Tunaelekea wapi?

kivipi?? unampango wa kutumia lugha kali kwani?

afu hiyo signature yako mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! ngoja niishie hapo pia nsije nikakuvunjia swaumu yako bure....ila ni mbaya!!

Hahahaha! Mamushka ile ndo safi kwa kunywea ile supu yako!
 
Fanya kuipotezeya babu hujaiona lol
Tatizo miwani yako Babu yangu inaona mpaka visivyoonwa!!

Hahaha! Inatafsiri mabaya yakuwa mazuri! Ila haijui kuyafanya mazuri kuwa mabaya. Ndipo napoipendea, hasa hasa kwenye maslahi yangu na familia yangu!
 
Hahahaha! Mamushka ile ndo safi kwa kunywea ile supu yako!

papaushka siipendi kutoka kwa ncha ya moyo wangu....
there is something wierd I imagine when I read that.....nionee huruma basi honie-ushka!!! tchaaaa I just hate it bana itoe!!!
 
Utajisikiaje ukifumaniwa wewe?
Raha kumfumania mwenzio lakini ishu inakuja kwako sasa lol inakuwa balaaaaa
Fide raha ya kumfumania mtu wako itoke wapi bwana weeee!!! wengine mioyo yetu hawezi kuhimili vishindo hukawii kukolapsi ila sema mtiti wake ukizinduka hapo sasa....
 
Du duniani kuna mambo! mwambie nduguyo waombe ushauri kwa viongozi wa dini!
 
Utajisikiaje ukifumaniwa wewe?
Raha kumfumania mwenzio lakini ishu inakuja kwako sasa lol inakuwa balaaaaa
Fidel kama wewe uko safi wala huwezikuwa na wasi wasi wa kufumaniwa. Jifunze kupenda mmoja na uridhike naye. Hivi hamuoni vibaya kuchovya chovya kila sehemu? Sometimes muwe mnaona vinyaa jamani ah
 
papaushka siipendi kutoka kwa ncha ya moyo wangu....
there is something wierd I imagine when I read that.....nionee huruma basi honie-ushka!!! tchaaaa I just hate it bana itoe!!!

I'm going to do the needful kwa afya yako! Just a moment please......! Like mother like son!
 
Fidel kama wewe uko safi wala huwezikuwa na wasi wasi wa kufumaniwa. Jifunze kupenda mmoja na uridhike naye. Hivi hamuoni vibaya kuchovya chovya kila sehemu? Sometimes muwe mnaona vinyaa jamani ah

mi huwa najiuliza kwani hawanaga guilty feelings there after.....??
 
I'm going to do the needful kwa afya yako! Just a moment please......! Like mother like son!

kwanini kujificha bwana nyakati za shida.........
am singing ujue
wapi B wa ukweli aninogeshee na 'ogani' jamani...
 
Si umeona? Mi huwa sikuangushagi. Na hata ukianguka kwa bahati mbaya nakuinua.
 
kwanini kujificha bwana nyakati za shida.........
am singing ujue
wapi B wa ukweli aninogeshee na 'ogani' jamani...

B wa ukweli I here for you! ipo A Major hiyo tunasemaga B! hapa vidole vinatembea tu!
 
Dah!! nimefumba mcho trying to imagine the way your fingers are doing the thing......wa ukweli thanks!!
 
aaaah sasa ya kusahihishana hata spelling zilizomisiwa bahti mbaya.......
hahaaaaaaaaaaa umenikumbusha Prof mmoja ukikosea spelling anakata alama
mwisho wa siku utajiju kama sio sup..........
 
B wa ukweli unadhani huyo kaona spelling au the missed word? yeye amechukua context...kwamba I am here for you, haamini amini! sasa sijui tumsaidieje?:D:D
 
ni bora asadiki tu maana ndio ukweli tena ukweli mtu....akitaka tutamthibitishia ili tumwondoe wasiwasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom