Ushauri: Tundu Lissu usihudhurie Interview nyingine itakayopangwa na WASAFI FM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,386
Screenshot_2024-02-07-09-45-19-1.png

Baada ya leo kushindikana kwa Mahojiano yaliyopangwa kufanyika kwenye Studio za Wasafi FM , Baina ya Watangazaji wa kituo hicho na Tundu Lissu , imekubaliwa kwamba itapangwa siku nyingine kwa ajili ya jambo hilo

Ukweli ni kwamba Sababu zilizotolewa na Wasafi media kama utetezi wa mkanganyiko huo hazitoshi hata Chembe , na baada ya uchunguzi wetu tumeanza mara moja kutilia mashaka jambo hili iwapo litafanyika wakati mwingine .

Sababu kuu iliyotolewa na Wasafi Media ni kwamba HAWAKUJIPANGA , mahojiano muitishe nyie halafu mnasema hamkujipanga ! mwataka kujipangaje , ili iweje ?

Ushauri wetu kwa Tundu Lissu asithubutu kuhudhuria mahojiano mengine kwenye studio hiyo , au kama ni lazima ahudhurie basi ni muhimu na ni lazima aende na mic yake pamoja na kiti chake , hii ni kwa sababu za kiusalama .

Naomba kuwasilisha .
 
Ukitaka kusikika na kama una cha kusema wewe nenda popote au kwa yoyote haya mambo ya kuzungumza au ku-deal na watu ambao sio hostile mwisho wake ni matatizo yanayotukumba sasa hivi (Information Bubbles); Yaani tunadebate na watu tunaokubaliana nao na sio vinginevyo...

Hence aende kwa hata kwa wale ambao wanacheza rafu ili awa-convert wamuelewe huenda akaongeza wadau..., Binafsi ni bora kukutana na Challengers kuliko Yes Men....
 
Wacha kiherehere. Ulikuwa unahojiwa wewe?Aliyetaka kuhojiwa karidhika wewe zumbukuku unakaza fuvu kujipa umaarufu na uwezo usiokunao.

Kuna tatizo gani mtoa mada kutoa angalizo? Kama muhalifu mwenyewe anasema mna michezo ya sumu, Lisu ni nani asipewe tahadhari? Au ww ndio uko kitengo Cha kupakaa sumu Nini?
 
Kuna tatizo gani mtoa mada kutoa angalizo? Kama muhalifu mwenyewe anasema mna michezo ya sumu, Lisu ni nani asipewe tahadhari? Au ww ndio uko kitengo Cha kupakaa sumu Nini?
Tahadhari ya nini?Mnapenda yellow journalism na uzushi wa kijinga.Kuhusu Lisu yeye ndiye ana hiari ya kuhojiwa au kutohojiwa kwa kuangalia faida na hasara. Na hayo madai yako mengine ni ukichaa ambao sistahili kukujibu.Unataka ujibiwe paranoia?
 
Narudia tena, michezo ya sumu ni tabia yenu na ushahidi upo, ni juu ya wenye mapenzi mema na Lissu kumpa tahadhari. Jibu usijibu hilo utajua wewe.
 
Back
Top Bottom