Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,644
- 113,877
Mkuu pasco mayalla tangu lini kitambaa kikazuia virus kupenya bila kuwa na material ndani yake yanayocapture huyo virus? Kumbuka hizo za kushona wanaweka vitambaa tu je uhakika wake kuzuia virus wizara na watalaamu wake wametoa maelekezo jinsi ya kutengeneza?
Pili kama serikali haina uwezo hata kuwapa wahudumu je michango ya wanayopokea inafanya kazi gan?
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Hili tulishauri humu toka mwanzo kuwa tusilete siasa kwenye Corona.Mkuu na ndiyo hapo tunasema Mh. Ummy should vacate the office, she is a failure kwenye wizara specifically ktk kukabiliana na Corona. Wizara haijatoa maelekezo yeyote, na ni kweli no body knows ufanisi wa vitambaa. Rais hawakumshauri toka mwanzo, na ilikuwa hatati hata rais angeweza kupata maambukizi kwa sababu ya uzembe wa wizara ya afya.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums
P