Shamba lenye ukubwa ekari tatu.kila ekari moja laki nane,Shamba zuri kwa makazi,kilimo na ufugaji,mazao yanayo kubali,Mahindi,karanga.mihogo,matango,bamia,hoho na nyanya,umbali toka mtoni mita 800.,pia zipo ekari nyingine bei zinatofautiana kulingana na umbali wa mto,.milioni tatu mpaka 2.karibuni
 
Ipo Kinyerezi ,bei milioni 29.vyumba vitatu,viwili master,umbali mpaka bara bara kuu unatembea dakika tatu,maji na umeme vipo jirani.kwa muitaji nicheki pm
06f0a6ac41c4b1915693015e314dddf6.jpg
 
Ipo Kinyerezi ,bei milioni 29.vyumba vitatu,viwili master,umbali mpaka bara bara kuu unatembea dakika tatu,maji na umeme vipo jirani.kwa muitaji nicheki pm
06f0a6ac41c4b1915693015e314dddf6.jpg
Tangazo hili zuri sana. Kushinda lile tangazo la kiwanja kinachouzwa kule Salasala. Nilipojaribu kuhoji eti Mods wakanipiga Ban. Kwa hiyo ninyi Mods mnataka tuwe tunabambikwa viwanja?
Hii nyumba ingekuwa iko maeneo ya Mwananyamala ningeinunua kwa milioni 22. Eti mkuu si ungekubali?
 
Watanzania tujifunze kufanya biashara za mtandaon..

Tangazo kama hilo ni lazima ungeweka taarifa muhimu kama ukubwa wa kiwanja, je kiwanja kina hati ? , Umbali mpaka barabarani ni kama kilomita ngapi ??? .....

Mwisho ungeweka namba yako ya simu kwa Sababu si watu wote wanunuzi wapo jamii forum kuna wadau wana ndugu jamaa na marafiki wamaweza kupewa namba yako wakakucheki
 
Ukubwa Kiwanja 20 kwa 20.Kiwanja kina hati,okey asante ila Mteja serious pm sio mbali anakuja nampatia namba
 
Hebu wacha biashara za ujanjajanja kama upo serious basi weka namba zako za simu sio maneno. Na picha za ndani ya nyumba sio nje
Duh Nyumba ambayo haijakamilika kweli ya nje kwako haina maana,sawa Mkuu nitapiga na za ndani niweke
 
tuwekee namba za simu tuwasiliane, unauza nyumba halafu unafanya siri
Namba ukiitaji nakuletea pm.siwezi weka public namba maana sio ya biashara na siwezi nunua laini mpya kwa ajili ya kuuza Nyumba tu.unawajua watu wasiojulikana?nakutumia pm namba,yeyote anataka namba nampa pm
 
Back
Top Bottom