Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Wengine sasa ndiyo tunalia na kusaga meno na kujuta sana kwa utawala uliopo sasa sijui kilio kijacho kitakuwaje. ila ni bora kwenda kujaribu usikokujua kuliko kwenda kule unakokufahamu kwa ubaya!.

ukiambiwa mwanaume huyu anaukimwi na mwingine haijulikani ya kuwa ana ukimwi au hana ukiambiwa chagua mmoja wa kuolewa nae utachagua yupi
bila shaka utachagua yule usiyemfahamu kwakuwa kuna nafasi ya kuwa anaweza kuwa hana kuliko yule nimjuae kuwa anao.

kwahiyo chadema hatujui wakichukua nchi watakuwaje lakini ccm hawana jipya tunawafahamu tangia uhuru tunao
 
Dada yangu usijirahisi hivyo, dawa hapo ni kumchukua huyo asiyejulikana na kwenda naye Angaza na kumpima, kama hana basi ruksa, kama anao tupa kule.
Ndivyo ilivyo kwa Chadm. Ccm tumeshaijua kweli ni sumu, na HAIFAI hata kulumagia. Tunaweza kuipima chadema kwa imani, falsafa, sera zake na matendo pia, je ni mema? Kama ndio basi tuwape nchi hata leo, lakini kama sivyo tupa kule!
Mungu wetu anaita!
 
Kumbe Shibuda ana waumini wa kutosha. Basi anzisheni Chama Cha Mashibuda kitakachokuwa na ubia na Chama Cha Magamba.
 
Ndugu yangu CCM kupumzika ni lazima,huu si wakati wa kujazana ujinga,tuambie ww ulibadilisha serikali lini na ukasaga meno acha kujaza watu ujinga bwana.
 
Huna lolote wewe, wewe unazungumzia kulia CDM ikichukua nchi wakati saizi watu wanalia.

Hata kulia kuna tofauti, saizi tunalia kama tumefiwa na baba mzazi na ikingia CDM msiba wake utakuwa kama kusikia Kenya limetokea tetemeko vile na watu 50 wamekufa.

Utachagua msiba wa kulia hapo kama una akili.

Hivi wewe unazijua nchi zenye Udini na ukabila zikoje? Hivi unadhani kuanzisha Udini na ukabila ni mziki mdogo huo? Hivi kwa nini tuwape nchi watu ambao ndimi zao zimethubutu kutaja Udini na umoja wao umakini ukabila? Piga ua garagaza kundi kama hilo haliwezi kupewa nchi na watanzania. Wanawachora tu. Uje usome uzi huu mwaka mpya utakuja unikubali mimi nabii binafsi
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Acha kupandikiza mawazo ya ubaguzi wew. Kwahiyo kama huoni chama kingine cha kutawala unamaanisha tuendelee kutawaliwa na ccm? je ccm wana haki milki ya kuitawala Tz milele? na kwanin tumkumbuke baba ritz 1, kwa lipi zuri alilofanya zaidi ya kutuvurugia uchumi na sera zisizolisaidia taifa, umeme ghali wa mgao, tembo wetu kuteketea zaidi ya nusu ktk kipindi chake, ufisadi uliokithiri, ukandamizaj haki za binadamu, maisha duni kwa kila mtanzania etc ? unaposema watu wa kaskazini ndio mafisadi, je ni akina nani hao? Je mzee wa vijisenti, Tibaijuka, Ngeleja, rodilofa, baba ritzmoko ni watu wa kaskazini?? Acha hizo cheap popularity na ugamba wako. Tunataka mabadiliko na lazima mwaka huu ccm wang'oke.
 
its better to to change so that we weigh the scale between the two of them we are fed up with CCM in fact ukilinganisha kwa macho kama kusoma ujui basi kusiliza na kuona utakuwa unaweza utagundua kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na
CDM katika hali zote CDM wamewazidi

Hatuwezi kubadilisha utawala kwa kucheza kamari. Yaani eti tunajua fika watu akili zao zinawaza Udini na Ukanda halafu eti sisi tuwakabidhi nchi ili baadae watoto wetu waje wauane kwa Udini na ukabila sisi tukiwa kaburini?! Thubutu yako mimi nabii binafsi nakutabiria tanzania hii ina raia wengi wanaotafakari na sio kusikiliza tu kwenye nyomi za mikutano. You will be suprised. Tanzania ni ile ile ohh ni ile ileee no Udini no ukabila milele amen
 
Chitanda akili hauna, tunajua umeandika ukiwa na makusudi fulani, ila amini wakati ni ukuta ukishindana nao utaumia mwenyewe.
 
Halafu wengi wao wanaotumwa na magamba kuandika ushuzi humu ndani ni wa mwaka huu wengi wao wamejiunga 2012 na wanaandika ushuzi tu ati watamkumbuka kikwete gamba,tatizo wakishapatiwa vijiela vya mkopo wa kujiunga na Udom basi kero kubwa mtatumiwa sana tu.lakini CHADEMA kinachukua nchi 2015 Magamba nyie wauaji wezi wakubwa hamna lolote

Hivi nyie wenzetu mna certificates za matusi?
 
Hata kanu ya kenya na unip ya zambia vilitumia aina hiyo ya majungu lkn vikapigwa chini vile vile.lowasa ndie rais.
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

wewe ni mwana CCM!, over!!!!!
 
Bila ya Mbowe Kuondolewa Madarakani CHADEMA ili Kukisafisha CHADEMA kutoka kwenye ukabila alioupandikiza, CDM itaishia kuwa Kama NCCR, Hasa Ukitilia Maanani Kuwepo Kwa vyama vingine vya Upinzani vyenye Demokrasia mbadala na kubwa kama ACT.
 
huna lolote, hiki chama kisingeongozwa na Freeman Mbowe kingekufa mapema sana!
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Sasa utaweza kuleta mashine ya kusaga meno ya kilamtu?acha kuonyesha adharani unavotumiwa kama akina mzee silaa.
 
Hatuwezi kubadilisha utawala kwa kucheza kamari. Yaani eti tunajua fika watu akili zao zinawaza Udini na Ukanda halafu eti sisi tuwakabidhi nchi ili baadae watoto wetu waje wauane kwa Udini na ukabila sisi tukiwa kaburini?! Thubutu yako mimi nabii binafsi nakutabiria tanzania hii ina raia wengi wanaotafakari na sio kusikiliza tu kwenye nyomi za mikutano. You will be suprised. Tanzania ni ile ile ohh ni ile ileee no Udini no ukabila milele amen

mikoba ya sheikh yahya unayo wee? Mtu mzima hustahili kuongea kitoto namna hii mkuu. Acha wenge bro, mambo ya TZ ni ile ile usiyotaka isonge mbele ni upuuzi wa kiwango cha phd!!
 
Back
Top Bottom