kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,636
Kwa tahasisi kubwa kama clouds kufanya suluhu na watu fulani wa mtaani kama vinega ni jambo lisilo wezekana kiraisi kama hakuna negative effect kwenye hiyo tahasisi. Uongozi wa clouds sio wajinga kukubali kufanya suluhu, waliona jinsi gani mtandao wa vinega umeanza kuwaadhili kimapato. Kwa hiyo wao ni kama wamemwangukia sugu na wasanii kwa makubaliano ya kugawana green pasture