Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 40,621
- 52,373
hivi kisusio cha kitimoto kinaitwaje?
hicho hakipo, nasikia kiti moto huwa hana damu, ngoja waje wakuu wanaojua zaidi.
hivi kisusio cha kitimoto kinaitwaje?
hicho hakipo, nasikia kiti moto huwa hana damu, ngoja waje wakuu wanaojua zaidi.
sidhani, komba kichaga chake ni "ngaawa"Mkuu kwa kiswahili anaitwa komba...
pole sana sana, na ivi wanaweka mashiwa hapo chini ya dari kabisa ili ndizi iive haraka, "nulela kura mtsu?"Tena hiyo avatar yako Lady N imenikumbusha siku nilipo goma kwenda shamba nikapanda kujificha juu ya kai huku nikizishambulia hizo ndizi hadi nikalala huko kiruu !!! waliporudi shamba c wakawa wanapika hapo kwa chini sasa shida ni ule moshi uliokua unapanda kule aisee nilijikabidhi polepole tu walinipa kichapo mbaya jamaangu.
na kukaa kwangu kote moshi sijaona kula kisusio cha nguruwehivi kisusio cha kitimoto kinaitwaje?
tuko wengi sana, hebu nipe maana ya jina lako kwanza!!nimecheka!, inawezekana wachaga humu ndani ni asilimia kubwa tu.
hapo kwenye red napinga kwa nguvu zote, kimamtune kinapikwa kama kiburu(kyumbo) tofauti yake ni kwamba hakima maharage hichi na huwa wanapewa sana watotoUkimpiga mkeo usiku akapiga yowe basi wazee wanakuja wanakamata ng'ombe au mbuzi wanachinja usiku huo huo na kumla. Kama huna basi ujue utapigwa au utoe pesa watu wakaburudike. Infact hairuhusiwi kupiga mkeo usiku.
Baadhi ya vyakula vya asili:-
-kiburu(kiumbo)
-machalari(ndizi)
-kitawa(ndizi zilizopikwa zikasongwa na kuchanganywa na maziwa mgando)
-kimamtine(damu iliyochanganywa na maziwa mgando)
-ngararimo(mahindi yaliyopikwa bila kukobolewa yakachanganywa na maharage)
nimecheka!, inawezekana wachaga humu ndani ni asilimia kubwa tu.
na 'ndutu'
wachaga maarufu na sehemu walizotoka
kibosho - alex masawe, babu sambeke
vunjo - agustino mrema
machame - r. Mengi, f. Mbowe
marangu - +kibo and other marealles
rombo - b mramba
old moshi - mama mkapa
uru -
wana jf ongezeeni hapa.
Aina ya watu inaweza kutupa tabia za wastani za watu wa sehemu fulani
Wakiruai na Wamwika wanakuwa kwenye kundi lipi la wachaga?
a.Wakibosho b.Wahuru c.Wamachame d.Wamarangu e.Warombo f.Wasiha
Naombeni kujua maeneo mazuri Moshi ya kwenda kupumzika na watoto.
unajua ni kwanini???
ukimfanyia mtu ubaya kuna dua fulani wanaombaga wanaita (kupiga NUNGU) wakishapiga hiyo kama familia wanakufa wote basi yule wa nje ndo atasalia
Mkuu unaweza kunieleza kwa nini wakibosho,wanarumu,wa-uru,na warombo walinyimwa elimu?
nikiangalia hayo maeneo roman catholic wamejikita sana,
lakini ukija machame na marangu kuna lutheran ambayo imejenga shule nyingi,