TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

SASA GAVANA MNAMLIPA $ 15,000 KWA MWEZI INAWAUMA....huyu alipokuwa benki ya afrika alikuwa analipwa mara tatu ya hiyo.....mkapa akamuomba aje amsaidie balali unaibu...kwa pungufu ya hapo kwa hoja ya uzalendo...

maximo mnamlipa $ 50,000 kwa mwezi basic salary...tufikie mahali tujuwe duniani kinaendelea nini.....sidhani kama mishahara yetu inastahili hata kufananishwa na nchi za jirani....viwango vyetu vipo chini...

kama akili yako iliyokuwa chini
 
na wewe na kingereza chako cha kuunga unga na ka-exposure kako unajifanya mwanasiasa????!NO WODER ka-exposure unakokaamini kamekujengea dharau!HATA HIVYO YOU ARE THE LOOSER BRO!

merry x-mass


Umeishiwa pesa kwenye internet cafe!!! Ahahaaaaaaa!!!

Merry X mass!!!
 
hakuna cha ajabu hapo!wewe hujui renovation imefanyikaje na hujui material zimenunuliwa zipi,kwa specification gani,na ni kiasi gani!hata kama wameweka vioo vya BULLET-PROOF HUTAKAA UJUE!endelea kubwabwaja,so far construction HUJUI!UNATUMIA CROSS-MULTIPLICATION kwenye ujenzi!au niseme unaleta SIASA kwenye technical matters?enewei.....POLE KIJANA

Geoff

Unasema watu hawajui construction na wewe ndiyo unajua kila kitu kuhusu ujenzi. Wewe ni nani by professional, are u a Civil engineer,Quantity surveyor or an Architect. Sasa kwa profession yako uliyonayo tuambie vigezo vya kununua nyumba kwa 450,000 USD na halafu uikarabati kwa 1,000,000 USD!!!

Hata mtu ambaye siyo professional hapa kuna tatizo. Na tatizo si jingine ni UFISADI,UFISADI,UFISADI tu. Nothing else.Tusidanganyane hapa.

Kila mtu ana profession yake. Lakini hata uwe Doctor of Medicine, Lawyer, Teacher or whatever, na uwe unajenga nyumba yako mwenyewe huwezi kukubali Contractor akupe bajeti za kitapeli na za hovyo hovyo na wewe ukubali tu bila kufanya tathmini. Mfano akwambie kuwa mfuko mmoja wa cement una-cost Tshs. 100,000 na wewe ukubali.

Mwenyewe utaonekana ni ***** pamoja na elimu yako ya Udaktari, Uanasheria au Ualimu. Usifikiri kuwa kutosomea profession fulani isiyo kwenye fani yako iwe ni kigezo cha kukubali kila kitu unachoambiwa. No Sir. Siyo kweli hata kidogo.

Lazima watu tuwe realistic kwenye issues kama hizi.
 
Geoff

Unasema watu hawajui construction na wewe ndiyo unajua kila kitu kuhusu ujenzi. Wewe ni nani by professional, are u Civil ebgineer,Quantity surveyor or an Architect. Sasa kwa profession yako uliyonayo tuambie vigezo vya kununua nyumba kwa 450,000 USD na halafu uikarabati kwa 1,000,000 USD!!!.

nikikwambia profession yangu PUBLIC haita saidia!wewe amini hivyo kwamba mimi ni mtaalamu.kununua nyumba kwa milion karibu mia tano na kuikarabati kwa zaidi ya hapo INAWEZEKANA SANA!gharama za nyumba mara nyingi hutegemea na:
DESIGN,CLIENT'S NEED(ambayo ni specifications)!MATERIALS(zinategemea na brand-hapa kuna gharama kubwa sana),labda pia na CONSTRUCTION METHODOLOGIES!...naomba uwe na kitu kimoja cha ku-bear in mind mkuu wangu...HII NI NYUMBA YA GAVANA WA BENKI KUU!kuna vitu vingi sana vitakuwa installed ndani humo(forget the security systems and all damn things)...!NARUDIA TENA INAWEZEKANA!.[/QUOTE]



Hata mtu ambaye siyo professional hapa kuna tatizo. Na tatizo si jingine ni UFISADI,UFISADI,UFISADI tu. Nothing else.Tusidanganyane hapa.!.
UFISADI UNAWEZA KUWEPO!lakini wewe una-feel!yani unahisi tu kwamba kuna ufisadi!lakini kitaalamu tunaweza kujustfy kwamba hiyo nyumba imekuwa rennovated kwa 1b,na ukitaka tunakupa hadi RATE-BUILT UPS.
JENGA HOJA YA UFISADI UELEWEKE MKUU WANGU!ACHA BLAH BLAH NA MATUSI KAMA HAYA:


Mwenyewe utaonekana ni ***** . .!.

Haya mambo mnashindwa kuyajengea hoja za kitaalamu,ndio maana hamuelewi,NA HAMUELEWEKI.
 
Jamani, mmeliona jumba la kifahari lilofanyiwa ukabarati tu ulogharimu zaidi ya bilioni moja!!...jamani hii si dharau kubwa sana kwa watanzania wafata upepo ambao hawana uhakika hata wa kupata mlo mmoja kwa siku!! hivi sisi tutazinduka lini??
 

Attachments

  • NYUMBA- UPANDE WA MBELE.JPG
    NYUMBA- UPANDE WA MBELE.JPG
    13.8 KB · Views: 91
  • NYUMBA YA GAVANA WA BOT.jpg
    NYUMBA YA GAVANA WA BOT.jpg
    12.9 KB · Views: 89
Wakati nchi inafukuta kwenye umasikini, wao wanaspend hadi senti ya mwisho.
Ukarabati huo wa Billion moja? kama ingebomolewa ikajengwa upya si ingegharimu chini ya hapo?
 
Tunapozungumzia Bn.1 ( chini ya Dola Million moja hivi.. ni pesa nyingi sana...lakini ebu uangalie nyuma Prof, Beno Ametokea Marekani.. ambako nyumba za hadhi yake ni kama dola milion mbili...). Tupate ushauri wa wakandarasi wa ujenzi hasa kuhusu hoja kwamba Gavana alitaka nyumba yale iwe na bwawa la kuogelea... hapo ndipo nadhani pesa nyingi...tuhesabu kwa dola imetumika...

Kuhusu hoja ya kubomoa na kujenga upya kwa gharama kidogo... hapa naona pia tupate ushauri wa wajezi maana tutakuwa tunabomoa nyumba ngapi kwa ajili tu ya kushusha gharama?? tukumbuke kwamba thamani ya nyumba hupanda kwa kuifanyia matengenezo na si kwa kuijenga upya....
 
yaani hii serekali ya kisanii ...., nasikia uchungu mpaka hapa , naona sasa tumekwisha, rais jk??? kudadadeki!! watz kwisha....
 
Kweli tumezidi kujadili upupu humu!

Aliyeshiba siku zote hamjui mwenye njaa. Wakati mashule yetu wanafunzi wanasoma chini ya miti na kukaa chini na mahospitali yetu hayana vitanda wala madawa wewe unaona kujadili ukarabati wa kutumia $1 million ni upupu!

Ningekuwa Rais wa Bongo ningewafukuza wote waliohusika na kuidhinisha ufujaji huu wa pesa na wale wote ambao nyumba zao zimehusika ikiwemo huyo Ndullu.
 
Nyumba ya kawaida kabisa,hasa kwa makazi ya Governor wa benki kuu ya Tanzania. Matengenezo hayo imetumika pesa kidogo sana ukichukulia hii ni serikali inatumia si mtu binbafsi. Matumizi haya tukiyachukulia at personal level ni makubwa sana lakini at givernment level ni kawaida sana.
 
hapo profesa Ndulu kala hizo pesa asilimia themanini, nina uhakika...huyu mtu ni hatari kuliko Balali, mtoto akiwa mwizi na baba anakuwa nani????
 
Sioni cha kushangaza hapo.........acha aishi maisha ya staha, kazi yake ngumu gavana wetu. Si mnajua kazi yake kubwa ni, inter alia, kuhakikisha financial system in the country is stable, safe and sound. Hii kwa kipimo chochote kile ni kazi ngumu inayoitaji utulivu wa khali ya juu sana.

Kwa nchi iliyozungukwa na mafisadi kila kona, anahitaji utulivu wa nafsi na roho ili kukabiliana na manyang'au!!
 
Aliyeshiba siku zote hamjui mwenye njaa. Wakati mashule yetu wanafunzi wanasoma chini ya miti na kukaa chini na mahospitali yetu hayana vitanda wala madawa wewe unaona kujadili ukarabati wa kutumia $1 million ni upupu!

Ningekuwa Rais wa Bongo ningewafukuza wote waliohusika na kuidhinisha ufujaji huu wa pesa na wale wote ambao nyumba zao zimehusika ikiwemo huyo Ndullu.


Ulitaka Gavana wa BoT akae Sinza au magomeni katika nyumba za hadhi ya chini?

Umasikini sio sifa jamani!! Katika nchi ni jukumu la kila raia kujikwamua kutoka katika hali duni, serikali inafacilitate tu!!
 
Kwa kasi hii ya kuandika upupu tutaanza kuboa sasa hivi? Wewe mtoa hoja unafahamu mshahara wa Gavana? Kabla ya kufikiria nyumba anayoishi?
 
Back
Top Bottom