Treni ya umeme inakuja July 2017

Vile vile serikali yake iko katika hatua za ujenzi wa daraja la kisasa litakalo anzia maeneo ya daraja la Sarenda litakalo pitia baharini.

Angetupanulia Morogoro road ili kuondoa foleni ambayo inafika hadi Kibaha wakati mwingine
 
We kama hauna umeme, pole yako..
Huenda hata njia unazitumia kujipatia huo umeme ni za chini ya meza.. who knows??
Huenda Mh. Muhongo wala hana taarifa kama huna umeme unaodai umeomba kuungiwa..
Wakati ukiendelea na kupiga propaganda kwa kudai ni jujitangaza kisiasa, vema ukajiandaa na kuipanda treni tajwa maana soon itakua a reality..
Mwenye nchi keshakwambia inawezekana, wewe ni nani utuambie haiwezekani..
Au kwakua una mashine ya kusaga ndio unataka kutujaza pumba??

Ha ha ha haaaa, haya ndio majibu halisi ya muumini wa kila asemscho Mfalme. Maana mfalme hakosei wala hakosolewi. Zaidi ya 1 M nimelipa na kodi yake imeenda kwa mfalme wako, eti unasema hawanitambui. Hivi ndivyo Ma CCM walivyo. Chako wachukue na wajisifu uchumi umekuwa na wasikutambue.

Haya bana si Treni tu hata upinzani wa umeme utafika.
 
Ukichokonoa Ma-V ujiandae kunuka..
Usitafute huruma ya wananchi wakati mwenyewe ulianza kwa kebehi..

Hii inaitwa gonga nikugonge..
Mpaka kieleweke...

Kama ambavyo unatetea upande wako kwa kumkebehi mkuu vivyo hivyo tutamtetea wa kwetu kwa kukukebehi na wewe kwa kua umelianzisha mwenyewe..
 
View attachment 408957

Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli imepanga kununua treni ya umeme inayotarajiwa kuwasilini nchini mwezi Juni, 2017.

Treni hiyo inatarajiwa kufanya safari katika jiji la Dar es Salaam. Rais Magufuli amesema serikali inauwezo wa kutekeleza ahadi hiyo kwa kuwa fedha za kununulia treni hiyo zipo.

Pia Rais Magufuli amesema serikali iko katika harakati za uboreshaji na ujenzi wa miundo mbinu ya usafiri, ikiweno ujenzi wa reli za kisasa kuanzia Dar es Salaam, Mwanza na nchi jirani ikiwemo ya Rwanda.

Vile vile serikali yake iko katika hatua za ujenzi wa daraja la kisasa litakalo anzia maeneo ya daraja la Sarenda litakalo pitia baharini.

Hadi sasa miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu inaendelea nchi nzima ikiwemo mradi wa barabara za juu (Flyover) maeneo ya Tazara.

Aidha, Dk. Magufuli amesema serikali yake iko katika hatua za kutengeneza na kuboresha miji yake ili iwe ya kisasa.
Source??????
 
safi sana lakini tungedeal kwanza na issue ya tetemeko la kagera kama hela zipo.maana ndugu zetu wanatia huruma sana,wengine wazee,watoto,wagonjwa,walemavu, nk.wote hawa wanalala nje.
 
Hajatekeleza hata moja aliyo tuhaidi!Hata ndege alisema atatuletea za kisasa lkn tunaziona za mapangaboi

Atupe kwanza Milion 50 zetu kila kijiji kwanza
 
Ukichokonoa Ma-V ujiandae kunuka..
Usitafute huruma ya wananchi wakati mwenyewe ulianza kwa kebehi..

Hii inaitwa gonga nikugonge..
Mpaka kieleweke...

Kama ambavyo unatetea upande wako kwa kumkebehi mkuu vivyo hivyo tutamtetea wa kwetu kwa kukukebehi na wewe kwa kua umelianzisha mwenyewe..
Hivi ndivyo Ma- CCM yalivyo. Eti umemchokoza mfalme wetu nasi tunamkebehi wakwako. Sikujua kumbe mfalme ni wa kwenu?
 
Back
Top Bottom