Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,139
- 25,400
1. Washa hotspot yako ili uweze kuunga simu yako na computer/ laptop hii ni free haihitaji kuwa na data/ bando kwenye simu yako
2.ingia kwenye Xender yako gusa neno Connect to PC itakupeleka sehemu hii hapo picha ya pili kwa chini
3.Kuna number hapo kwenye steps 3 izo ni web address unatakiwa uandike kwenye browser ya PC yako
4. Ingia kwenye web browser ya Pc. (Tumia Microsoft Edge).
Ingiza ile web address [192.168.....] bila kukosea hata nucta kwenye Microsoft edge.
Hizi utaziandika sehemu ya kusearch address juu.
Kisha utabonyeza "Enter"
utaletewa notification ya kuruhusu Pc ku-access simu yako
5.Utaingia kwenye simu kisha utaruhusu kwa kubonyeza "Accept"
Kisha itakuwa imesha-connect.
6. Hapo ishakuwa connected kama unataka kuweka picha utaweka kwenye picha kama unataka kuweka movie utaweka kwenye movie kama kwenye audio ni audio
Muhimu:
Kumbuka process zote hizi hazitumiii Mb's wala bundle la aina yeyote, hivyo unapoconnect Hotspot ya simu yako na Pc hakikisha uwe umezima data ya simu yako.
Na ukiconnect Pc yako itakwambia "wifi connected without network"
_____________
Tulia, soma steps taratibu✌️
Picha za juu credit by me
Picha za chini
Credit by njiwa flow