Tunaelekea wapi?

nyamayao mpenzi unajua kuna kitu kimoja. Mwanaume akishadevelop love kwa mtu mwingine wewe unabakia lidudu kwake, huna thamani tena na hata akiambiwa akuuwe anaweza kwa kuwa unamzibia kufaidi kule anakodhani anafaidi kuliko- so mtu huyu anakuwa amedevelop roho ya kishetani na atakuwa tayari kukufanyia lolote akumalize au akuumize

Chukulia mfano mdogo tu- mmegombana na mr mnaitwa vikaoni, kwa mwanaume ni rahisi kutengeneza uongo (kama mke hana kosa) ili mradi aonekane yeye ni safi kuliko wewe. tuna roho za tofauti mpenzi wangu

So sishangai kwa huyo mwanaume kuwa mnyama yaani lengo lake lilikuwa kumkomoa tu sis wetu.

na kamkomesha ipasavyo, yaani cwez kuielezea hali halic aliyonayo sasa hivi, cwez....

sawa kabisa, hii ndoa ilikuwa inayumba sana toka muda mrefu, ishu ikitokea sis anakimbialia kwa mamkwe wake, mr akija wanasuluhishwa ki juu juu hapo wanaendelea na lyfe la kuyumba yumba hivyo hivyo, nilikuwa namwambia hivi unavyokimbilia kwa mamkwe unategemea utapata suluhu la kumaliza mgogoro wako?...."mtoto kwa mamaye jamani"
Ndo upuuzi nsotaka kuusikia mimi- umenikosea tunamalizana wenyewe kama ni kutambaa kila mmoja anaanza kwa upande wake watoto inajulikana ni wangu hadi hapo watakapotimiza usmri wa kuwa naye kisheria.

hao akina mamamkwe, washenga wazee wanapewa tu taarifa kuwa kwa sasa imekuwa hivi na hivi. Tukipatana wanajulishwa full stop
 
Sasa Nyamayao ulimwambia sis wako alicho fanya ni kitu cha kijinga kulipiza baya kwa ubaya. Sasa kamegwa nini alicho pata si angejinyamazia aendelee na mikakati ya kumrudisha mme ndani ya ndoa.!!

fidel nimeshindwa kuongea nae lolote kwa jinc anavyolia tu nahic nikimchomekea ushauri nitamchanganya kabisa, mama alivyokuja ndio alikuwa anaongeaa nae na kumpooza na alimwambia ukweli kwamba umefanya kosa lakini na yeye hakustahili kukufanyia haya, kwahivyo hii ndoa nitaivunja kwa gharama yoyote ile.
 
na kamkomesha ipasavyo, yaani cwez kuielezea hali halic aliyonayo sasa hivi, cwez....
[/COLOR]

Pole sana mpendwa mpe moyo msaidie aanze upya mwambie kwa hali ilipofikia asahau ten ahiyo ndoa kwani hata wakisuluhishwa ishakuwa na doa tena kubwa pamoja na kuwa bwana ndo alianza kucheat bado yeye anakuwa anaumizwa sana

Kwanza wa kazi gani huyo mwanaume ambaye aluishatoka nje? Mwambie ajikusanye upya aanze mbele- Heri shari nzima hapa kuliko nusu!!
 
fidel nimeshindwa kuongea nae lolote kwa jinc anavyolia tu nahic nikimchomekea ushauri nitamchanganya kabisa, mama alivyokuja ndio alikuwa anaongeaa nae na kumpooza na alimwambia ukweli kwamba umefanya kosa lakini na yeye hakustahili kukufanyia haya, kwahivyo hii ndoa nitaivunja kwa gharama yoyote ile.

Nimejiwa na wazo la kishetani hapa- hivi na yeye siku angeamua kujifanya ni hicho ki-Blandina kisha akamwita hotelini mume, akute wanababa kama wanne hivi wamshugulikie tigo yake ingetafsiriwaje? ah wanaume wengine mnatufungisha roho mbaya kwa kweli!!
 
Ndo upuuzi nsotaka kuusikia mimi- umenikosea tunamalizana wenyewe kama ni kutambaa kila mmoja anaanza kwa upande wake watoto inajulikana ni wangu hadi hapo watakapotimiza usmri wa kuwa naye kisheria.

hao akina mamamkwe, washenga wazee wanapewa tu taarifa kuwa kwa sasa imekuwa hivi na hivi. Tukipatana wanajulishwa full stop

hapa ninavyokuambia sis na mamake wapo njiani wanaenda dar kwa mzee, mzee nae anasema hii ndoa itavunjwa kwa gharama/nguvu zozote zile, kuanzia juzi mie naona kama ni aki na ukwa vile....kweli kuwa uyaone nimeyaona ya kunitosha mpaka nahic kuzeeka kabla ya umri.
 
pole dada, ndo ukubwa huo i guess. with time her herat will be healed na ataamua cha kufanya.
 
wanawake wenye historia ya kuumizwa ki-mapenzi kwenye maisha yao WANAKUWAGA VERY HURSH KWA WANAUME
 
nyamayao- ila huyo shemeji yako kwa kweli ni kama jamii ya shemeji manyoyaa ah- unyama gani huo hivi hata watu wakisikia alichomfanyia mwenzie si ataonekana kituko?

Kama angekuwa mstaarabu alitakiwa akashtaki kwa wazee kuwa mkewe anacheat na si kumfanyia hayo aliyofanya
 
mr alimcal akamwambia yaani ktk kitu kilichokuharibia uanaume wako ndio hiki, akamwambia ilikuwa ni "hacra tu bro"...
 
Ndo hapo yani nasema am puzzled kwa kweli!

yaani hii kitu iko very complicated!

kwanza limjamaa likapata kablandina-kabikra, kaportable....akamtumia kumuinsult mkewe...hivi swali hapa kwani walivofunga ndoa alishikiwa miguuni kuwa ni lazima amwoe? si alikuwa anajua kuwa ameshakuwa na mwanaume mwingine before? inauma sana I know kwa upande wa wanawake.

Pili, limjamaa likasitisha na huduma tena..sasa si bora yule wa kule HY aliyekuwa anatoa kila kitu sawa jamani.....gari, simu, sijui hadi nyumba ramani sawa akidai kuwa anawapenda wote sawa (Hapa MJ1 Inahusu)..so akaadd salt kwenye kidonda..kwa miezi 9.

tatu bibiye naye kuona hivi akaREVENGE (kosa) kwa kuwa na kaserengeti boy..sijui for how long, lakini pia akawa 'mzembe' hadi akafumaniwa /mumewe akajua na yeye. Amini usiamini hakuna mwanaume anayekubali mali zake ziliwe kwa sababu yeyote ile hata kama hakutimizii! so jamaa lazima roho ilimuuma ndo akaarange mtego

nne, sasa hapo ndo kazi, jamaa sijui wivu ama nini, kumbandua vile bila ridhaa yake tena wakiwa kwenye hali mbaya kimahusiano ina translate into a very bad rape, tena sijui niiteje wajameni..hapo janaume na lenyewe limeharibu kabisa kabisa. kwa nini asingemwambia 'basi yatosha, nimeshajua kila kitu kila mtu na maisha yake sasa' kisha aendelee na kablandina kake

Ndo maana nasema jamani hapa naungana na Mrs wangu kuwa unaanzia wapi kumshauri? its just too complicated!
 
hapo sioni kwa wawili hao kurudiana......na akae aanze kufikiri maisha bila ya huyo mr.
inauma na hakuna mwenye kufurahi kuona atapata history ya kuachika (coz makosa yote hupewa mke), lakini she wasnt wise

let she and us learn from this

na waachane, tendo la zinaa limeshapita sababu tosha ya kukaliana mbali kabla hayajawa makubwa zaidi ya haya
 
mr alimcal akamwambia yaani ktk kitu kilichokuharibia uanaume wako ndio hiki, akamwambia ilikuwa ni "hacra tu bro"...

Hacra My foot!

Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza
 
kila ugomvi unachanzo chake, na mara nyingi usipende kusikiliza upande mmoja, kwa nini usimfuate shemeji yako ukamuuliza na yeye kulikoni? sometimes waweza kuta ni kitu kidogo sana tena sana mpaka ukashangaa, kama jamaa hakumpa unyumba mkewe kwa miezi tisa yawezekana kuna kitu hapo katika tendo la ndoa walikosana jaribu kudadisi utaupata ukweli.Pengine alimtakia maneno mabaya wakati wa tendo, au nii mvivu, huwezi jua nini kilitokea. MFANO mimi hupenda sana kumfikisha mwenza wangu kwanza, namwacha kama dk 5 apumzike halafu mie ndo humaliza. hii ilikuja baada ya siku moja kmaliza kabla yake alinisema siku nzima toka that day sasa kimehamia kwake sasa akishamaliza yeye anakuwa hoi bin taaban, anaomba mchezo uahirishwe mpaka baadaye, kweli mie hujawa na hasira na mie nakasirika lkn always i try to reason kwamba after all she is my wife, she needs TLC (Tender Love "N" CARE). sasa vitu kam hivi kama si mwelewa ugomvi utaanzia hapo hapo mwanamke gani huniridhishi, ukimaliza weye tu basi hutaki tena, matusi kibao, mwishowe unaanza tafuta ka binti nje eti kakukate kiu, huko nako una end up na frustrations tu. so MUULIZE vizuri huyo your sis' aseme UKWELI
 
Ndo hapo yani nasema am puzzled kwa kweli!

yaani hii kitu iko very complicated!

kwanza limjamaa likapata kablandina-kabikra, kaportable....akamtumia kumuinsult mkewe...hivi swali hapa kwani walivofunga ndoa alishikiwa miguuni kuwa ni lazima amwoe? si alikuwa anajua kuwa ameshakuwa na mwanaume mwingine before? inauma sana I know kwa upande wa wanawake.

Pili, limjamaa likasitisha na huduma tena..sasa si bora yule wa kule HY aliyekuwa anatoa kila kitu sawa jamani.....gari, simu, sijui hadi nyumba ramani sawa akidai kuwa anawapenda wote sawa (Hapa MJ1 Inahusu)..so akaadd salt kwenye kidonda..kwa miezi 9.

tatu bibiye naye kuona hivi akaREVENGE (kosa) kwa kuwa na kaserengeti boy..sijui for how long, lakini pia akawa 'mzembe' hadi akafumaniwa /mumewe akajua na yeye. Amini usiamini hakuna mwanaume anayekubali mali zake ziliwe kwa sababu yeyote ile hata kama hakutimizii! so jamaa lazima roho ilimuuma ndo akaarange mtego

nne, sasa hapo ndo kazi, jamaa sijui wivu ama nini, kumbandua vile bila ridhaa yake tena wakiwa kwenye hali mbaya kimahusiano ina translate into a very bad rape, tena sijui niiteje wajameni..hapo janaume na lenyewe limeharibu kabisa kabisa. kwa nini asingemwambia 'basi yatosha, nimeshajua kila kitu kila mtu na maisha yake sasa' kisha aendelee na kablandina kake

Ndo maana nasema jamani hapa naungana na Mrs wangu kuwa unaanzia wapi kumshauri? its just too complicated!
misezi wako ni yupi?:D
halafu hongera leo hujaandika ki-blurei nimekuelewa sana:D
 
Hacra My foot!

Hivi nyamayao huyo sisy wetu kibody yukoje? Ameshindwa hata kujitutumua akashika zile balls akavuta? Napandwa na hasira kadri ninavyozidiisoma hii thread- ngoja nipumzike kwanza
nilitaka nikukutanishe na MSHIKI....nimeghairi:D
 
Ndo hapo yani nasema am puzzled kwa kweli!

yaani hii kitu iko very complicated!

kwanza limjamaa likapata kablandina-kabikra, kaportable....akamtumia kumuinsult mkewe...hivi swali hapa kwani walivofunga ndoa alishikiwa miguuni kuwa ni lazima amwoe? si alikuwa anajua kuwa ameshakuwa na mwanaume mwingine before? inauma sana I know kwa upande wa wanawake.

Pili, limjamaa likasitisha na huduma tena..sasa si bora yule wa kule HY aliyekuwa anatoa kila kitu sawa jamani.....gari, simu, sijui hadi nyumba ramani sawa akidai kuwa anawapenda wote sawa (Hapa MJ1 Inahusu)..so akaadd salt kwenye kidonda..kwa miezi 9.

tatu bibiye naye kuona hivi akaREVENGE (kosa) kwa kuwa na kaserengeti boy..sijui for how long, lakini pia akawa 'mzembe' hadi akafumaniwa /mumewe akajua na yeye. Amini usiamini hakuna mwanaume anayekubali mali zake ziliwe kwa sababu yeyote ile hata kama hakutimizii! so jamaa lazima roho ilimuuma ndo akaarange mtego

nne, sasa hapo ndo kazi, jamaa sijui wivu ama nini, kumbandua vile bila ridhaa yake tena wakiwa kwenye hali mbaya kimahusiano ina translate into a very bad rape, tena sijui niiteje wajameni..hapo janaume na lenyewe limeharibu kabisa kabisa. kwa nini asingemwambia 'basi yatosha, nimeshajua kila kitu kila mtu na maisha yake sasa' kisha aendelee na kablandina kake

Ndo maana nasema jamani hapa naungana na Mrs wangu kuwa unaanzia wapi kumshauri? its just too complicated!

mr wangu nikikuambia wkend yangu ilikuwa mbaya sana tena sana ni sababu nilikosa cha kusema kwenye hili jambo na kukosa ufafanuzi wa yote uliyoyaelezea..... kwanza nilishindwa kumuelewa sis kwanini alifikia uamuzi aliouchukua na kwanini aliufanya alivyoufanya yaani alijisahau kwamba ni mke wa mtu akienda mahotel kama yupo cngle vile, mr hii kitu imeniumiza kichwa sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom