Kwa msimamo wa sasa wa kundi la Yanga, kuna matumaini kiasi gani watafuzu robo fainali ?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
EDIT: Asanteni kwa ufafanuzi, Nimepitwa na sheria za mpira, sikuhizi hawaangalii GD mkifanana point, wanaangalia nani kamfunga mwenzake nyingi

1708801051320.png


1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)

Mechi za kumalizia

Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria

Medeama ni kibonde wa kundi si ajabu akapigwa hata nne, Yanga na Al Ahly washajipigia za kutosha wakiwa nyumbani

IKIWA YANGA ATAPIGWA TATU KAMA ALIZOPIGWA NA BELOUZDAD UGENINI, KISHA MEDEAME APIGWE NNE NA BELOUZDAD, SAFARI ITAENDELEA ?
 
1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)

Mechi za kumalizia

Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria

Medeama ni kibonde wa kundi, Yanga na Al Ahly wakiwa nyumbani kila moja kajipigia tatu
Yanga ameshafuzu anaenda tu kukamilisha ratiba
 
YANGA kashaenda robo fainali hata kama belouzdad ashinde goli 10 kwa madema. Head to head ya belouzdad na Yanga ndio inaangaliwa nani kamfunga mwenzake goli nyingi.
Ikiwa Yanga atafungwa goli tatu huko Misri na Belouzdad amfunge Medeama goli nne ?
 
1. AL AHLY - point 9 (goli +4)
2. YANGA - point 8 (goli +4)
3. CR BELOUZDAD point 5 - (goli -2)
4. MEDEAMA point 5 - (goli -4)

Mechi za kumalizia

Al Ahly vs Yanga - Misr
Belouzdad vs Medeama - Algeria

Medeama ni kibonde wa kundi, Yanga na Al Ahly wakiwa nyumbani kila moja kajipigia tatu
Aibu sana yaani umeumbuka vibaya sana mpaka unatafuta pa kutokea. Si ulikuja na uzi kuwa Yanga kaaga rasmi mashindano. Maumivu ni makali sana uliyonayo kwa sasa. Yanga hata akufungwa magoli 100 kafuzu tayari.

 
Mjinga wewe(samahani lakini)

Yanga hata afugwe mia na Al ahly

Belouizad ashinde mia nae , bado yanga anafuzu...

Yanga ashaingia robo Hio imeisha tayari😃😃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom