Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Mdogo mdogooo....
E August hapo
 
Attachments

  • IMG_0506.jpg
    IMG_0506.jpg
    45.9 KB · Views: 50
DZA...899

DZB.....889

C hadi Z ukiondoa I na O unabakiwa herufi 22.

tutumie herufi B.

899*21=18,879

TRA wanasajiri wastani Wa 3000 kila mwezi.

bado miezi 7 kufika E,

itakuwa November huko, lakini uhalisia ni 2023 ndo E unaiona kitaa.
 
Kwa wastani herufi moja kwenda nyingine ni miezi 4,
E Agust katikati
 
Back
Top Bottom