filadelifia toto
Senior Member
- Apr 3, 2017
- 111
- 41
Sio kiongozi wa Nchi tu.hata kama nimwanao,kama umeamua na unaelewa,jina lake litaanza na herufi kubwa.Katika Kanuni zote za Uandishi mahala popote pale duniani neno la Kiongozi wa nchi huandikwa kwa kuanzwa na herufi kubwa ila mwenzetu Wewe kwa kuonyesha dharau yako ya Kisiasa hasa kwa Kiongozi aliyepo ambaye unaonekana humpendi umemuwasilisha kwa kumuandika raisi badala ya Raisi / Rais. Sidhani kama ingekuwa Kipenzi chako Lowassa ndiyo Kiongozi wetu ungeuandika hivyo raisi. Acheni dharau za Kipumbavu na mkasirike, mnune hadi mpasuke Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ndiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mpaka 2020 na kuanzia 2020 hadi 2025 na tunafikiria pia kumwomba atuongoze hadi pale atakapochoka Yeye kwani tunaona huyu ndiye Nyerere wa pili hapa Tanzania.
Kuna vijana humu JF wanaamin kabisa kua JPM hajawahi kuwa mbunge wala waziri kwa katika serikali zilizopita na wao wamemjua tu baada ya kua Raisi.Huo unafiki mkubwa sana swala mikataba mibovu ya madini lilipigiwa sana na wabunge wa upinzani lakini walionekana wajinga.!