TUMIA Whatsapp na Instagram kwenye Computer yako

Nafikiri umeona mkuu whatsapp, viber, na mazogozogo yote ya andoid naenjoy
wakuu naomba mnipe hint katika haya mambo mawili
1. how to feed contacts kwenye whatsapp?
2. nitapataje list ya media files kwenye music app ambayo iko ndani ya bluestacks? last time kwa kutumia TTPod nilishindwa kuplay music
 
i thought it already there,
Anyways lets me see what else i can get from Blue Stacks
 
Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nymgneee

ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa
kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated... So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa
 
Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.
 
install Youwave au BlueStarks kwenye pc yako, ni mobile emulators zitakozokuwa na interface ya android kisha utaona apps, whatsapp imo ndani chagua fanya config kama kwenye simu na utakuwa tayari kuanza

asante sana c6, nimedownload hyo youwave ila inakua haipo active, napo hapo nifanyaje!
 
Download App inaitwa Bluestack Kutoka hapa Run Mobile Apps on Windows PC or Mac with BlueStacks | Android App Player then Run Hyo app so Utakua na Access na Playstore so utaweza Kudownload App zote Ikiwemo Whatsapp Instagram, viber, tango, na nymgneee

ila Hyo App Ni ina Mb 8 tu ila inahtaji Specs kubwaaa
kwanza Ram Lazma Iwe 2gb Pia Graphic accelerator lazma ziwe Updated... So Kabla Ya Kudownload Na Kuinstall Fix Hzo kwanzaaa

pc yangu ina ram 2gb, procesor 3.2 , graphics yake ni intel au inataka nvidia
 
Ukisha insall bluestack, ingia kwenye google play install go launcher ex, itaifanya hiyo bluestack iwe na mwonekano mzur wa android kama za cm, bt kunakua hakuna mwingiliano wwte kati ya pc na bluestack mfano ukitaka kutuma picha kwa kutumia watsapp na kama hiyo picha imo kwenye pc, inatakiwa ui install dropbox kwenye pc yako.

nimedownload bluestack nikianza kuinstall inagoma
 
inagoma Inakupa Taaarifa Gan??? nadhan Ltakua Ni Suala La Graphic Driver.. inabd U update!! jarbu Kutafta App za Ku update Driver Kama Vle Driver Genius!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom