Yanga vs Mamelodi ni Faida kwa taifa

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,527
14,403
Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld.

Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media ya Afrika Kusini iliyoripoti kuwa ni aibu kwa timu hiyo kubwa kuweka mechi vs Wydad Ac bure, lengo la Mamelodi lilikuwa ni kupata sapoti ya Mashabiki na sio kwamba hawapendi pesa la hasha! Dhumuni ni Mashabiki zaidi ya Pesa, kwa wakati / nyakati zile.

Kila Mwandishi na Media za Afrika Kusini zilielewa hili lakini hivi punde klabu ya Yanga imetangaza kwenye mechi ya YANGA vs MAMELODI eneo la mzunguko ni bure, Waandishi na Media nyingi / wengi Tanzania wameripoti kuwa ni aibu kwenye mechi kama hii kuweka bure, wanaitupilia baharini sana Yanga kuweka bure na hapo ni mzunguko tu.

YANGA vs SUNDOWNS, kwenye hii mechi klabu ya Yanga inaangalia zaidi full sapoti ya Mashabiki ili washinde mipambano yao nothing else! Wengine husema Mamelodi haina Mashabiki wengi ndio maana inaruhusu bure, Mimi nauliza kwanini mechi zingine wanahitaji pesa na zingine bure? Jibu ni kuwa kuna baadhi ya mechi zinahitaji Mashabiki zaidi ya Pesa na Watu wa Marketing ya Yanga wamelifanyia kazi hili.

Tukubali kutokubaliana kuwa Viongozi wa klabu ya Yanga sana uwepo wa Mashabiki, na wala sio Aibu kama inavyochuliaa na baadhi ya Waandishi na Media! Wanahitaji watu wajae, Yanga haifanyi kazi kwa sababu za Watu wa Instagram au Twitter, shida watu wanaiabudu Mamelodi kama ndio watu halafu Yanga ni magogo na kushindwa kugundua ndani ni 11v11 hapo uwezo utaamua.

Ni Yanga kutoka Tanzania, ni National Interest kwenye mechi za kimataifa! Content choice ni muhimu! Theory of Keeping a Good Mind.

Moshi Jnr
 
Mzee wa Jambia na Scanda wamekomalia sana suala hili aisee.
Mpaka unajiuliza hawajui kutofautisha mahitaji ya points na Pesa?sasa kua na maana thamani ya Pesa ya Mzunguko ingewasaidia na kuwanufaisha sana Yanga? Sasa wangepata shs ngapi aisee na thamani ya points je?thamani ya kuwahurumia na kuwakaribisha zaidi washabiki wao vipi nayo?😂😂😂😂
 
Mnamo 17 May, 2023 klabu ya Mamelodi Sundowns ilitangaza kwenye mechi ya MAMELODI vs WYDAD AC kuwa Mashabiki watakaovaa jezi za Sundowns watapatiwa tiketi bure yaani tiketi itakuwa ni jezi ya njano katika uwanjani wa Loftus Versfeld.

Baada ya Mamelodi kutangaza hivyo hakuna Mwandishi au Media ya Afrika Kusini iliyoripoti kuwa ni aibu kwa timu hiyo kubwa kuweka mechi vs Wydad Ac bure, lengo la Mamelodi lilikuwa ni kupata sapoti ya Mashabiki na sio kwamba hawapendi pesa la hasha! Dhumuni ni Mashabiki zaidi ya Pesa, kwa wakati / nyakati zile.

Kila Mwandishi na Media za Afrika Kusini zilielewa hili lakini hivi punde klabu ya Yanga imetangaza kwenye mechi ya YANGA vs MAMELODI eneo la mzunguko ni bure, Waandishi na Media nyingi / wengi Tanzania wameripoti kuwa ni aibu kwenye mechi kama hii kuweka bure, wanaitupilia baharini sana Yanga kuweka bure na hapo ni mzunguko tu.

YANGA vs SUNDOWNS, kwenye hii mechi klabu ya Yanga inaangalia zaidi full sapoti ya Mashabiki ili washinde mipambano yao nothing else! Wengine husema Mamelodi haina Mashabiki wengi ndio maana inaruhusu bure, Mimi nauliza kwanini mechi zingine wanahitaji pesa na zingine bure? Jibu ni kuwa kuna baadhi ya mechi zinahitaji Mashabiki zaidi ya Pesa na Watu wa Marketing ya Yanga wamelifanyia kazi hili.

Tukubali kutokubaliana kuwa Viongozi wa klabu ya Yanga sana uwepo wa Mashabiki, na wala sio Aibu kama inavyochuliaa na baadhi ya Waandishi na Media! Wanahitaji watu wajae, Yanga haifanyi kazi kwa sababu za Watu wa Instagram au Twitter, shida watu wanaiabudu Mamelodi kama ndio watu halafu Yanga ni magogo na kushindwa kugundua ndani ni 11v11 hapo uwezo utaamua.

Ni Yanga kutoka Tanzania, ni National Interest kwenye mechi za kimataifa! Content choice ni muhimu! Theory of Keeping a Good Mind.

Moshi Jnr
kwa jinsi game ya yanga na mamelodi inavyozungumzwa ni halali kuifanya hii game free entry...mpk sasa taifa limeshajulikana na kuingiza faida nyingi zaidi ya hapo awali hata kabla ya game kuchezwa,VIVA YANGA
 
Broo zitaje basi hizo faida na wengine tupate kuzijua
 
Tatizo la bongo wanaweza kupata mashabiki wengi ila wasiwe na impact uwanjani
🔹 Hawana dressing code ya mashabiki hivyo Kila mtu kuja na rangi yake ya jezi na kukusa ule mkong'osio wa kutisha kwa majukwaa kwa rangi Moja

🔹Viongozi wanahamasisha mashabiki mara kunyoa vipara, mara kupaka rangi nyele , mara kujifunga mashuka vitu ambavyo havina impact ya pamoja . Wengehamasisha Kila mechi na rangi yake. Mfano hii mechi wangesema kiingilio ni Kila mtu atakayekuja na jezi ya kijani tuu. Hivyo uwanja mzima ungetisha kwa rangi ya kijani tofauti na Sasa Kuna KACHUMBARI ya rangi

🔹 Suala la ushangiliaji nalo ni tatizo kubwa. Mavuvuzela ni kelele tuu Wala hayahamasishi tofauti na sauti halisi za pamoja za watu. Unakuta dume Zima na familia nalo linapuliza vuvuzela basi uwanja unakuwa kama mzinga wa nyuki

🔹 Kila Tawi linskuja na staili yake ya kucheza na wimbo wake hivyo kukosa uwiano wa uwanja kama zilivyo chi za kiarabu au ulaya
 
Attachments

  • IMG_20240119_195047.jpg
    IMG_20240119_195047.jpg
    2.8 MB · Views: 4
  • IMG20240119195002.jpg
    IMG20240119195002.jpg
    2.9 MB · Views: 3
  • IMG20240116190436.jpg
    IMG20240116190436.jpg
    2.8 MB · Views: 3
Proof ya mamelodi iko sahihi kabisa
Chelsea mwaka jana iliwapa mashabiki zake wote free ticket za ndege to and fro, uwanja wa wolves.
Kwenye game kubwa Wolverhampton huwapa mashabiki zake free ticket asilimia 10 ya uwezo wa uwanjan mfano kwenye uwanja wa watu elfu 90,000 basi watu 9000 wataingia bure.
Kwahiyo twende mbele turudi nyuma. Kutoa free ticket ni safi sana kwa timu inayolenga kupata mashabiki wengi katika game ilinkuoata support. Hapa haatuangalii haasara hii ni faida kwa timu. Hata uwanja mzima ukiingia bure. Ni marketing strategy sometimes hutumika either faida ya ticket kwa mechi zijazo au mauzo ya jezi. It depends
20240323_181243.jpg
 
Mzee wa Jambia na Scanda wamekomalia sana suala hili aisee.
Mpaka unajiuliza hawajui kutofautisha mahitaji ya points na Pesa?sasa kua na maana thamani ya Pesa ya Mzunguko ingewasaidia na kuwanufaisha sana Yanga? Sasa wangepata shs ngapi aisee na thamani ya points je?thamani ya kuwahurumia na kuwakaribisha zaidi washabiki wao vipi nayo?
Uliowataja hawawezi hata kuhudumia familia zào bila Uchawa. Mmoja si ndo alibambwa anaomba Kodi ya nyumba Kwa tajiri Fulani?
 
Nimesoma andiko lako.

SIJAONA POPOTE ULIPOORODHESHA FAIDA KWA TAIFA.

Machale yakanicheza nikagundua kuwa.....

WENYE AKILI NI WAWILI TU.
 
Broo zitaje basi hizo faida na wengine tupate kuzijua
1. Hamasa kwa wachezaji.
2. Kuimarisha media content. Timu zinapocheza packed stadiums zinavutia following za mashabki wapya, online au media zingine.
3. Ukaribu kwa mashabiki. Hata siku ukiwahitaji kwa jambo lingine, utasaidiwa.
4. Pia itasaidia uongozi kujua kiutafiti kama mfumo huu utaleta faida kushinda mfumo wa bei juu/bei chini.
 
Media za Bongo zimejaa vihiyo wasio na uelewa wa mambo, hao mnaoita wachambuzi wako biased na ushabiki uchwara.

Badala ya kujadili ukubwa wa kuingiza timu mbili kwenye robo fainali na faida za kuvuka hapo, wengi wanashindia ushabiki tu na kukandia timu zetu kwa kusifia timu pinzani.

Hatuna tunaloweza.
 
1. Hamasa kwa wachezaji.
2. Kuimarisha media content. Timu zinapocheza packed stadiums zinavutia following za mashabki wapya, online au media zingine.
3. Ukaribu kwa mashabiki. Hata siku ukiwahitaji kwa jambo lingine, utasaidiwa.
4. Pia itasaidia uongozi kujua kiutafiti kama mfumo huu utaleta faida kushinda mfumo wa bei juu/bei chini.
Hizi ndio faida kwa taifa broo?. Naomba faida kwa taifa sio kwa timu husika
 
Ila makolo na wachambuzi wa bongo ni ishu haswa.

Last time Yanga alikomaa na kiingilio mechi fulani ilikuwa big match wachambuzi walijaa mazima lawama kibaooooo, Yanga sasa hivi kasema bure wamejaa mazima tena!
 
Back
Top Bottom