TUHUMA za nyumba ya Gavana wa BOT na majibu yake

gharama ya ile nyumba nia FINISHING!
unajua bei za tiles,marbles na kuifurnish nyumba kwa vitu ambavyo wamevioutsource america?

Hapana hatujui kwa nini usituwekee bei wewe? Hiyo driveway na bustani zimejichokea utadhani haziudumiwi bilioni moja my rear end.
 
sasa wewe unachobishia nin?unaona bilioni moja kubwa sana?

I AM TELLING YOU,ONE BILLION IN CONSTRUCTION IS NOTHING!
 
nyumba ya dola milioni moja Tanzania haitakiwi iwe kama hiyo.. I think.. unless kuna kitu kingine watu wanalipia.
 
Tatizo lenu ni umasikini mlio nao wa kutokujua na kutokufahamu. Hiyo nyumba siyo ya Beno Ndulu binafsi. Ni nyumba ya Gavana wa BOT ambaye kwa sasa ni Beno Ndulu. Akija mwingine ataingia. Ukarabati huo umefanyika kufuatana na bajeti iliyopitishwa sasa mnalalamika na kushangaa nini. Hiyo Bilioni 1? Kama iko ndani ya bajeti iliyopitishwa so be it. A billion figure is just a relative figure. Kama huna waiona nyingi na kama unazo kama vile BOT it is just an expendable item.

Of course ukilinganisha na nyumba yako binafsi ndiyo unahisi kuna ufisadi. Lakini haya majumba yote ya serikali ya mashirika ya umma yanajengwa through tendering process na wanapewa contaractors. Hapo ndipo gharama zinakuwa kubwa. Kwa sababu kuna Main Contractor, Consulting Engineer, Electrical Consultant, Quantity Surveyor na kadhalika. Wote hawa wanatakiwa kulipwa professional fees kufuatana na sheria ya nchi. Sasa ukayajumlisha haya pamoja na gharama za vifaa vya ujenzi utakuta hiyo bilioni moja na kajisenti tu.

Kwa hiyo acheni ushabiki wa watu wasioenda shule.
hivi wewe unajua what is a budget, today if i say that i have budget to buy a bag of cement for tshs 50,000.00 wakati bei ya cement ni tshs 12,000.00 kunakuwepo na akili kweli unapo halalisha matumizi ya tshs 50,000.00 kisa eti ilikuwa budgeted for wewe ndio unaonyesha huelewi kitu kabisa kabisa, utumbo mtupu.
 
nyumba ya dola milioni moja Tanzania haitakiwi iwe kama hiyo.. I think.. unless kuna kitu kingine watu wanalipia.
dola milioni moja ni pesa ndogo sana kwenye ujenzi mkuu!ukitoa V.A.T kwenye hiyo hela unapata sh ngapi?ukitoa 60% ya hela iliyobaki kwa ajili ya materials TENA IMPORTED unapata sh ngapi?
 
sasa wewe unachobishia nin?unaona bilioni moja kubwa sana?

I AM TELLING YOU,ONE BILLION IN CONSTRUCTION IS NOTHING!

Hiyo Billion mmoja siyo ya construction ni ya renovation!!!!! Nyumba ilinunuliwa kwa USD 450 000.

Hivi hilo swimmimg pool ni Olympic size?? Maana inawezekana tunajadili nyumba kumbe gharama ni swimming pool!!!
 
sasa wewe hata unachokibishia sikioni!ile nyumba ile,rennovation yake kwa one billion ni FAIR!fair enough,unless uje hapa na SPECIFICATIONS za materials,na scope-of-rennovation!ila kwa knowledge yangu kwenye construction,naona KAWAIDA TU!naamini aliyefanya rennovation ni CLASS-ONE CONTRACTOR
 
Unajuwa watu wanakushangaa wewe!! Unajuwa kuwa 1 billion ni kubwa kuliko 450 000 USD. Sasa kwa nini gharama za ukarabati ziwe kubwa kuliko thamani ya nyumba yenyewe??

Kwa maana hiyo kama thamani ya nyumba ilikuwa 450 000 USD (TShs 585 000 000) sasa thamani yake imepanda kufikia 1.6 billion TShs.

Sasa mwenzetu kama huoni ajabu kukarabati nyumba mara mbili ya gharama za ununuzi then you have a problem. Kwa vile hatutegemei nyumba ya Nusu billion iwe imechoka kiasi hicho.
 
hakuna cha ajabu hapo!wewe hujui renovation imefanyikaje na hujui material zimenunuliwa zipi,kwa specification gani,na ni kiasi gani!hata kama wameweka vioo vya BULLET-PROOF HUTAKAA UJUE!endelea kubwabwaja,so far construction HUJUI!UNATUMIA CROSS-MULTIPLICATION kwenye ujenzi!au niseme unaleta SIASA kwenye technical matters?enewei.....POLE KIJANA
 
Hapa nimegundua kitu, kuna watu wanaangalia thamani ya pesa na hawaangalii nyumba ina nn ndani na imekarabatiwa kwa vitu vya kutoka wapi tatizo ndo hilo. Ukiambiwa kitanda na stuli zimetoka USA kwa gharama ya mil.100 mpaka Dar utabisha?
 
I think umeshakuwa possesed na MAFISADI!!!

Tatizo hapa siyo gharama za renovation. Tatizo, je ni kweli nyumba ya 450 000 UDS inahitaji renovation ya 1 billion???
 
Hapa nimegundua kitu, kuna watu wanaangalia thamani ya pesa na hawaangalii nyumba ina nn ndani na imekarabatiwa kwa vitu vya kutoka wapi tatizo ndo hilo. Ukiambiwa kitanda na stuli zimetoka USA kwa gharama ya mil.100 mpaka Dar utabisha?

Ndio tunavyodanganywa hivi? Sio kila kinunuliwacho Marekani ni bei kubwa.

Alafu Geoff hiyo nyumba kabla ya ukarabati wa dollar million 1 ilikuwa katika hali gani? Maana naona baada ya huo ukarabati bado kamejichokea chokea tu.
 
I think umeshakuwa possesed na MAFISADI!!!???

mimi naongea ki-taalamu mkuu wangu,tena kwa uzoefu mkubwa tu kwa mujibu wa taaluma yangu!fisadi ni wewe unaesomeshwa nje ya nchi halafu huna unalolijua!kazi kulaumu tu

Tatizo hapa siyo gharama za renovation. Tatizo, je ni kweli nyumba ya 450 000 UDS inahitaji renovation ya 1 billion???
INAWEZAKANA SANA TU!hata renovation ya 2billion!inategemea unataka iweje kwa specifications gani

NB:kuna namna ambayo mnaweza kulaumu kama mnaona hela hiyo ni nyingi!nendeni straight kwenye point.hapo itawasaidia hata kuyapigia makelele ma V-8,na magari ya kifahari mengine,KWAMBA KWANIN WASITUMIE STARLET:D
 
Ndio tunavyodanganywa hivi? Sio kila kinunuliwacho Marekani ni bei kubwa.

Alafu Geoff hiyo nyumba kabla ya ukarabati wa dollar million 1 ilikuwa katika hali gani? Maana naona baada ya huo ukarabati bado kamejichokea chokea tu.
UMEINGIA NDANI KUIONA IKOJE?na unajua specifications ya vitu vilivyotumika?
 
hakuna cha ajabu hapo!wewe hujui renovation imefanyikaje na hujui material zimenunuliwa zipi,kwa specification gani,na ni kiasi gani!hata kama wameweka vioo vya BULLET-PROOF HUTAKAA UJUE!endelea kubwabwaja,so far construction HUJUI!UNATUMIA CROSS-MULTIPLICATION kwenye ujenzi!au niseme unaleta SIASA kwenye technical matters?enewei.....POLE KIJANA

Hapa ndipo unapoonyesha udhaifu wako. Hakuna anayebisha kuwa hauwezi kutumia shilingi bilioni moja kwa kukarabati nyumba. Inawezekana vitasa ni vya dhahabu, sakafu ni ya marble( sio marbles kama ulivyosema maana marbles ni gololi), inawezekana mapazia wameagiza kutoka marekani, inawezekana sanitary ware ni za Duravit, inawezekana ndani kawekewa Steinway piano, inawezekana Bose ndiyo waliomfungia custom home entertainment unit na ndiyo inawezekana kazi hiyo imefanywa na class 1 contractor. Heck, picha original ya Picasso hauwezi kuipata kwa sh. bilioni moja! Yote haya sawa na inawezekana. Lakini si katika nyumba ya kiongozi wa serikali wa nchi maskini kama Tanzania. Angetumia hivi vijisenti kwenye nyumba yake binafsi hakuna mtu angempigia kelele isipokuwa kujiuliza huo utajiri kautoa wapi!

Ni matusi makubwa kutuambia katika nchi ambayo sehemu kubwa wa wananchi wake wanaishi katika umaskini wa kutupa, sh bilioni moja si lolote! Watu kama nyinyi hamuitakii mema nchi yenu na wananchi wake! Kwani kabla ya kuhamia hapa alikuwa anaishi wapi?

Amandla.......
 
Hapa ndipo unapoonyesha udhaifu wako........

sipaoni niapoonyesha udhaifu wowote rafiki!ISIPOKUWA WEWE NI MDHAIFU MARA KUMI YAKO kwa sababu yafuatayo umesema yanawezekana:

Hakuna anayebisha kuwa hauwezi kutumia shilingi bilioni moja kwa kukarabati nyumba.

Inawezekana vitasa ni vya dhahabu, sakafu ni ya marble( sio marbles kama ulivyosema maana marbles ni gololi),

inawezekana mapazia wameagiza kutoka marekani, inawezekana sanitary ware ni za Duravit,

inawezekana ndani kawekewa Steinway piano, inawezekana Bose ndiyo waliomfungia custom home entertainment unit na ndiyo

inawezekana kazi hiyo imefanywa na class 1 contractor.

Heck, picha original ya Picasso hauwezi kuipata kwa sh. bilioni moja! Yote haya sawa na inawezekana.

sasa kama hayo unaona yanawezekana,still unapotray udhaifu kwa mtu anayesema INAWEZEKANA,BASI WEWE NI ZAIDI YA DHAIFU

kuhusu hili:
Lakini si katika nyumba ya kiongozi wa serikali wa nchi maskini kama Tanzania. Angetumia hivi vijisenti kwenye nyumba yake binafsi hakuna mtu angempigia kelele isipokuwa kujiuliza huo utajiri kautoa wapi!
Ni matusi makubwa kutuambia katika nchi ambayo sehemu kubwa wa wananchi wake wanaishi katika umaskini wa kutupa, sh bilioni moja si lolote! Watu kama nyinyi hamuitakii mema nchi yenu na wananchi wake! Kwani kabla ya kuhamia hapa alikuwa anaishi wapi?

Amandla.......

hili ni swala tofauti na nililokuwa nalitetea mimi!na halijaonekana kwenye hiyo nyumba tu.kuna nyumba ya spika,,nyumba ya balali,magari ya kifahari ya viongozi wa serikali,posho za wabunge,NA UTAJIRI MKUBWA WA MAFISADI!point yako nin sasa?huelewek
 
[/COLOR]
mimi naongea ki-taalamu mkuu wangu,tena kwa uzoefu mkubwa tu kwa mujibu wa taaluma yangu!fisadi ni wewe unaesomeshwa nje ya nchi halafu huna unalolijua!kazi kulaumu tu

INAWEZAKANA SANA TU!hata renovation ya 2billion!inategemea unataka iweje kwa specifications gani

NB:kuna namna ambayo mnaweza kulaumu kama mnaona hela hiyo ni nyingi!nendeni straight kwenye point.hapo itawasaidia hata kuyapigia makelele ma V-8,na magari ya kifahari mengine,KWAMBA KWANIN WASITUMIE STARLET:D

Kasome thread ya Bodi ya mikopo ndiyo utajuwa nimesomea wapi??

Sasa wewe na hivyo vi data vyako unajifanya mtaalamu siyo na unaufahamu mkubwa. No wonder ......Nafikiri exposure nayo ni muhimu wakati mwingine!!!
 
na wewe na kingereza chako cha kuunga unga na ka-exposure kako unajifanya mwanasiasa????!NO WODER ka-exposure unakokaamini kamekujengea dharau!HATA HIVYO YOU ARE THE LOOSER BRO!

merry x-mass
 
Hapa ndipo unapoonyesha udhaifu wako. Hakuna anayebisha kuwa hauwezi kutumia shilingi bilioni moja kwa kukarabati nyumba. Inawezekana vitasa ni vya dhahabu, sakafu ni ya marble( sio marbles kama ulivyosema maana marbles ni gololi), inawezekana mapazia wameagiza kutoka marekani, inawezekana sanitary ware ni za Duravit, inawezekana ndani kawekewa Steinway piano, inawezekana Bose ndiyo waliomfungia custom home entertainment unit na ndiyo inawezekana kazi hiyo imefanywa na class 1 contractor. Heck, picha original ya Picasso hauwezi kuipata kwa sh. bilioni moja! Yote haya sawa na inawezekana. Lakini si katika nyumba ya kiongozi wa serikali wa nchi maskini kama Tanzania. Angetumia hivi vijisenti kwenye nyumba yake binafsi hakuna mtu angempigia kelele isipokuwa kujiuliza huo utajiri kautoa wapi!

Ni matusi makubwa kutuambia katika nchi ambayo sehemu kubwa wa wananchi wake wanaishi katika umaskini wa kutupa, sh bilioni moja si lolote! Watu kama nyinyi hamuitakii mema nchi yenu na wananchi wake! Kwani kabla ya kuhamia hapa alikuwa anaishi wapi?

Amandla.......

Fundi heri ya Noel mkuu!
 
Back
Top Bottom