TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

Sa ntafanyaje jaman? nimeshaidownload ile ya offline installer, imekula kama 126MB then kuinstall inazngua, hakuna namna ya kuclear regist? au tatzo itakuwa nin?
 
Sa ntafanyaje jaman? nimeshaidownload ile ya offline installer, imekula kama 126MB then kuinstall inazngua, hakuna namna ya kuclear regist? au tatzo itakuwa nin?
kama ningalikua nao ujuzi zaidi ningalikupatia mana mimi sikufanya la zaidi ya kudownload online insteller nikavumilia mpaka imemaliza labda tusubiri wataalam watakusaidia
 
nimedownload latest, i thnk kinachozngua ni baadh ya mafile kwny regist n i dnt knw how to clear them though nilishayadelete manually
 
latest version YA bluestacks kenye official site yao pia watakukamata kenye physical memory..(kwa wenye ram chin ya 2GB) HIZO OLD VERSION UNAWEZA PITA ILA KAMA ALIVYOSEMA MKUU HAPO JUU, UNAWEZA PATA LIMITATED VERSION AMBAPO HAUTAWEZA KURUN PROGRAM ZENYE KUHITAJ HIGH GRAPHIC KAMA VIBER.. TUSUBIRIN WENGINE PENGINE TUNAWEZA KUPATA IDEA YA KUSOLVE TATIZO LA GRAPHIC
 
Yaan nimeistall kwny laptop nyngne imekubal, some apps pia zimekubal kuwa installed, ishu whatsup inazngua, ukiinstall inasema no connection au wakat mwngne kama inaanza kudownload hv then inazngua aaah, ngoja 2tafute cm 2
 
Samahani mkuuu hebu nisahihishe kama nakosea. Ina maana kuwa wenye microsoft windows haiwezekani?

Lakini hata hivyo jamani Whatsapp inanoga kwenye handsets na tablets bana, kwenye computer hata haipendezi.
Bila samahani.
Kwa windows inawezekana ila mpaka kuiweka ni njia ndefu kulinganisha na kuiweka kwenye Linux mfano Ubuntu.
Na inanoga sana kwenye simu, ila hata kama unatumia simu ya Android kwenye PC na kuunganisha na OS yako nayo sio mbaya.
ubuntu20for20android-11324978.jpg



0212_ubuntu_android_660.jpg


Ubuntu for Android Turns Your Phone Into a Desktop Computer | Gadget Lab | Wired.com

Ubuntu for Android Will Bring the Desktop to Your Phone | PCWorld

KWA KUWA ANDROID NI YA LINUX, WANATAKA UWE UNAWEZA KUITUMIA SIMU KAMA PC YAKO. UNAWEZA KUTUMIA PROGRAMS ZOTE ZA SIMU KWENYE PC NA PIA KIWA NA UBUNTU 1 YENYE CLOUD.
HATA KU-LOG IN UNAWEZA KUTUMIA REMOTE LOGIN.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom