Tibaijuka: MAYFAIR PLAZA nayo nitaivunja!

Hivi kumbe mawaziri wa Tanzania hawana kazi muhimu za kufanya na badala yake ni kutoa amri ya nyumba ipi ivunjwe? Hawa viongozi dhaifu ndio wametufikisha hapa.
 
Kabla hajavunja akamuulize Mlaki aliyetaka kuvunja magorofa kule Masaki! Uwaziri alipigwa chini na magorofa yapo yanastawi mpaka leo! Pia kabla hajavunja akamuulize Magufuli ile meli ya watu iliyozama pale bandarini atailipa na nini!
 
HAwezi kuvunja... ilikua drama tu

Ingawaje Mayfair needs to be demolished kupisha njia ya maji
 
Hayo ndio maneno ya waziri wa ardhi jana jioni.

Habari toka ndani kabisa wizarani ni kwamba mama keshapewa file la ujenzi pale na watu waliofanya environmental impact assessment kumbe walikuwa pesa hivyo bado kuna mambo ya verification on who did what lakini either way mama keshasema kuwa ujenzi not only wa pale Mayfair Plaza si halali bali anasema kuwa hata Mheshimiwa Rais alishasema kuwa ujenzi ule ni at the expense of walalahoi ambao wanaishi Msasani pale jirani na shoppers plaza ambako wakati wa masika mkondo wote wa maji umeelekezwa kwao na wajenzi wa Mayfair Plaza.

Hoja kubwa ya mama ni kuwa tayari rais alishatoa agizo kuwa jengo lile livunjwe hivyo atakacho kifanya ni kutekeleza amri tuu ya bosi wake

Na si hivyo tuuu Mama Tibaijuka amesema mto wake ni huo huo kama alioanza nao na akina Taher Mucadam hivo hao wenye Mayfair plaza kama wana mawakili waweke stand by kabisa kwani matinga tinga yake yako tayari.

ninachojiuliza je atavunja na zile nyumba / apartments mpya nyuma ya Tanesco jirani na hapo hapo Mayafair plaza ambazo inasemakana ni za Mkulu mmoja huko sirikalini? kwa sababu zile nazo wanasema zinachangia kadhia kubwa wakati wa masika kama Mafair Plaza kwa walalahoi waishio msasani.

since december 2010 to september 2014 almost ni 4 years toda...... nothing done huyu mama ni bure kabisa.
 
Yule Mama alikuwa ni Msanii... Ankal magu alimstukia kamuacha kabisa... Arudishe pesa zetu
 
Back
Top Bottom