Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

Bila ya Mbowe Kuondolewa Madarakani CHADEMA ili Kukisafisha CHADEMA kutoka kwenye ukabila alioupandikiza, CDM itaishia kuwa Kama NCCR, Hasa Ukitilia Maanani Kuwepo Kwa vyama vingine vya Upinzani vyenye Demokrasia mbadala na kubwa kama ACT.

ACT ina democrasia gani ikiwa zitto anaitwa kiongozi mkuu ili hali mwenyekiti yupo? Sasa mwenyekiti ataitwa nani? Amepora madaraka ya m'kiti, wewe unasema wana democracy, you must be out of your mind.
 
Naona umegeuka mpiga ramli au umerithi cheo cha shekh yahaya.Mwaka huu mabadiliko lazima
 
huna lolote, hiki chama kisingeongozwa na Freeman Mbowe kingekufa mapema sana!


Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza na Mjinga haongozi werevu.

Mbowe Kakisaidia Sana CHADEMA lakini ukomo wa uwezo wake kwa sababu ya shule yake ndogo, ulishatimia siku nyingi. Ligi yake ni ya Daraja la Pili.

Angewaachia wasomi, k.m. Zitto, Kitila n.k., kukisogeza CDM mbele, sio ajabu wangekuwa sasa wanachezea ligi Daraja la Kwansa, lakini kama ujuavyo tena, Sikio la Kufa halisikii dawa.
 
Wengine sasa ndiyo tunalia na kusaga meno na kujuta sana kwa utawala uliopo sasa sijui kilio kijacho kitakuwaje. ila ni bora kwenda kujaribu usikokujua kuliko kwenda kule unakokufahamu kwa ubaya!.

ukiambiwa mwanaume huyu anaukimwi na mwingine haijulikani ya kuwa ana ukimwi au hana ukiambiwa chagua mmoja wa kuolewa nae utachagua yupi
bila shaka utachagua yule usiyemfahamu kwakuwa kuna nafasi ya kuwa anaweza kuwa hana kuliko yule nimjuae kuwa anao.

kwahiyo chadema hatujui wakichukua nchi watakuwaje lakini ccm hawana jipya tunawafahamu tangia uhuru tunao

Umepewa mifano na ipo wazi unasema ngoja ujaribu,unaambiwa viti maalum CDM vimetolewa kindugu,kikabila na kiuchumba bado unataka kujaribu,huu ni unyumbu!
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa kiza na Mjinga haongozi werevu.

Mbowe Kakisaidia Sana CHADEMA lakini ukomo wa uwezo wake kwa sababu ya shule yake ndogo, ulishatimia siku nyingi. Ligi yake ni ya Daraja la Pili.

Angewaachia wasomi, k.m. Zitto, Kitila n.k., kukisogeza CDM mbele, sio ajabu wangekuwa sasa wanachezea ligi Daraja la Kwansa, lakini kama ujuavyo tena, Sikio la Kufa halisikii dawa.

tatizo lenu ni tamaa tu ya madaraka, hamna lolote.. haya hao wasomi uliowataja wana chama chao umeona mchakato wa kumpata mgombea urais ulivyoenda?? wamechukua fomu hawajui ni nani ataijaza!!
 
ACT ina democrasia gani ikiwa zitto anaitwa kiongozi mkuu ili hali mwenyekiti yupo? Sasa mwenyekiti ataitwa nani? Amepora madaraka ya m'kiti, wewe unasema wana democracy, you must be out of your mind.

Zitto Kuitwa Kiongozi Mkuu Ni Kuheshimu Tu Umaarufu Wake, Lakini Hajalazimisha Kupewa Cheo Ndani Ya ACT Kinyume Ya Katiba Kama Walivyofanya MBOWE na LOWASSA.

CHADEMA sasa ni ya MBOWE na LOWASSA, Wengine Wote Hawana Usemi na ni Wasindikizaji Tu.
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Hivi CCM wanawalipa shilingi ngapi mpaka mnajitoa ufahamu hivi. JINGA kabisa wewe ina maana huoni mambo yote mabaya waliyotufanyia hawa mabwege? Halafu unakuja hapa kutuaminisha eti CCM iendelee tu.
Watu kama nyie ni bora mfe tu maana hamna faida yoyote.
 
Hivi CCM wanawalipa shilingi ngapi mpaka mnajitoa ufahamu hivi. JINGA kabisa wewe ina maana huoni mambo yote mabaya waliyotufanyia hawa mabwege? Halafu unakuja hapa kutuaminisha eti CCM iendelee tu.
Watu kama nyie ni bora mfe tu maana hamna faida yoyote.

Hakuna kufa mtu wala nini bali rais wako atabaki kuwa mpinzani tu. Chama chako kimetufanyia mazuri yapi mpaka iwe lazima kiongozi wenu huyo achukue nchi? Labda kama nchi itagawanyika ki ukanda anaweza kupata kanda moja tu uijuayo.
 
chitanda.nyoka mbona unapapatika kama kuku, safari hii
mtatumia kila mbinu lakini MaCCM wanaondoka madarakani, poleni sana!!
Lazima mtupishe hata mkiloga Mungu anatuepusha mnaondoka tuu!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna tofauti ya ccm na vyama vyetu vya upinzani,tuna vyama vya upinzani lakini havipendi kukosolewa hata vikoseapo kweli ni kama ccm.
Tuna vyama vya upinzani vyenye kutaka kuingia madarakani kwa njia yeyote hata nuru kuita giza na giza kuita giza ilimradi tu kutimiza malengo yao(kwa kututumia wananchi) ni kama ccm tu wanavyofanya ili kuendelea kuwa madarakani.
 
Ni kweli watu tumeichoka ccm lakini tulipaswa sie wananchi tuvitumie hivi vya vya upinzani ili tuwatowe ccm,lakini ajabu ni kwamba sie ndiyo tunatumika ili kutimiza malengo yao ya kukiondoa chama tawala bila sie kujihakikishia kama kweli kutakuwa na mabadiliko yenye manufaa kwetu au ndiyo kubadilisha watawala tu. Maana wananchi tumekuwa tukitumika tu.mambo wayatakayo na kuyapanga viongozi wa vyama ndiyo nasi tunayafuata tu tumekuwa kondoo zao.
 
tatizo lenu ni tamaa tu ya madaraka, hamna lolote.. haya hao wasomi uliowataja wana chama chao umeona mchakato wa kumpata mgombea urais ulivyoenda?? wamechukua fomu hawajui ni nani ataijaza!!

Kama ni Tamaa ya Madaraka basi Mbowe ameshashinda. Kang'ang'ania uenyekiti wa CHADEMA utafikiri Museveni au Mugabe.

Badala ya kuruhusu demokrasia ikue ndani ya CDM, yuko tayari kupoteza vijana machachari na wenye bongo Kama Zitto, Kitila n.k. Halafu anaenda kuuzoa uozo ulioshindikana CCM, JENEZA LINALOTEMBEA, Edward LOWASSA na kulipandikiza bila ridhaa za wanachama kuwa mgombea PEKEE hata bila ya kupigiwa kura za ushindani.
 
Kutoka moyoni naichukia sana CCM kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hizo za CCM bado sijaona chama ambacho kina uwezo wa kupigania maslahi ya watanzania sababu huko CHADEMA ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na CCM maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya CHADEMA tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua katika CCM kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok ila tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka Mkapa maana CHADEMA ndio mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hivi wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Una urapurapu na ufinyufinyu wa mawazo,kawa ambie waliokutuma kuwa "umefeli vibaya" LOWASSA ANATOSHA!
 
Tunafahamu ccm uongozi wake na kiapo cha serikali ni katiba ya 1977.upinzani una uongozi upi ambao wataufuata na katiba ipi kisheria watakaoifuata hebu watueleze hili siyo kushabikia mabadiliko tupeni picha isije kuwa ni kila mtu mabadiliko si tena sheria na kanuni kufuata bali mkanganyiko na mtafaruku tujitafakari
 
Tumeshalia na kusaga long time ago.. Bora tuone tutasaga vipi na ukawa... Hivyo hivyo mpaka kieleweke...
 
Back
Top Bottom