Think Pad,
Ulicopy hapa zile posts zako kuleeeeee kwa Kabanga ampiga mkoloni....sawa?
"Ngozi ya kenge ina madoadoa, inamaaa, inukaaa inamadoadoa"
..Mwanaidi na kikapu cha unga x2,
Ashikashika, aikokoa, aishikashika aikokoa.......!duuuh!
Hakiyanani.....darasa la kwanza hapo......!
Nani anamwoga simba?......hatumwogopi,akija tutakimbia kimbia tuoneeeee!.....
hapo inakuwa patashika nguo kuchanika......!
Think Pad,
Ulicopy hapa zile posts zako kuleeeeee kwa Kabanga ampiga mkoloni....sawa?
.....he!he!he!heheeeee.....hii nayo La kwanza na la Pili......! daaa zamani hizo....natamani niwe mtoto kweli (JD)!"Sasa, sasa, saa ya kwenda kwetu, kwaheri mwalimu kwaheriiiii, tutaonana keshoooooo! hapo kinachofata ni mbio
Sio hapo bwana eeeh unakalili nini?
.....ni watu wazima sisi ati, sio under 18!
.....he!he!he!heheeeee.....hii nayo La kwanza na la Pili......! daaa zamani hizo....natamani niwe mtoto kweli (JD)!
Huu j, waukumbuka?
"Maua mazuri yapendezaa,ukiyatizamaa, yanameremetaaa.............."
NA
"Hii ndiyo "a" a a a inamkia mfupiii, a a a