TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

thanks sana jaman wapendwa kwa msaada wenu na mungu awabariki ili muendelee kutupa ujuzi ambao hatuwahi kuwa nayo
 
@C6
nimefanikiwa kuinstall youwave,na nimeingia kwenye apps, lakini sijaipata whatsapp.
sasa sijui ni ushamba au vp. naomba muongozo wako

install Youwave au BlueStarks kwenye pc yako, ni mobile emulators zitakozokuwa na interface ya android kisha utaona apps, whatsapp imo ndani chagua fanya config kama kwenye simu na utakuwa tayari kuanza
 
Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nymgneee

ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa
kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated... So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa

grafic accerelator ni zipi, ni nini nafanyaje
 
nnnnn.jpg
mpaka hapo no nilipoishia,muongozo wenu wakuu
 
@C6
nimefanikiwa kuinstall youwave,na nimeingia kwenye apps, lakini sijaipata whatsapp.
sasa sijui ni ushamba au vp. naomba muongozo wako

kama ilivyo kwenye simu, ukiweka email yako ya gmail utaweza kuipata play store (hapo ndio as far as i can take u)
 
wakuu nilipakua ya bluestacks but inahitaji ram iwe 2GB na kuendelea na ram yangu ni 1GB.. Je ipo kitu hapo ambayo specification yao hata ram ikiwa Gb 1 haibani??
 
ukiwaambia watu kugoogle utagombana nao. we mwaga tu madude

Kiukweli Mkuu Hii Nli Reply Jana Usiku Af Nikawa Nachek Movie So Nlikua Naona Uvivu Ikabd Nimwambie apitie Uz Au a Google
 
namimi nime install you wave lakini mbona video nilizo download kuptia tube mate kwenye hii you wave nikizi play zinaonyesha mistari mistari
 
install Youwave au BlueStarks kwenye pc yako, ni mobile emulators zitakozokuwa na interface ya android kisha utaona apps, whatsapp imo ndani chagua fanya config kama kwenye simu na utakuwa tayari kuanza

mdogo wangu C6 mimi hata kuinstall browser tu ni kasheshe seuze haya makitu??
ngoja nikwambie hapa nilipo siwez kupata gmail na nimeshindwa kurudisha kila mara naambiwa connection untrusted mwishowe nimejikatia tamaa.

mm na haya mauchawi ya elektronics sijui kabisaaaaaa, lakini ile program ya kuandisha chemical structure ile ninayo lol!!
 
Last edited by a moderator:

unatumia ipi? maana hata mimi nnayo
 
Last edited by a moderator:
Jinsi ya kutumia whatsapp kwenye youwave (MAELEKEZO)

1. INSTALL YOUWAVE, WEKA NA CRACK, UKISHAMALIZA START YOUWAVE
>>>>>>>>>Download YouWave Hapa<<<<<<<<<<<<<<<<

2. UPANDE WA KUSHOTO CLICK VIEW > ONLINE CONTENT

1016275_396361977152011_480993017_n.jpg

3. KWENYE ONLINE APPS CHAGUA WHATSAPP (DOUBLE CLICK) ITAANZA KUDOWNLOAD WHATSAPP KISHA ITAINSTALL, ILA KAMA UNAYO WHATSAPP.APK KWENYE PC UNAWEZA KUINSTALL DIRECT, BAADA YA KUINSTALL CLICK MENU BUTTON YA ANDROID YAKO

971510_396362007152008_1675836211_n.jpg

4. UKIFUNGUA ANDROID MENU YAKO UTAONA APPS, FANYA KAMA UNASWIPE KWENYE SIMU YAKO (HOLD KISHA DRAG ILI UPATE APPS ZAIDI)

944265_396362017152007_935279934_n.jpg

5. DOUBLE CLICK WHATSAPP NA UANZE SETUP YA WHATSAPP

998517_396362047152004_114186706_n.jpg

6. VOILAAAAAAAAAAAAA, U DONE , HONGERAAA

1004455_396380400483502_1843026640_n.jpg
 
thanks a lot my friend kwa mautundu hayo yote dah! kweli nimepata maujuzi ya uhakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom