TOTO AFRICAN VS YANGA Live

panzi eeh, Mbuyu Twite kafanya mambo tayari, dkk ya 22.

Kumbe we mzaramo, ndio maana umepungua ubongo. Hujambo lkn?
 
Last edited by a moderator:
Sijui Nani ana vidonda vya macho mie au Wewe?

Yanga Kavaa , KIJANI Na NJANO na NYEKUNDU KIFUANI

ToTo wamevaa NJANO na Kijani Mgongoni.

Sasa kama unajua rangi mbona ulisema wamevaa rangi moja kiasi hawatambuani?

Una njaa nini nikuletee maboga?
 
Yanga wanacheza vizuri ila kipa wa Toto anadaka kama Mndengereko bwana ah.
 
Mwanza ilikuwa inavipaji vya wachezaji ila unashangaa siku hizi Imeanguka. Mpira ulikuwa zamani bwana Costal,Pamba,Pan African,Sigara zilikuwa zinaleta upinzani mkubwa sana ukitizama hii Game unaona Kipaji cha Yanga ni kikubwa sana kimpira. Sio Fan wa Yanga ila wanacheza kwa kutizamana vizuri timu zengine zijifunze mpira sio maguvu.
 
Timu ya toto hawana hata maji ya kunywa masikini wamekutana na pesa ya EPA leo watafungwa nyingi wasipo angalia...
 
toto africa nipeni raha .chukueni point tatu za fasta fasta

Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!
 
Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!

Umeoteshwa lini?
 
Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!
hizo ni ndoto za alinacha; labda Manji awanunue marefariiiii wote wanaochezesha mechi zote za ligi kuu ila bahati mbaya uwezo huo hana.
 
Utaijuwa tu mijitu inayojitolea kuharibu sababu ya kibahasha Cha brown. Ufisadi tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom