimi nakumbuka sana mchango wa mweshimiwa lema aliposema prof na dr ambao wako serikalini wamshauri raisi

Kasugaalon@yahoo com @Kasugaalonyaho1
·May 24

Replying to @TunduLissu
Asante mkuu

john paul makuku @johnpaulmakuku
·May 24

Replying to @TunduLissu and @Mozzymuz
Tume imafanya kazi nzuri raisi amefanya maamuzi mazuri tofauti nakumlinda kwa muda mrefu angakuwa akijua mhongo alituhujum kipindi cha apa

Emmanuel Emmanuel @Know_masta
·May 24

Replying to @TunduLissu
Majizi ya rasilimali zetu kwa kigezo cha usomi, lazima yafikishwe mahakamani na kufilisiwa
 
Na hapa Tundu lisu alitoa pongezi za kijinga?
Kasema hivi: " pongezi kwa kazi nzuri ya tume"

You sexless, homeless, dead walking kid.. Listen & stop arguing with ur lowest IQ hell ur..!! Govinda wa akili wee.. Nitakupiga ushike adabu hukufunzwa chicken droppings kum@nyoko wee

1: Once the correct amount of GOLD, SILVER, COPPER, and other minerals are identified thru SGS and publicly announced eg ni 1gramme of Gold per Kg of Sand Concentrates while the correct amount is almost 32gms of GOLD per kg, likewise other minerals wame low amount wameiba kwa kiwango kikubwa mno mno kusema kiwango kidogo mno mnooo kilichopo ktk mchanga, meaning walisema just 1/10 of correct amount.. Huu ni uwizi na ni kosa kubwa kuiba kwa kuficha kiwango sahihi cha madini ktk mchanga.. Ni kosa kubwa, mkataba wowote unataka uweke wazi kabisa the correct amount ya unachovuna na ur expenditures.. Ili kodi sahihi ikatwe na si kudanganya like ACACIA..

2: Issue sio mchanga wa madini kupelekwa nje, issue is what CORRECT amount ya madini yanapelekwa nje? Na correct amount tumejua na wamedanganya sana sana for 17 yrs.. Hapa tumeibiwa for 17 yrs, hakuna mkataba wowote unahalalisha kuibiwa kwa kiwango hiki, alafu kuna mijitu of ur type with arrogant mind ever mnatetea huu use.nge? Mkataba una room ya kuuvunja haraka ikiwa kuna uwizi na udanganyifu mkubwa kutoka upande mmoja.. Acacia ni wezi wakubwa

Sasa plus you mwizi mkubwa, tutawamaliza wezi nyie.. Na Mh. Rais atawanyoosha, na mtakoma mkomae halo ni bado, subiri, mafisi wakubwa nyie.. Tutawashikisha adabu na tutaona..
We bushman sikia hata kama asilimia iliyomo kwenye mchanga ni 99% kama ipo ndan ya mkataba itatucost!
Swala hapa ni mkataba unasemaje!
Kamuulize Mkapa mkataba unasemajena waliposain waliwaruhusu kubeba mchanga? na walikuwa wanajua mchanga una % ngapi ya dhahabu!
 
You sexless, homeless, dead walking kid.. Listen & stop arguing with ur lowest IQ hell ur..!! Govinda wa akili wee.. Nitakupiga ushike adabu hukufunzwa chicken droppings kum@nyoko wee

1: Once the correct amount of GOLD, SILVER, COPPER, and other minerals are identified thru SGS and publicly announced eg ni 1gramme of Gold per Kg of Sand Concentrates while the correct amount is almost 32gms of GOLD per kg, likewise other minerals wame low amount wameiba kwa kiwango kikubwa mno mno kusema kiwango kidogo mno mnooo kilichopo ktk mchanga, meaning walisema just 1/10 of correct amount.. Huu ni uwizi na ni kosa kubwa kuiba kwa kuficha kiwango sahihi cha madini ktk mchanga.. Ni kosa kubwa, mkataba wowote unataka uweke wazi kabisa the correct amount ya unachovuna na ur expenditures.. Ili kodi sahihi ikatwe na si kudanganya like ACACIA..

2: Issue sio mchanga wa madini kupelekwa nje, issue is what CORRECT amount ya madini yanapelekwa nje? Na correct amount tumejua na wamedanganya sana sana for 17 yrs.. Hapa tumeibiwa for 17 yrs, hakuna mkataba wowote unahalalisha kuibiwa kwa kiwango hiki, alafu kuna mijitu of ur type with arrogant mind ever mnatetea huu use.nge? Mkataba una room ya kuuvunja haraka ikiwa kuna uwizi na udanganyifu mkubwa kutoka upande mmoja.. Acacia ni wezi wakubwa

Sasa plus you mwizi mkubwa, tutawamaliza wezi nyie.. Na Mh. Rais atawanyoosha, na mtakoma mkomae halo ni bado, subiri, mafisi wakubwa nyie.. Tutawashikisha adabu na tutaona..
I argue with real men,,,,not a boy like u with those Vegetables between ur legs! Dume zima unaongea hivi? I pity ur girlfriend manaake having u for a man is the highest risk in life!
 
Mwanasheria wa kukosoa maendeleo ya nchi yaani anashabikia tuendelee kuibiwa na kunyonywa hana akili kabisa kama ndy upinzani sasa too much.
 
Zigi zaga umeongea vyema, hilo ujue watanzania tulivyo, nilitegemea Tundu lisu atoe jinsia mbadala ya kuisaidia inchi yetu, Mara nyingi tundu yeye ni kuponda tu, sielewi sasa labda kwa sababu tunatofautiana uwezo wa kutoa mawazo.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Ila si wanatuibia lakini? Lissu to a njia sahihi ya kulimaliza hili! Siyo kuponda bhana!!!!
Raisi ndo atafute njia sahihi au Lisu? Mmezoea kudanganywadanganywa mkiambiwa ukweli mnaona watu hawawatakii mema but rejea tu kwenye ile kesi ya samaki ndo utajua anamaanisha nini
 
jambo la msingi bunge limsaidie rais kwa kuomba mikataba yote ipitiwe upya. pia bunge liache tabia ya kupitisha mambo kwa hati ya dharura. pia bunge liwanyang'anye vyeo vya bunge watu wote waliohusika kupitisha mikataba hii ya kimangungo .pia bunge lipendekeze kuvua kinga viongozi wastaafu walioliingoza taifa katika mikataba mibovu. vinginevyo waache vigelegele vya kimsifu rais kinafiki.
Hilo sio bunge tena bali ni katiba mpya. Na ni wabunge wapi watakao liomba hilo? Ni hawa wa ccm waliopitisha hizo sheria au ni wapi?
 
Back
Top Bottom