mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,236
- 954
Hii ipelekwe jukwaa la mahaba!
Mods, kuna thread tatu humu zinazohusu hii habari. Niaje?
kweli,hii inaonesha ubinafsi wa sugu,kumbe alikua anawatumia tu wale watoto kina adili bila wao kujijua kwamba wanacheza ngoma wasiyoijua,je harakati zile ndio tuseme zimekwisha kwa sugu kuingizwa kwenye mtandao wa upigaji wa maslahi ya wasanii?kina adili na wenzako kama mnanisoma jipangeni muendeleze harakati kivyenu huyu nahodha wenu sio nahodha shupavu,meli ilipopigwa mawimbi akaamua kujitosa baharini na kuwaaacha nyie mabaharia na chombo majini endelezeni safari.Bifu lao lingekua la kutegeneza hela,these guys culd b billionaires,zaid hata ya hivyo visent vya malaria wanavyo lilia,mwisho wa siku sugu kawauza wenzie wa vinega,ts very sad.
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
Maskini vinega ... Waliamini kwamba sugu anapigania haki za wasanii kumbe alikuwa na issue zake binafsi ..kina mkoloni walikuwa wanacheza ngoma wasio ijua ..
Labda tujiulize,
Harakati zozote hua zina malengo yake, unafikiri malengo ya vinega yalikua ni nini??
Yaani movement tu zisizo na malengo zinasaidia nini??
Ulitegemea Sugu awe mwanaharakati milele hata kama anachopigania kishapatikana??
Uanaharakati usio na malengo wala kikomo??
Labda tujiulize,
Harakati zozote hua zina malengo yake, unafikiri malengo ya vinega yalikua ni nini??
Yaani movement tu zisizo na malengo zinasaidia nini??
Ulitegemea Sugu awe mwanaharakati milele hata kama anachopigania kishapatikana??
Uanaharakati usio na malengo wala kikomo??
Studio aliyoitoa Rais JK inarudishwa kwa wasanii kwenye chombo chao husika na sio mali ya THT tena kupitia kampuni yao ya kitapeli ya Fleva UNITY.hapo kwenye RED toa mfano... me i can see no changes .. THT itabaki kwa Ruge .... mambo mengine yapo kama kawaida ... SUGU kaingiza wenzake choo cha kike..!! ... hehehe!! HAKUKUA NA NA UHARAKATI HAKUKUA NA LOLOTE .. HII ISSUE ILIKUWA NI YA KI BINAFSI .. DILI LA MALARIA .. KINA MKOLONI WALIKUWA WASHIKA PEMBE TU...