Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Na sijui kwann watu wamechukizwa na hawa jamaa kupatana? Kwa hyo watu walitaka waendelee na 'bifu' tuuuuuu?
Hawa (Sugu na Ruge) si Watanzania wenzetu? Kama wamepatana kwann tuchukizwe na kitendo hicho?
"Heri wapatanishi..." Math 5:9
Nchimbi na Lissu hongereni kwa kulisimamia hili. Hatuhitaji kukaa tunagombana.
Sisi (Watz) sote ni ndugu.

Nakubaliana na wewe mkuu!!!
 
Duh kweli hii serikali imekosa kazi. Badala ya waziri kushughulikia mambo ya msingi anatumia resources zetu kupatanisha washkaji waliodhulumiana.
 
Safi mwanzo mzuri sasa tusubiri utekelezaji wa hayo waliyokubalia Mh. Mbilinyi na Bw. Ruge ili ukweli wa "muafaka" utimie
 
taarifa:kwanza poleni na samahanini kwa hali ya sintofahamu iliyotokea leo kutokana na taarifa za ghafla za usuluhishi kati yetu na ruge/clouds fm,ni kutokana na unyeti wa issue yenyewe ilibidi tufanye hivyo kwa nia njema kabisa...kwanza naomba tujipongeze kwa kuwa tukio la leo ni ushindi kwa vinega kwa maana kwamba madai yetu yote ya msingi ndio yalikuwa msingi wa majadiliano na ruge amekubali kuyatekeleza yote...kuanzia suala la studio ya raisHongera Sugu na wadau wote walioshiriki kufanikisha maridhiano!
 
Shule nzuri jamani. Sasa wewe Sugu ndio nini kuandika mi "Capital Letters" kurasa yote. Nyie wabunge ambao hamjaenda shule ya kutosha inabidi muajiri washauri waliosoma na kukubuhu katika mambo haya, jambo dogo sana linaweza kukufanya ukaonekana jinsi ulivyo.
 
Kwa mpenda maendeleo ya muziki wa bongo fleva atafurahia hatua hii muhimu walioifikia MHESHIMIWA SUGU na NDG RUGE Kama kweli wana nia ya dhati ya kumaliza mgogoro huu basi MAPATANO YAO YAWE YAMETOKA MIOYONI MWAO na si kwenye vinywa vyao wakati mioyoni mwao bado wana hila.Tunasubiri ushirikiano wenu katika kuinua vipaji vya wanamuziki wa kizazi kipya na kizazi pendwa.NAWAPONGEZA WAHESHIMIWA WOTE WALIOSHIRIKI KUWAPATANISHA NA NINAWOMBA MUENDELEE KUYASIMAMIA MAPATANO HAYO
 
Wajanja tulisanuka kitambo!!!kaomba msamaha kalapina mbishi mpaka anajibishia mwenyewe itakuwa sugu?mapatano mazuri ila kimziki wa mtaani hili ni pigo kwani hip hop ya beef ndo tamu!binafsi ntamiss mikono ya anti virus...
 
Antivirus na vinega nimekubali ni soo!mpaka ruge ameshusha silaha chini!alijifanya choko kumbe vinega ni nyoko zaidi yake!
 
Safi sana hii,mani alijua maalim seif na Aman karume hazitatoka? Kweli watanzania nyongo zetu safi haah!
 
Back
Top Bottom