ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,772
- 6,557
Hapo John Tegete anaumia kwa nini mwanae Jerry hajafunga hadi sasa, Toto wangemwacha yule kocha wa mwaka jana Yanga asingetamba sana leo.
soka la bongo ni kifua kikuu..
Hapo John Tegete anaumia kwa nini mwanae Jerry hajafunga hadi sasa, Toto wangemwacha yule kocha wa mwaka jana Yanga asingetamba sana leo.
Unajua ndoto za alinacha?? Hahah good dreams kaka. Jipe moyo kabla ligi haijaisha . Na msimu huu tunabeba ndoo mapemaa kama huamini muulize Crashwise
Mbona kama ni ule msemo adui yako muombe njaa!isijeikawa kama msimu ulipita au mliwanusuru kushaka daraja ili na nyie wawalipie fadhira nini..
hivi toto african akitoa droo mtafanyaje?
nitakuja kuposa kwenu au vipi?hivi toto african akitoa droo mtafanyaje?
hahahahhahahahhahahahhahahahahha nurdin bakariiiii hahahahahhahahahahahahhahahahahahhahahhahahahahha nurdin bakariiii
nitakuja kuposa kwenu au vipi?
Vipi St? kwani Nurdin kafanya nini? Kafunga/kajifunga?
nurdin bakari kajifunga hahaha yanga 2:1 toto dakika ya 55. Hahhahaha totoz nipeni rahaaaaaaaaaaa
Acha matusi. Usiulize nyama buchani utakimbia hapa matusi ndio nyumbani kwalo. Lets enjoy football my friend.
Thumb up to Nurdin
kuumbe!!! Yanga watasema ametumwa na timu iliyomfundisha kucheza mpira (SSC)
hii ispokuwa droo basi 3 kwa 2 maana toto wakati mwengine wanapemda sana droo..