Tuliokuamini na kukutetea kwenye janga la Corona umetuangusha. Nimepoteza rafiki na ndugu kwa janga la Corona. Serikali chukueni hatua

Mkuu pasco mayalla tangu lini kitambaa kikazuia virus kupenya bila kuwa na material ndani yake yanayocapture huyo virus? Kumbuka hizo za kushona wanaweka vitambaa tu je uhakika wake kuzuia virus wizara na watalaamu wake wametoa maelekezo jinsi ya kutengeneza?
Pili kama serikali haina uwezo hata kuwapa wahudumu je michango ya wanayopokea inafanya kazi gan?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mkuu na ndiyo hapo tunasema Mh. Ummy should vacate the office, she is a failure kwenye wizara specifically ktk kukabiliana na Corona. Wizara haijatoa maelekezo yeyote, na ni kweli no body knows ufanisi wa vitambaa. Rais hawakumshauri toka mwanzo, na ilikuwa hatati hata rais angeweza kupata maambukizi kwa sababu ya uzembe wa wizara ya afya.
Hili tulishauri humu toka mwanzo kuwa tusilete siasa kwenye Corona.
Corona inatufundisha Tanzania tuna tatizo kuchanganya siasa na professionalism. Hongera Prof. Janabi kwa elimu uliyotoa, so far you are the best! - JamiiForums

P
 
Nilichangia hivi kwenye uzi mwingine:

Hii itakua unpopular opinion ila nitasema ninachofikiri.

Pasi na chembe ya shaka Covid-19 ni ugonjwa hatari ila, kwa mawazo yangu, dunia nzima ime overact na jinsi ya kukabiliana na huu mlipuko.

Kinachoendelea sasa ni mashindano ya kutoa takwimu za waathirika na kutishana. Bado death rate ya corona sio ya kutisha sana kiasi cha kufanya shughuli zingine zote zisimame. Ikumbukwe watu walikua wanakufa kabla ya corona na wataendelea hata baada ya corona, it's the circle of life. Sasa kila anayefariki ni corona magonjwa mengine yote yamepotea ghafla. Hata mimi nikifa kwa corona hakuna sababu ya maisha ya wengine kusimama.

Nadhani kuchukua tahadhari tu ingetosha ila sio kusimamisha maisha ya watu juhudi ambazo hazionekani kuzaa matunda yoyote, mwishoe watu watasema potelea mbali na kurudi makazini. Dawa au chanjo ya corona isipopatikana hadi mwakani watu wataendelea kukaa ndani mwaka mzima?

Sasa bongo nao watu wanataka kila kitu kisimame sababu corona imeua watu watano toka ianze, really? I can assure you malaria imeua wengi zaidi ya hao in the last 24hrs.

According to Wikipedia, Mortality rate - Wikipedia, inakadiriwa watu laki moja na nusu hufa kila siku kwa sababu mbali mbali duniani. Sasa iweje corona iliyoua watu karibu watu laki moja na nusu kwa miezi mitatu isimamishe dunia.

www.worldometers.info/coronavirus/
Confirmed
2,173,432
Recovered
554,786
Deaths
146,291

Media nyingi zinatoa idadi ya vifo na waathrika wapya tu hawasemi wangapi wamepona. Nia ni kujazana hofu.

Come June maisha yataendelea aidha chanjo imepatikana au lah, vinginevyo we're facing economy Crashdown beyond repair. Kilichofanyika so far ni kuua sisimizi kwa nyundo.

Leo naongezea, JPM kawa sahihi na mfano wa kuigwa katika mapambano dhidi ya corona, hakuna papara wala lockdown za kishamba. Leo wale wale waliokuwa wakwanza kukimbilia kufunga nchi zao wanaanza kufungua ilhali bado dawa wala chanjo ya corona haijapatikana. Kwahiyo muda wote waliofanya lockdown ni useless na lockdown zao hazijaa matokeo chanya yoyote, wana victims sawa au zaidi ya ambao hawajafanya lockdown kabisa. Lockdown is an illusion.
Yani wewe ni zuzu la mazuzu kabisa. Huna data, hujui yanayoendelea and mostly upo ndani ya serikali umepigwa lock ya akili unatetea ujinga! Huyo unayesema ni mfano wa kuigwa nadhani unatoa dhihaka kwa waliokumbwa na hili tatizo.
 
Mkuu na ndiyo hapo tunasema Mh. Ummy should vacate the office, she is a failure kwenye wizara specifically ktk kukabiliana na Corona. Wizara haijatoa maelekezo yeyote, na ni kweli no body knows ufanisi wa vitambaa. Rais hawakumshauri toka mwanzo, na ilikuwa hatati hata rais angeweza kupata maambukizi kwa sababu ya uzembe wa wizara ya afya.
Mkuu Mudawote kumbuka Mhe. Ummy Mwalimu ni mwanasiasa hana utalaamu wowote kuhusu magonjwa haya ya mlipuko tangu mwanzo mamlaka ya uteuzi ilipaswa kulifahamu hilo na kuchukua hatua ya haraka either kwa kuteua kamati ya watalaamu ambayo ndio ingehusika kucontrol kila kitu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Narudia lockdown is an illusion. Practically lockdown haiwezekani zaidi ya kukandamiza watu wa chini zaidi na biashara kubwa ambazo hazijawahi kusimama kuendelea kufanya kazi kwa kisingizio cha essential business. Convenient store imefungwa, Walmart ipo wazi. Hii ndo mnaita lockdown?

Kenya wana the so called lockdown, TZ haina. Wapi kuna reported victims wengi na vifo kati yao? Ukijibu hilo utapata jibu la faida ya lockdown.

Ni ujinga kumfungia ndani mtu mzima sawa na mtu mgonjwa this is unheard of. Mimi niache kazi zangu sababu wewe unaumwa; au wewe uache kazi zako sababu mimi naumwa? Mambo ya ajabu sana haya.

Tatizo sio maambukizi ya corona kama ambavyo media zinashindana kutangaza sasa; swala hasa ni wangapi hasa wanakufa kwa corona wasio na chronic underlying issues? Rate ya corona inaweza kufika 100% ila kama death rate yake ni ndogo kama ilivyo sasa ni ujuha kuendelea kukumbatia lockdown.

The more watu wanapata corona the more herd immunity inaongezeka. So maambukizi ya corona sio ishu kama death rate yake itabaki kuwa ndogo hivi.
Kwani wizara ya afya ya Tanzania kuna jipya inalofanya? Lipi? Si wanarukaruka tu. Kiongozi serious unafanya huu utoto anaofanya Ummy?
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
Sijui hata kama umeelewa alichoandika barafu. Umetoka mbio kutetea upuuzi kwa jina la lockdown. Umekaririshwa na wewe ukakariri lockdown.

Barafu anaongelea ukosefu wa protective gears (PPE) kwa wahudumu unaopelekea nao waambukizwe au wawakwepe wagonjwa. Anaongelea udhaifu wa vituo vilivyotengwa kupokea na kuhudumia wagonjwa. Anaongelea takwimu zinazoonekans kufichwa. Anaongelea kiongozi mkuu kujali uchumi badala ya uhai. Ametaja kiongozi mkuu kutokuwa jemedari mkuu kwenye janga hili na mengine mengi.

Wewe unakuja na upuuzi wa lockdown kwa kukariri ukiiamini ni msamiati pekee kwenye janga hili. Mie nakuongeza wa pili kariri na huo uwe unautumia kutetea upuuzi huu. Nakupa sanitizer. Ukitoka hapo jisifu.

Mnatetea upumbavu kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ktk yote suala la lockdown mi nalikataa, tunguze tu misongamano isiyokuwa ya lazima. Kuhusu udhaifu wa huduma, hilo ni wazi, Mh. Ummy na wizara yake hawakujiandaa kabisa, na alipaswa aondoke na katibu mkuu wake ili liwe fundisho kwake maana hakuweza kumshauri rais mapema. Pia kuhusu kuongezeka maambikizi hilo nadhani waliopuliza chlorine inawezekana ilikuwa na vimelea wakavieneza (according).
Mkuu nisome vizuri,sijasema Total lockdown,hebu nisome tena vizuri
 
Mkuu Savimbi, it's true watu wa kipato cha chini, hawana uwezo wa kununua barakoa wala sanitizes, ila serikali yetu pia haina uwezo wa kuwagawia bure wote, kama imeshindwa tuu kugawa kwa wahudumu wa Afya ambao kwao ni vitendea kazi muhimu, then kwa watu wa kawaida its just an impossible task!.

Kufuatia hali hii, JPM ameshauri Watanzania tutumie barakoa za vitambaa vyovyote na poa tujikinge kwa alternative medicine za tiba asili na tiba mbadala.
P
Hela za kununua wabunge wa upinzani wanazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ktk yote suala la lockdown mi nalikataa, tunguze tu misongamano isiyokuwa ya lazima. Kuhusu udhaifu wa huduma, hilo ni wazi, Mh. Ummy na wizara yake hawakujiandaa kabisa, na alipaswa aondoke na katibu mkuu wake ili liwe fundisho kwake maana hakuweza kumshauri rais mapema. Pia kuhusu kuongezeka maambikizi hilo nadhani waliopuliza chlorine inawezekana ilikuwa na vimelea wakavieneza (according).
Ummy mnamuonea.

Hii lawama inafaa imuangukie namba moja.

Ummy hajapewa hela yeyote ya kusimamia jambo hili.

Hii vita ingeongozwa na top 3 na sio Ummy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani wewe ni zuzu la mazuzu kabisa. Huna data, hujui yanayoendelea and mostly upo ndani ya serikali umepigwa lock ya akili unatetea ujinga! Huyo unayesema ni mfano wa kuigwa nadhani unatoa dhihaka kwa waliokumbwa na hili tatizo.

Ongea kwa data shangazi sio ngonjera. Niliweka data, jibu kwa data kama huna kitulize.
 
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P

Nasikitika mtu kama wewe kutoelewa hoja ya barafu...

Kikubwa anacholia mkuu barafu ni kuwa "SERIKALI IWEKE WAZI HALI HALISI NA WAGONJWA, VIFO NA WANAOPONA COVID-19" , hayo la Lockdown kayaongelea kidogo sana kwenye mada yake..
 
Narudia lockdown is an illusion. Practically lockdown haiwezekani zaidi ya kukandamiza watu wa chini zaidi na biashara kubwa ambazo hazijawahi kusimama kuendelea kufanya kazi kwa kisingizio cha essential business. Convenient store imefungwa, Walmart ipo wazi. Hii ndo mnaita lockdown?

Kenya wana the so called lockdown, TZ haina. Wapi kuna reported victims wengi na vifo kati yao? Ukijibu hilo utapata jibu la faida ya lockdown.

Ni ujinga kumfungia ndani mtu mzima sawa na mtu mgonjwa this is unheard of. Mimi niache kazi zangu sababu wewe unaumwa; au wewe uache kazi zako sababu mimi naumwa? Mambo ya ajabu sana haya.

Tatizo sio maambukizi ya corona kama ambavyo media zinashindana kutangaza sasa; swala hasa ni wangapi hasa wanakufa kwa corona wasio na chronic underlying issues? Rate ya corona inaweza kufika 100% ila kama death rate yake ni ndogo kama ilivyo sasa ni ujuha kuendelea kukumbatia lockdown.

The more watu wanapata corona the more herd immunity inaongezeka. So maambukizi ya corona sio ishu kama death rate yake itabaki kuwa ndogo hivi.
Unaamini takwimu za serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongea kwa data shangazi sio ngonjera. Niliweka data, jibu kwa data kama huna kitulize.
Hujaweka data yoyote. Unajua hatari ya huu ugonjwa wewe? Kama wenzetu wasingechukua angalau sehemu ya hatua walizochukua basi dunia ingeshuhudia mauti ya aina yake. Unajua mpaka China anafanikiwa kudhibiti huu ugonjwa alipambana vipi? Unadhani alifanya huu ujinga unaofanywa na Tanzania? Emb tumia akili walau kidogo. Unadhani kila mtu angefanya ujinga kama huu tunaofanya dunia ingekuwaje?

Yani unakaa kabisa unasifia kuwa Magufuli kachukua hatua nzuri halafu bado unataka nikuone una akili? Siwezi!
 
Unaamini takwimu za serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio swala la kuamini bali ndo reference iliyopo so far. Kama siwaamini wao nimuamini nani maana mtu yeyote anaweza kuja na zake. Nimuamini nani?

Siongelei TZ tu, USA ambako kuna vifo vingi na ambako watu wengi wanaichukulia kama mfano, bado death rate ya huu ugonjwa ni ndogo sana kiasi cha kusimamisha shughuli za watu. Prominent immunologists are coming out of the woodwork kupinga vikali lockdown na overreaction ya huu ugonjwa, sasa wanataka restrictions ziondolewe. Hawa ni Drs sio a layman in the streets.
 
Hujaweka data yoyote. Unajua hatari ya huu ugonjwa wewe? Kama wenzetu wasingechukua angalau sehemu ya hatua walizochukua basi dunia ingeshuhudia mauti ya aina yake. Unajua mpaka China anafanikiwa kudhibiti huu ugonjwa alipambana vipi? Unadhani alifanya huu ujinga unaofanywa na Tanzania? Emb tumia akili walau kidogo. Unadhani kila mtu angefanya ujinga kama huu tunaofanya dunia ingekuwaje?

Yani unakaa kabisa unasifia kuwa Magufuli kachukua hatua nzuri halafu bado unataka nikuone una akili? Siwezi!

Unaweza kukaa ndani shangazi hujakatazwa. Wengine tunadunda mtaani kama kawa bila panicking yeyote.
 
Wewe hujitambui. Kuchukua hatua si lazima total lockdown. Endelea kudunda ila Koona ikikupiga au ikipiga ndugu yako ndipo utakaa sawa. Kwanza sibishani na watu wasiojielewa.
 
Kama kawaida naona unaendelea kutetea tumbo lako. Wakipotea ndugu zako hata wawili au watatu akili zitarudi.
Mkuu Barafu, kwanza pole sana kwa kufiwa na rafiki rubani wa Tanapa. Pia kwa incident ya kifo cha Mzee wa jirani aliyekosa huduma hadi kupoteza maisha na familia yake kuingizwa karantini.

Tangu kuingia kwa janga la Corona, elimu ya kinga imeenezwa sana, ila kwa upande wa msimamo na kauli za rais wetu, kuna watu hawajamwelewa ukiwemo wewe.

Watanzania tuko wa aina tatu
1. Kundi la kipato cha juu na watumishi wa umma, matajiri na wafanyabiashara wakubwa. Hili ndilo kundi pekee ambalo wanaweza kuishi kwenye lockdown. Hawa wako wachache nchi ikiamua kufanya lockdown, wataendelea kulipwa even by doing nothing, na wataninua mahitaji yao yote na kujifungia ndani. Hawa ni watu wenye magari yao na wanaweza kununua mahitaji yote supermarkets. Kwenye kundi hili, they've made money and now, they use money work for them.
Yaani wanapesa ambapo wanaweza kukaa na kuitumia pesa kuwafanyia kazi. Kati ya watu milioni 50 ya Watanzania, kundi hili lina watu 10% ambao ni watu milioni 5.

2. Kundi la pili ni watu wa kipato cha kati, the working class, hawa ni wafanyakazi waajiriwa, wazalishaji mali na wafabiashara wa kati. Hawa wanafanya kazi, wanatoka jasho ndipo wapate pesa. Ikitokea lockdown hawa uzalishaji utasimama, biashara zitasimama, uchumi utatikisika na the working class watapoteza kazi, hivyo hawawezi ku survive kwenye lockdown. Hawa they work for money to live, yaani wanafanya kazi na kuvuja jasho kutafuta pesa ili waitumie hiyo pesa kuishi na kuendesha maisha yao. Ikitokea lockdown hawawezi kufanya kazi na hawawezi kupata pesa hivyo hawawezi kuishi. Kundi hili lina 20% ya Watanzania ambao ni watu milioni 10.

3. Kundi la mwisho ni kundi la watu wenye kipato cha chini, hawa they live hand to mouth, kundi hili ni kundi la wakulima, wafugaji, wavuvi na wafabiashara wadogo ambao ili waishi lazima wawahudumie, makundi yale mawili, kukitokea lockdown, kundi hili ndio most hit, watakufa njaa inabidi wagawiwe chakula, kundi hili lina 70% ya watu milioni 50, ambao ni watu milioni 35. Hawa they don't make any money, they only struggle to survive.

Uamuzi wa rais Magufuli wa no lockdown una lengo la kuzuia kuporomoka kwa uchumi wetu sio ili to make money but kuzuia watu wetu wasife njaa, kama ni kufa kwa kakolona heri wachache wafe kwa Corona, kuliko kufanya lockdown na kuua wengi kwa njaa.

P
 
Wewe hujitambui. Kuchukua hatua si lazima total lockdown. Endelea kudunda ila Koona ikikupiga au ikipiga ndugu yako ndipo utakaa sawa. Kwanza sibishani na watu wasiojielewa.

Poor us tutakufa kwa corona wakati wewe uliyejifungia utapona. Good for you
 
Narudia lockdown is an illusion. Practically lockdown haiwezekani zaidi ya kukandamiza watu wa chini zaidi na biashara kubwa ambazo hazijawahi kusimama kuendelea kufanya kazi kwa kisingizio cha essential business. Convenient store imefungwa, Walmart ipo wazi. Hii ndo mnaita lockdown?

Kenya wana the so called lockdown, TZ haina. Wapi kuna reported victims wengi na vifo kati yao? Ukijibu hilo utapata jibu la faida ya lockdown.

Ni ujinga kumfungia ndani mtu mzima sawa na mtu mgonjwa this is unheard of. Mimi niache kazi zangu sababu wewe unaumwa; au wewe uache kazi zako sababu mimi naumwa? Mambo ya ajabu sana haya.

Tatizo sio maambukizi ya corona kama ambavyo media zinashindana kutangaza sasa; swala hasa ni wangapi hasa wanakufa kwa corona wasio na chronic underlying issues? Rate ya corona inaweza kufika 100% ila kama death rate yake ni ndogo kama ilivyo sasa ni ujuha kuendelea kukumbatia lockdown.

The more watu wanapata corona the more herd immunity inaongezeka. So maambukizi ya corona sio ishu kama death rate yake itabaki kuwa ndogo hivi.
Hujajibu hata swali moja miongoni mwa niliyokuuliza!

Kwamba Kenya kuna lockdown wakati Tz hakuna kisha unahoji ni wapi kuna victims wengi inaonesha wazi haupo objective kwenye hoja zako!!

Kwa mfano, wakati Kenya karibu kila siku wanatoa updates huku ripoti ya mwisho wakiwa wametoa less than 24 hours ago:-
Kenya.png

Okay, kabla hujaanza kujilinganisha na Kenya, tell me mara ya mwisho wizara ya afya ya Ummy Mwalimu imetoa takwimu lini wakati wenzake wanatoa updates hadi Jpili!!

Na sio hivyo tu, wakati Kenya unayojilinganisha nayo hadi sasa ikiwa imeshafanya testing kwa karibu watu 18K:-
Kenya2.png

Taja hapa Tanzania hadi sasa imefanyia testing watu wangapi!!

Ukijibu hayo ndo utapata jibu kama kweli unatoa hoja zako kwa kuwa objective au unatoa ili mradi tu umetoa!

Na kwa kukumbusha tu ni kwamba, Uganda na Rwanda ambao ni majirani na ambazo ndizo zimeweka tight restriction kuliko nchi yoyote EA, hadi sasa hawajaripoti kifo hata kimoja, huku Uganda yenye almost 2/3 of Tz population, hadi sasa ina less than 100 Victims!

Wakati maswali ya mwanzo hujajibu hata moja, unaweza kujibu kwanza hapo juu?!
 
Back
Top Bottom