TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Rangi,mlipo sema line yangu haijasajiliwa kwa vidole na huku nimesajili,Sina hamu na nyie.bora nibaki Zanzibar telecommunication.yaani ZANTE L.
 
Hii kampuni kunabaadhi ya Mambo wanayotakiwa kuyaweka sawa ili wateja wavutike kuutumia. Jambo la kwanza ni kuhakikisha upatikanaji wa vocha zao maeneo mengi mtaani coz wengi wanaweza wasihamasike kutumia huu mtandao kwa kuwazia changamoto ya upatikanaji wa vocha maeneo wanayoishi. Japo najua zipo njia mbadala za kupata salio lakini mteja ni mtu ambaye hapendi usumbufu. Jambo la pili lazma wahakikishe salio la kupiga mitandao mingine liwe na dakika nying kwa gharama nafuu coz haiwezekani mtu anunue salio apewe dakika 35 za kupiga ttcl to ttc na dakika 5 kwenda mitandao mingine angali kwenye simu unawatu wasiozidi wawili wanaotumia mtandao wa ttcl Sasa sijui itakulazimu uongee nao tu ili kuzimaliza hizo dakika 35.
 
TTCL kwa kweli hapana...imebidi tu niachane na line yao(tena ikiwa na GB za kutosha).Jamaniii!!!Mtandao haushiki mjini ,Je na kule kijijinii???Japo nita wamisss kwa vifurushi vyao rafiki kabisa
 
Back
Top Bottom