Tundu Lissu, Nchimbi wawapatanisha Mr Sugu na Ruge wa Clouds FM

Kwa tahasisi kubwa kama clouds kufanya suluhu na watu fulani wa mtaani kama vinega ni jambo lisilo wezekana kiraisi kama hakuna negative effect kwenye hiyo tahasisi. Uongozi wa clouds sio wajinga kukubali kufanya suluhu, waliona jinsi gani mtandao wa vinega umeanza kuwaadhili kimapato. Kwa hiyo wao ni kama wamemwangukia sugu na wasanii kwa makubaliano ya kugawana green pasture
 
Very honest advice mkuu tena kutoka kwa mkongwe unayeheshimika kama wewe! Binafsi nimekaa na kuzungumza na hawa wasanii inahuzunisha sana! Tena wasanii wakubwa ajabu! Brother Ruge badilika mahangaiko haya ya Dunia tusiyoijua kesho tujifunze kuwa roho safi! Yetu macho!
Mkuu Mtazamo, hapo kwenye bold pamenitafakarisha sana, ila pia kuna watu wana power za kauli bila kujijua, usikute kama alikuwa anasoma JF, akazingatia ushauri wako, usikute saa hizi angelikuwepo.

Rip Ruge Mutahaba, gone too soon.
P
 
Kiukweli Jamaa alikuwa genius. Pia nimesoma na ndugu zako tangu primary, secondary hadi chuo, jamaa walitukimbiza sana darasani, vichwani mko safi, ingebidi Tanzania tufanye research kwa nini Wahaya wana akili sana, ili kama sababu ni kula ndizi, Watanzania tule ndizi, au kama siri ni wanawake wao kujiachia na kufurahia lile Tendo la kutengeneza watoto, tuwahimize Wanawake wote wa Tanzania, wajiachie kwenye lile somo na wafurahie, yaani wa enjoy ili conception itokee kwenye happiness environment, sote tupate watu wenye akili kama Wenzetu.
Ingefanywa research ya idadi ya ma professor kwa makabila, watu wangeshangaa!.
P.
 
My Take.
Kupatana ni jambo jema, hivyo sasa tutaziona nyimbo za Sugu na Vinega zikirindima Clouds japo msitegemee kuusikia Anti virus!.

Kupatana ni jambo moja, kutekekeza mapatano ni jingine, na kuyatibu makovu ya bifu lao pia ni jambo jingine kabisa.

Kwa maoni yangu, nawaona Jo na Ruge ni magentlemen na sio watu wa visasi hivyo lazima wakubali to strech their reconciliation hands a bit more ili kuwa accomodate the wounded ones ambao wana makovu ya udhalimu wao!.

Nawapongeza wote kwa uamuzi huu!.
Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu Mathayo 5:9!.
Huyu jamaa ni mpatanishi, kwenye 5R za Samia, R ya kwanza ni Reconciliation, Upatanishi. Hongera CCM kupata KM Mpatanishi, huyu atamsaidia sana yule dogo mtata, mpenda kiki!.

Makonda NI jambazi tusimung'unye maneno.

Nilikuwa namuunga mkono mama tangu fedhuli atwaliwe kuzimu, lakini kitendo cha kumteuwa huyu jambazi mama hayupo serious.

Kosa la Kwanza la mama wizara nyeti ya umeme unamuweka Makamba, Mkurugenzi Maharage Chande, CCM inawadharau Sana Watanzania lakini Ole wao, watakwenda kuishi kwenye apartment zao Dubai kuna wakati wa Mungu CCM hawaujui.
 
Vipi Mbowe kaitisha maandamano utakuwepo?
 
Nilikuwa namuunga mkono mama tangu fedhuli atwaliwe kuzimu
Kwanza Blaza wangu yule japo alikuwa Dikiteta lakini hakuwa fedhuli na hakwenda kuzimu!, yuko peponi!.

Sii wengi wanafahamu jinsi hukumu ya mwisho inavyoendeshwa, inaendeshwa kwa mzani, kupima idadi ya matendo mema na matendo mabaya, mema yakizidi, unaingia peponi, mabaya yakizidi unatupwa motoni!.

JPM ametenda mema mengi kuliko mabaya na maovu yake hivyo emeingia peponi, Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani tena kwa wenzetu wa dini ile... saa hizi anaenjoy zake na wanawali 7!.
P
 
Mkuu Mtazamo, hapo kwenye bold pamenitafakarisha sana, ila pia kuna watu wana power za kauli bila kujijua, usikute kama alikuwa anasoma JF, akazingatia ushauri wako, usikute saa hizi angelikuwepo.

Rip Ruge Mutahaba, gone too soon.
P
Dah!....,kauli nzito sana hii...

Rip Ruge...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom