Majengo yote zaidi ya Ghorofa 10 yasiyo na parking yavunjwe kuanzia karaikoo hadi Posta itakuwa kama KabuL
Hili nalo neno.
Tumerekodi maneno yako na tutafuatilia kwa ukaribu. Ila ukweli ni kuwa ukitaka kubomoa majengo yote yaliyojengwa kinyume na taratibu utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile. Kwa maana kuna majengo lukuki yaliyojengwa pasipotakiwa.
Hapo ktk Red LandMark HoteL siyo GoldLand Tafadhari
Watanzania,
Hili liwe fundisho kuwa usitoe hongo na kupewa kiwanja kisichotakiwa kujengwa.
Inawezekana leo unamfahamu Kikwete ila miaka 10 ijayo, una uhakika CCM wataendelea kutawala?
Ni sawa na walionunua nyumba za serikali. Hata kama uliuziwa baadaye, basi kuna siku utalia.
Hii inatoa tu SURA ya nini kitatokea siku CCM itawekwa chini na waje Vijana wakorofi.
Watu watalia na kusaga meno.
Hatuhitaji vijana wakorofi tunahitaji waungwana ,na waungwana tuko wengi
ANAYEPEWA HEKIMA ANAKUWA AMEPEWA HERI NYING
Hili nalo neno.
Tumerekodi maneno yako na tutafuatilia kwa ukaribu. Ila ukweli ni kuwa ukitaka kubomoa majengo yote yaliyojengwa kinyume na taratibu utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile. Kwa maana kuna majengo lukuki yaliyojengwa pasipotakiwa.
mimi mwenyewe naungana na ndibale,a hawezi kuvunja hawezi kabisaaa subiri muone! NAANZA KUAMINI KUWA NI NGUVU YA SODA!Hili nalo neno.
Tumerekodi maneno yako na tutafuatilia kwa ukaribu. Ila ukweli ni kuwa ukitaka kubomoa majengo yote yaliyojengwa kinyume na taratibu utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile. Kwa maana kuna majengo lukuki yaliyojengwa pasipotakiwa.
MKUU HUYU MAMA ANANGUVU YA sodaCheck highlighted items
utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile.[/QUOTE
sipati picha itakuwaje, hasa kariakoo, itafanana na Baghdad...Ila cna imani na wanasisiemu, ni nguvu ya soda tu.
maana hawezi kuvunja Mayfair Plaza na kuziacha zile apartments za Mkulu nyuma yake kwani zote apparently watu wa EIA katika original reports zao zilisema hapafai kujengwa structures zile!!
Atakuwa kakumbuka home....TARIME...ndiko iko hiyo mineno