Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,064
- 7,197
Mamndenyi....
Inaelekea wachagga JF ni zaidi 50%
hakuna kitu kama hiki!
Mamndenyi....
Inaelekea wachagga JF ni zaidi 50%
Wanawake wazuri wanapatikana maeneo ya Marangu na Machame.
Wanaume wapole na wenye hekima wanapatikana Kibosho.
Washamba wote wanapatikana maeneo ya Uru especially Kishumundu
Aaah wapi! Watoto wakichaga ni waukweli sana! Kama unabisha mtafute Mamndenyi kama hujatoa funguo za Vogue!sema tu wanakasoro moja!
Ma.kalio yamepigwa pasi!
Wapeleke Njoro na Pasua huko wataenjoy sanaNaombeni kujua maeneo mazuri Moshi ya kwenda kupumzika na watoto.
Moderators it is about time you start canning these senseless topics that are aimed at sullying the reputation of specific ethnic groups. They serve no purpose at all.
If you canned the other one I don't see why you shouldn't can this one.
Duh! Njoro nayoifahamu balaa..Wapeleke Njoro na Pasua huko wataenjoy sana
Hivi Ndafu Imesahauliwa mh!
hii nni kimalind,mlali,mnyengele au kitarasa
Moderators it is about time you start canning these senseless topics that are aimed at sullying the reputation of specific ethnic groups. They serve no purpose at all.
If you canned the other one I don't see why you shouldn't can this one.
na 'ndutu'
Huu mmea wa isale (sijui kiswahili chake) ukiwa umemkosea mchaga ukaenda kumwomba msamaha ukiwa umeubeba lazima akusamehe.
Mbege ni tamu. Pia kuna pombe inaitwa Dadii... Ni noumer. Vipi kuhusu machalarii? Heheheheee. Mimi huwa naushangaa sana huu mmea wa isale/msale. Una maajabu mengi. Mfano, nilipovunjika mkono kipindi nikiwa na miaka 2, walinichanja wakaniwekea dawa yake kutoka katika huu mmea na baada ya siku moja nilipona kabisa kabisa. Pia ni mmea ambao ukiuweka katika kila kona ya eneo/shamba yako, mchawi hakanyagi hata kwa dawa gani. Na hiyo mbuzi ya mila huwa ina maajabu yake, kama wewe sio mtoto wa ukoo inakataa, nyama yake inakuwa mbaya. Kama utakuwa na maisha mazuri hiyo mbuzi inakuwa tamu sana ikichinjwa.
Aaah wapi! Watoto wakichaga ni waukweli sana! Kama unabisha mtafute Mamndenyi kama hujatoa funguo za Vogue!
wewe wasema.
Mbutha! Mmejaa kweli chagga kingdom ni strong zaid ya roman empire