SANCTUS ANACLETUS
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,337
- 4,664
H
Ninakuunga mkono.Watu wengine hatuko informed vya kutosha juu ya mambo kadhaa na hivi tumebaki kupinga hata na tusiyoyajua.Watu wanafikiria kujenga reli leo hii ni kama miaka hiyo ya Uhuru.Hebu ingieni Youtube muone video za tekinolojia ilikofikia.Sitashangaa Wachina watakaojenga SGR wakatumia hii tekinolojia.Na ikiwa hivyo ni suala la muda tu.
Unaweza tu kutype: "Amazing Automatic Railway Track Laying Machine..."
Hamna kitu kinashndikana kwa shida yetu sisi watanzania ni kupinga kila kitu bila hata kufanya tafiti kidogo
Zipo treni za umeme ambazo cost yake ni ya kawaida kabisa kama CRH3 EMU hii inatengenezwa na Kampuni ya Siemens inagharimu dollar za kimarekani 1.3 billion na hii ni modern version kabisa ya 2008 ndo inatumika china
Ina uwezo wa kubeba abiria 556 na mengne meng
But issue hapa n cost ambayo n 1.3 billion (Usd) ambayo ukii convert kwa viwango vyetu inaezekana kabisa kununilika
Watz tupunguze longolongo tumsapot Rais
http://www.google.com/url?q=http://...ggNMAE&usg=AFQjCNFZhtXvsBG-3gLLHNHvtnOBEWbOow
Soma link hyo kwa maelezo kuhusu CRH3 EMU