GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,646
- 109,032
"Kwa Mila zetu Wachagga ni kwamba Mwanamke yoyote yule wa Kichagga akiolewa licha ya Kumzalia Watoto huyo Mumewe lakini pia anatakiwa Kuchanganya Damu ( Kuzaa Mtoto wa Nje ya Ndoa ) ili ikitokea hawa Watoto aliozaa na Mumewe wa Ndoa wamepatwa na Janga baya la Ugonjwa basi kuwepo na Mtoto Mwingine ambaye ni mzima na huyu ni wa Nje ya Ndoa" amesema Mwanamke wa Kichagga kutoka Marangu alipokuwa akizungumza na Mdadisi na Mchokonoaji Tukuka GENTAMYCINE jana Jioni.
Taratibu sasa naanza Kumuamini na Kumuelewa kwani kuna Familia Tatu za Kichagga zote zina Watoto Wanne Wanne ila zote hizo kuna Watoto ambao hawafanani kabisa na Wenzao Watatu ndani ya hizo Familia zao.
Haya Ndugu zangu mliooa au mtakaooa Wanawake wa Kichagga kulea Mabao yasiyo yenu ni jambo la kawaida hivyo kuweni tu Wavumilivu kwani Wanawake wa Kichagga wanadumisha Mila za Kwao Mkoani Kilimanjaro ( Moshi )
Kazi ipo.....!!