Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

chitanda.nyoka

Senior Member
May 3, 2012
193
43
Kutoka moyoni naichukia sana CCM kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hizo za CCM bado sijaona chama ambacho kina uwezo wa kupigania maslahi ya watanzania sababu huko CHADEMA ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na CCM maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya CHADEMA tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua katika CCM kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok ila tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka Mkapa maana CHADEMA ndio mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hivi wameanzisha movement 4 chaga(M4C)
 
Huna lolote wewe, wewe unazungumzia kulia CDM ikichukua nchi wakati saizi watu wanalia.

Hata kulia kuna tofauti, saizi tunalia kama tumefiwa na baba mzazi na ikingia CDM msiba wake utakuwa kama kusikia Kenya limetokea tetemeko vile na watu 50 wamekufa.

Utachagua msiba wa kulia hapo kama una akili.
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

kwa ule umati wa leo Jangwani mtasema mengi. lakini ukweli upo pale pale. WATU WAMECHOKA
 
Rais akiwa slaa baraza la mawaziri watajaa wajomba zao,kaka zao na madem zao kama walivyowekana ktk viti maalum km unataka dada yako awe mbunge mpeleke kwa mheshimiwa anagongwa anapewa nafasi pale hakuna kitu labda kama ww mchaga sawa unaweza ukaidika nauongozi wao sisi tulokua maofisini tunawaona ni wabinafsi watu wenye tamaa sana na hamriziki hata mpate vp ww angalia mchaga mtaani kwenu ana maghorofa,malori bado hatosheki anazidi kuweka wanae misukule awe na ghoro nyingi zaidi nendeni na chama chenu cha ukabila.
 
Nimesoma mpaka mwisho nikatoa asilimia 20% ya mazuri uliyoyaandike.chakushauri CDM ikichukua nchi kajipende ili upate hata Uku wa wilaya maana umeponda wakati hata Mwaka 2012 ujafika.
 
its better to to change so that we weigh the scale between the two of them we are fed up with CCM in fact ukilinganisha kwa macho kama kusoma ujui basi kusiliza na kuona utakuwa unaweza utagundua kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na
CDM katika hali zote CDM wamewazidi
 
kwa ule umati wa leo jangwani mtasema mengi. Lakini ukweli upo pale pale. Watu wamechoka

pale mmejaa wengi nakisi kama maelfu hv lakini wenye akili timamu hata mia moja hawajafika kwahyo asilimia kubwa walokua pale akili zao siyo nzuri.
 
ni mawazo tu jaman 2cjenge chuki,tz ni yetu!kila mtu/chama ana haki ya kuongoza nchi bila kuangalia kabila,rangi,tuipende nchi yetu,hata km utakuwa UDP utaijenga endapo utaipenda nchi yako'
 
Kutoka moyoni naichukia sana ccm kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hzo za ccm bado cjaona chama ambacho kinauwezo wa kupigania maslahi ya wa tz coz hk cdm ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na ccm maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya cdm tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua ktk ccm kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok hla tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka mkapa maana cdm ndo mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hv wameanzisha movement 4 chaga(M4C)

Hapo kwenye dini: Basically unachosema ni kwamba CCM kimejaa udini na ukabila

Kwenye blue: Hapa ndipo siri inafichuka, kwako wewe tatizo sio kabila lolote, ila watu toka kaskazini maana unasema ufisadi ulioko CCM umeletwa na watu wa Kaskazini! Je, Chenge ni wa Kaskazini? Mkullo ni wa Kaskazini? Rostam Azizi ni Kaskazini? Na wazee wa Deep Green?
 
its better to to change so that we weigh the scale between the two of them we are fed up with CCM in fact ukilinganisha kwa macho kama kusoma ujui basi kusiliza na kuona utakuwa unaweza utagundua kuna tofauti kubwa sana kati ya CCM na
CDM katika hali zote CDM wamewazidi

kama ulokua nayo ingawa ni mbovu lakini inaafadhari kuliko hyo nyingne kwanini ubadilishe?bora ukae na yenye afadhari,hawa cdm ruzuku tu wanagombania wakikaa madarakani itakuwaje au haujawahi kuckia mbowe alipewa hela anunue magari ya chama akawauzi yakwake mabovu kwa mamilion ya shilingi hk chama cyo msipende kufuata mkumbo.
 
Hapo kwenye dini: Basically unachosema ni kwamba CCM kimejaa udini na ukabila

Kwenye blue: Hapa ndipo siri inafichuka, kwako wewe tatizo sio kabila lolote, ila watu toka kaskazini maana unasema ufisadi ulioko CCM umeletwa na watu wa Kaskazini! Je, Chenge ni wa Kaskazini? Mkullo ni wa Kaskazini? Rostam Azizi ni Kaskazini? Na wazee wa Deep Green?

cjakataa kua ccm kina udini na ukabila nimesema uozo ulokuwepo ccm ndo ulokuwepo chadema halafu me nnashangaa kumkomalia jk kua serikali yake kuna ufisadi wakati mkapa pia kulifanyika ufisadi kibao rada,ndege ya rais vyote vilikua kipindi chake lakini kikwete mnaongea mpaka mishipa ya shingo inawatoka
 
Halafu wengi wao wanaotumwa na magamba kuandika ushuzi humu ndani ni wa mwaka huu wengi wao wamejiunga 2012 na wanaandika ushuzi tu ati watamkumbuka kikwete gamba,tatizo wakishapatiwa vijiela vya mkopo wa kujiunga na Udom basi kero kubwa mtatumiwa sana tu.lakini CHADEMA kinachukua nchi 2015 Magamba nyie wauaji wezi wakubwa hamna lolote
 
Nasubiri katiba mpya. Naomba ifananefanane na ya Kenya. Ukifanya upuuzi tu unaburuzwa mahakamani. Juzi Rais ameteua wakuu wa majimbo jamaa wakasema amevunja katiba wametinga mahakamani kupata tafasri ya kisheria. Ukiteua ndugu/rafiki lazima bunge liidhinishe siyo mnakaa wewe sijui na mshauri mnateuana. Yaani checks and balances ni nyiingi ili kuzuia ukware na umimi.
 
Back
Top Bottom