Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

Hiki chama cha kidini na ukabila kikiingia madarakani nawahurumia sn ndugu zangu waislam maana tangu aingie kikwete hawajapgwa cku nyingi kwahyo wame mic sana kubondwa ndo maana wanashabikia hk chama wakumbuke enzi ya mkapa halafu wafikirie wakiingia hawa jamaa maana bora ya mkapa hawa jamaa udini na ukabira wameweka mbele.

wewe kidudu mtu tu! siyo binadam kamili huna madhara wala nini na porojo zako. tena unatakiwa ukamatwe upelekwe milembe ukamalizie maisha yako huko.
 
kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(m4c)

hawa ndiyo watu wenye mtindio wa ubongo ambao wanazidi kuturudisha nyuma. Fikra potofu zisizokuwa na mashiko. Ni watu wa kuepukwa na kukimbiwa kama ukoma
 
chadema chama cha wahuni.

unafikiri kwa ****** na kuharisha kwa mdomo,gamba mkubwa we,kufa ulaya mazishi afrika,chukua herufi ya kwanza ya kila neno la kufa ulaya mazishia afrika na utanisoma,kenge mkubwa kabisa nahisi utakuwa unafi.........r......
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Mtu kuweza kuona au hata kuweza kuyajua yale yajayo mbele yako, inahitaji uwe na macho yenye akili. Kwa hiyo wewe kutokuona chama chenye uwezo wa kuiongoza Tanzania, haimaanishi kuwa hakipo, lakini uwezekano mkubwa ni kuwa huna macho yenye uwezo wa kuona, macho yanayoona kwa kuongozwa na akili.
 
unafikiri kwa ****** na kuharisha kwa mdomo,gamba mkubwa we,kufa ulaya mazishi afrika,chukua herufi ya kwanza ya kila neno la kufa ulaya mazishia afrika na utanisoma,kenge mkubwa kabisa nahisi utakuwa unafi.........r......

Naona MODS mmelala! mpumzike kwa amani ila jukwaa huku linaharibiwa!
 
weweumekuwa Mungu unayeweza kutabiri kesho kabla haijafika, ule wakati wakusema upinzani nivurugu umepitwa na wakati, kajipange upya uje na hoja zenye mashiko bana na sio haja kama hizi...
 
Kina mtei , kina mbowe , ndesao wote wana ndugu zao..namfahamu personally lisu, na kamweka dada yake Christina Kwenye viti maalum, wakwe wa ndesamburo ndani ya nyumba, sasa kuna usalama kweli hapo, yatakuwa yale yale ya ccm, hakuna tofauti, ni mabadiliko yao wenyewe, cha msingi ni kila mtu kuboresha maisha yake mwenyewe
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Hata itokee nini baba riz 1 hatutamkumbuka milele....
 
****! nenda kalale, no room for this shit
 
We sidhani kama ni mzima wa fikra, CDM hadi sasa ndo wanaosaidia angalau hii serikali ya CCM kuongoza kwa usahihi mfano wa juzi wa kuondolewa kwa mawaziri na kuteuliwa kwa mawaziri wapya hii ni nguvu ya CDM sasa kama wakichukua nchi nafikiri hali ya uwajibikaji itakuwa zaidi ya tuonavyo kwani wabunge watakuwa wengi tukijumuisha na serikali.nchi nyingi zimefanya mabadiriko mbona hatujasikia wakilia? mfano Zambia, Msumbiji nk. hayo ni maneno yako wee Gamba watz hatudanganyiki mabadiriko ni lazima 2015 kaa ukijua hivyo.
 
Vyovyote isemwavyo lakini ukweli kwa umma umeshafahamika na ndio maana utawaona Jangwani,nmc Arusha na kwingineko WAMEFURIKA.... HUKUMU NZURI KWA SASA TANZANIA NI NGUVU YA UMMA WALA SI chitanda.nyoka, MS. nk
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Asante kwa kuliona hili. CDM ni wadini na wabaguzi kupitiliza jamaa wanabagua mpaka wanachama wao. Hata Shibuda kaona tatizo lao nakumbuka alitetea posho akaundiwa kamati lakini yule mbunge wa Rombo alipotetea wala hakuundiwa kamati wala kupewa onyo sasa hii ndio demokrasi gani kama si ukabila. Dogo wao janja alitangaza kanda ya kaskazini kujitenga wala hakuundiwa kamati na kupewa onyo hati wanadai msukumo wa kisiasa ama kweli CDM inatufanya sisi wajinga yaani mtu anasema wana kaskazini wasiwe na shaka sababu wana tanzanite, mlima kilimanjaro na mreo na IKULu yao AICC bado unadai ameropoka tu? CDM itakufa kama CUF
 
Rais akiwa slaa baraza la mawaziri watajaa wajomba zao,kaka zao na madem zao kama walivyowekana ktk viti maalum km unataka dada yako awe mbunge mpeleke kwa mheshimiwa anagongwa anapewa nafasi pale hakuna kitu labda kama ww mchaga sawa unaweza ukaidika nauongozi wao sisi tulokua maofisini tunawaona ni wabinafsi watu wenye tamaa sana na hamriziki hata mpate vp ww angalia mchaga mtaani kwenu ana maghorofa,malori bado hatosheki anazidi kuweka wanae misukule awe na ghoro nyingi zaidi nendeni na chama chenu cha ukabila.

:biggrin1::biggrin1: dah watu mna hasira humu... sasa wewe huipendi ccm huipendi cdm..unataka chama gani..au anzisha chako basi
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Inawezekana unachosema ni kweli. Inawezekana kabisa kusiwe na mabadiliko makubwa sana hasa kama CHADEMA itaingia kwenye mfumo huu huu wa kikatiba na kisheria. Ila kuna jambo moja kubwa sana litatokea iwapo wataingia madarakani nalo ni hii "peoples power" wanayoimba CHADEMA kila siku. Hii maana yake ni kuwa wananchi watakuwa wameelewa na kufaulu somo moja la muhimu sana kwenye uhai wa taifa letu. Wataelewa kuwa wao ndio viongozi wa nchi yao na hawa tunaodhani kuwa ni viongozi kwa sasa ni mawakala/waajiriwa tu wa wananchi ambao wanatakiwa kutimiza wajibu wao ama kuondolewa kwenye uwakala/ajira yao. Changamoto kubwa watakayoingia nayo ni ombwe la Matarajio (expectation gap) ya wananchi ambao hawatakubali tena majobu rahisi kwa matatizo yanayohitaji tafakuri na majibu yenye kitatua matatizo halisi ya wananchi.
 
Back
Top Bottom