Tunaelekea wapi?

nyamayao- ila huyo shemeji yako kwa kweli ni kama jamii ya shemeji manyoyaa ah- unyama gani huo hivi hata watu wakisikia alichomfanyia mwenzie si ataonekana kituko?

Kama angekuwa mstaarabu alitakiwa akashtaki kwa wazee kuwa mkewe anacheat na si kumfanyia hayo aliyofanya

very true MJ1....Ndo yale ya kunya anye kuku bata kaharisha
so unfair kwa kweli....wat kind of a punisment is that??ndio inalingana na kosa??
na yeye anachofanya kilichomplelekea kewe kufanya hivo sio kosa?? anastahili adhabu gani mume katili huyo???
 
Hacra My foot!

Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza

hata mimi nimejawa na roho wa kisasi
sijafanyiwa ufedhuli huu bado...angelipa mara kumi elfu nakwambia
 
Hicho kiitwacho NDOA kwa zama hizi hikina maana yeyote ni upuuzi mtupu ni kuumizana tu kwa kwenda mbele..Huyo mme alilazimishwa kuoa au vilet keshatumia wee sa anaona imeingia kutu so anataka brand new na huyo sis kutafuta serengeti ndo kaona ni ukombozi wake? Na wakati aki enjoy na huyo serengeti alipata ushauri kwa nani au baada ya kuliwa tigo ndo anakuja kulilia ovyo.kama keshamegwa tigo ndo hawezi kuacha tena may be hicho my mr wake alicho kikosa so bikira keshatolewa nawaendelee kama kawa.lkn mtazamo wangu ni kuwa NDOA KWA ZAMA HIZI IMEKOSA MAANA KABISA.TAFUTENI AINA NYINGINE YA MAHUSIANO.NDOA ZA KILEO NI MAUMIVU MATUPU%%@@@!!
 
...maelezo ya sis ni kwamba" nilivyoona hivyo ikabidi na mie niwe na bfnd wa kukidhi haja yangu" j5 last week mr alirudi home na ugomvi wake wa kila wakati.... mr alikuwa amesha spy akajua mke wake anatoka nje ya ndoa, kesho yake alhamic sis akiwa job akapata msg kutoka kwa aliedhani ni bfrd wake " njoo hotel ile ile na room ile ile kuna mzigo nataka kukupa coz nasafiri, nimetumia no hii coz no yangu imeji block"...sis kaenda hana ajualo kufika kaingia room, anaingia tu akashangaa mlango umefungwa kwa nguvu kushangaa mfungaji ni mume wake....ugomvi mkubwa huko room, mr akamwambia kama umekuja huku ukiwa kwenye hali hii(period) ina maana huyo mtu wako unaekujaga nae hapa unampaga mchezo mwngne, sasa na me leo utanipa kwa nguvu...alifanya ya kufanya mpaka sis alizimia(ana athma)...

....Safi sana.

Hayo ya kutokupewa unyumba miezi tisa, sijui ana asthma, mara ugomvi kila siku, yote ni kutafuta sympathy tu,
I dont buy it.

Kufumania ni kufumania tu, machungu yake yale yale na adhabu zinatofautiana. Wengine wanawatembeza mitaani, wengine wanaua, wengine huwaita kina Shigongo nk...

Ngoja ni print hii Wife nae aisome na aielewe...
 
Hacra My foot!
Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza

hata mimi nimejawa na roho wa kisasi
sijafanyiwa ufedhuli huu bado...angelipa mara kumi elfu nakwambia

...acheni nyie, kufumaniwa mchezo? unakuwa mduuuchu kama piriton vile, kila unaloamrishwa unafanya. Unless ni ngangari uliyekubuhu na ushakufa wadudu kichwani.

Eti avute nini? thubutu.

Hebu geuzeni story hii hii,

Wewe ndiwe uliyemfumania Mumeo hapa. Siku zooote ulikuwa unamuamini, ila baada ya kugundua kuna kabinti kanamzuzua mumeo, Umemtega kwa sms naye kaingia chumbani tayari tayari "kupewa zawadi." Ingelikuwa wewe Nyamayao, au Mwanajamii'1 au bht mngechukua hatua gani uionayo wewe inamstahiki mumeo wa ndoa, aka baba watoto wako, aka mshirika mwenza kwenye 'uduga wa shuka' ?
 
....Safi sana.

Hayo ya kutokupewa unyumba miezi tisa, sijui ana asthma, mara ugomvi kila siku, yote ni kutafuta sympathy tu,
I dont buy it.

Kufumania ni kufumania tu, machungu yake yale yale na adhabu zinatofautiana. Wengine wanawatembeza mitaani, wengine wanaua, wengine huwaita kina Shigongo nk...

Ngoja ni print hii Wife nae aisome na aielewe...
My Mbu you dont buy what? Mtu ashakwambia mwenzie hakuoni kama una mfaa kwani huduma anaipata kutoka kwa Blandina inamtosha kabisa sasa you dont buy what?? Sio ninyi mnaoshauriana kuwa mke akimnyima mumewe haki ya ndoa anampa ruhusa mumewe aende nje ya ndoa? Tena mnamsema huyo mama hadi basi. Sasa iweje mke akifanyiwa hayo mnashangaa?

Hatukatai na tumekiri kuwa sisy amefanya makosa kwa kulipiza kisasi cha kijinga vile.

Ajabu eti kufumania kunauma sisi hatuumii mnapotueleza live kuwa 'nimempata Blandina mtoto bikra sio wewe niliyekukuta uko 'used'!!! Ama kweli mwacheni mwanaume aitwe mwanaume. Mnanichosha mie.
 
...acheni nyie, kufumaniwa mchezo? unakuwa mduuuchu kama piriton vile, kila unaloamrishwa unafanya. Unless ni ngangari uliyekubuhu na ushakufa wadudu kichwani.

Eti avute nini? thubutu.

Hebu geuzeni story hii hii,

Wewe ndiwe uliyemfumania Mumeo hapa. Siku zooote ulikuwa unamuamini, ila baada ya kugundua kuna kabinti kanamzuzua mumeo, Umemtega kwa sms naye kaingia chumbani tayari tayari "kupewa zawadi." Ingelikuwa wewe Nyamayao, au Mwanajamii'1 au bht mngechukua hatua gani uionayo wewe inamstahiki mumeo wa ndoa, aka baba watoto wako, aka mshirika mwenza kwenye 'uduga wa shuka' ?

RED: Ni kweli sweetheart kuwa ukifumaniwa unakuwa mdogo na kuchomoa ni ngumu labda uwe mzoefu lakini adhabu aliyoitoa hapana kwa kweli imevuka mipaka na imemvua uanaume wake kabisa.

BLUE: Mbu najua inavyouma na ingetokea kama ulivyoiweka nadhani ningeombea na mimi'iote' japo kwa wakati huo nimshughulikie nayo huko kwenye tigo yake. Je hii story ingekuwa kuwa kamfumania mume wake akamkodishia mibaunsa imshughulikie kwa zamu? Mngeelewa kuwa kufumania kunauma?? Hivyo adhabu mngeikubali?
 
...acheni nyie, kufumaniwa mchezo? unakuwa mduuuchu kama piriton vile, kila unaloamrishwa unafanya. Unless ni ngangari uliyekubuhu na ushakufa wadudu kichwani.

Eti avute nini? thubutu.

Hebu geuzeni story hii hii,

Wewe ndiwe uliyemfumania Mumeo hapa. Siku zooote ulikuwa unamuamini, ila baada ya kugundua kuna kabinti kanamzuzua mumeo, Umemtega kwa sms naye kaingia chumbani tayari tayari "kupewa zawadi." Ingelikuwa wewe Nyamayao, au Mwanajamii'1 au bht mngechukua hatua gani uionayo wewe inamstahiki mumeo wa ndoa, aka baba watoto wako, aka mshirika mwenza kwenye 'uduga wa shuka' ?

kwangu mie nadhani ctaumia njia ya namna hiyo...nita spy makazi yao ya kupata moja moto moja baridi ndio nikaaribie huku, yaani kitu live live, baada ya hapo ndio kila mtu atafikiria kama anahitaji kuendelea na ndoa au laaa, tutapeana likizo ya muda.
 
Laaziz kwaresima hii laaziz jamani, usivitaje taje sana hivyo vitu....!!!! :) Unafanya safari yangu ya kumaliza siku 40 za ''sober reflection'' kuwa ngumu.
icon10.gif
 
...acheni nyie, kufumaniwa mchezo? unakuwa mduuuchu kama piriton vile, kila unaloamrishwa unafanya. Unless ni ngangari uliyekubuhu na ushakufa wadudu kichwani.

Eti avute nini? thubutu.

Hebu geuzeni story hii hii,

Wewe ndiwe uliyemfumania Mumeo hapa. Siku zooote ulikuwa unamuamini, ila baada ya kugundua kuna kabinti kanamzuzua mumeo, Umemtega kwa sms naye kaingia chumbani tayari tayari "kupewa zawadi." Ingelikuwa wewe Nyamayao, au Mwanajamii'1 au bht mngechukua hatua gani uionayo wewe inamstahiki mumeo wa ndoa, aka baba watoto wako, aka mshirika mwenza kwenye 'uduga wa shuka' ?

Mbu hatuhalalishi kosa my dear......mke alikosa tena sana kufanya alichofanya!!! Lakini je adhabu aliyompa ndio stahili??
Ni kweli nikimfumania live mume wangu itaniuma tena bila kipimo ila nisingeweza kumfanyia kitu kibaya namna hiyo!!!
athari za alichomfanyia mkewe ni kubwa na mbaya mno!!!
 
My Mbu you dont buy what? Mtu ashakwambia mwenzie hakuoni kama una mfaa kwani huduma anaipata kutoka kwa Blandina inamtosha kabisa sasa you dont buy what?? Sio ninyi mnaoshauriana kuwa mke akimnyima mumewe haki ya ndoa anampa ruhusa mumewe aende nje ya ndoa? Tena mnamsema huyo mama hadi basi. Sasa iweje mke akifanyiwa hayo mnashangaa?

Hatukatai na tumekiri kuwa sisy amefanya makosa kwa kulipiza kisasi cha kijinga vile.

Ajabu eti kufumania kunauma sisi hatuumii mnapotueleza live kuwa 'nimempata Blandina mtoto bikra sio wewe niliyekukuta uko 'used'!!! Ama kweli mwacheni mwanaume aitwe mwanaume. Mnanichosha mie.

You will never understand them my dear!!! its like sisi tuna mioyo ya mawe that we dont feel the pain or we were created to endure this pain!!

kufanya wafanye wao tukifanya sie ni kosa.....
 
You will never understand them my dear!!! its like sisi tuna mioyo ya mawe that we dont feel the pain or we were created to endure this pain!!

kufanya wafanye wao tukifanya sie ni kosa.....
Ni kweli bht na mimi hii huwa inanipa shida sana ndo maana naona bora nikae nao mbali maana dunia yangu ya kufikirika imenikaa sana nawezatafuna mtu kw abahati mbaya mwe!!
 
Ni kweli bht na mimi hii huwa inanipa shida sana ndo maana naona bora nikae nao mbali maana dunia yangu ya kufikirika imenikaa sana nawezatafuna mtu kwa bahati mbaya mwe!!

Ngoja nisichangie kitu hapo nisijeharibia watu swaumu ya kwaresma bure....
 
Ngoja nisichangie kitu hapo nisijeharibia watu swaumu ya kwaresma bure....

kivipi?? unampango wa kutumia lugha kali kwani?

afu hiyo signature yako mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!! ngoja niishie hapo pia nsije nikakuvunjia swaumu yako bure....ila ni mbaya!!
 
Ni kweli bht na mimi hii huwa inanipa shida sana ndo maana naona bora nikae nao mbali maana dunia yangu ya kufikirika imenikaa sana nawezatafuna mtu kw abahati mbaya mwe!!
haswa, maana sisi tunatamani dunia ambayo kiukweli it doesnt exist at all.....mwafaka ni huo tu, acha watupitie mbali.
 
habari zenu humu ndani, nadhani wote wazima wa afya na mmemaliza wkend salama, mie yangu ilikuwa mbaya sana tu.....
ijumaa asubuhi nilipata call kutoka kwa sis wangu( mtoto wa mamkubwa) analia tu ananiambia ndio anapanda shuttle aje kwangu, hataki kuongea kilichomcbu akidai mpaka afike, alifika mchana mr ndio alienda kumpokea me nilikuwa nina kikao job, mr akani sms kuwa dadako huku analia tu hataki kuongea lolote mpaka utakapofika...nimefika home bado analia tu nikamuacha apoe then akaniomba tuingie room anielezee....jamani huyu sis wangu ana matatizo ya muda mrefu na mr wake imefikia mr hampi haki ya ndoa ni miezi 9 sasa, na mr anasema anataka kuoa tena amempata blandina binti portable na virgin sio yeye sis aliemkuta kasha2mika...ni ugomvi kila kukicha hapo kwao..maelezo ya sis ni kwamba" nilivyoona hivyo ikabidi na mie niwe na bfnd wa kukidhi haja yangu" j5 last week mr alirudi home na ugomvi wake wa kila wakati.... mr alikuwa amesha spy akajua mke wake anatoka nje ya ndoa, kesho yake alhamic sis akiwa job akapata msg kutoka kwa aliedhani ni bfrd wake" njoo hotel ile ile na room ile ile kuna mzigo nataka kukupa coz nasafiri, nimetumia no hii coz no yangu imeji block"...sis kaenda hana ajualo kufika kaingia room, anaingia tu akashangaa mlango umefungwa kwa nguvu kushangaa mfungaji ni mume wake....ugomvi mkubwa huko room, mr akamwambia kama umekuja huku ukiwa kwenye hali hii(period) ina maana huyo mtu wako unaekujaga nae hapa unampaga mchezo mwngne, sasa na me leo utanipa kwa nguvu...alifanya ya kufanya mpaka sis alizimia(ana athma)....mr akatoweka akiona imekuwa kasheshe, alizinduka hapo akamcal frnd wake wa karibu akaenda kumsaidia akalala kwake asubuhi ndio akapanda shuttle kuja huku...nimechoka jamani...hivi hapa mtaamuaje hili suala mana mie mwenzenu nimechoka kabisa..... nimechoka mwili na roho.

Hiyo ni ndoa ya aina gani? Ya kiserikali, Kanisa au Kiislam?

Bila kumlaumu yeyote kati yao ningeoenda ijulikane mzinzi hazini ila na mzinifu. Wote wana makosa. Mume kumnyima mwenzie na mke kutafuta haki hiyo kusikostahiki. Wewe kama ndugu hilo huliwezi. Lifikishe kwa wazee au kiongozi wa dini walipofungia ndoa. Awaite wote kila mmoja atoe dukuduku lake wapatanishwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom