Tibaijuka: MAYFAIR PLAZA nayo nitaivunja!

Majengo yote zaidi ya Ghorofa yasiyo parking yavunjwe kuanzia karaikoo hadi Posta itakuwa kama KabuL
 
Siamini,angekuwa si mwana CCM ningekubali kuwa anaweza ,vinginevyo watajengewa ofisi ya chama na mambo kwishney
 
Hili nalo neno.

Tumerekodi maneno yako na tutafuatilia kwa ukaribu. Ila ukweli ni kuwa ukitaka kubomoa majengo yote yaliyojengwa kinyume na taratibu utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile. Kwa maana kuna majengo lukuki yaliyojengwa pasipotakiwa.

Hilo ni neno kuu mkuu. Na ukiwabomolea wachace tuu itakuwa upendeleo.

Nadhani ni bora zaidi kuubomoa mfumo unaosababisha ujenzi holela uendelee - at the highest level
 
Watanzania,

Hili liwe fundisho kuwa usitoe hongo na kupewa kiwanja kisichotakiwa kujengwa.

Inawezekana leo unamfahamu Kikwete ila miaka 10 ijayo, una uhakika CCM wataendelea kutawala?

Ni sawa na walionunua nyumba za serikali. Hata kama uliuziwa baadaye, basi kuna siku utalia.

Hii inatoa tu SURA ya nini kitatokea siku CCM itawekwa chini na waje Vijana wakorofi.

Watu watalia na kusaga meno.
 
Hatuhitaji vijana wakorofi tunahitaji waungwana ,na waungwana tuko wengi

ANAYEPEWA HEKIMA ANAKUWA AMEPEWA HERI NYING

Uungwana wa Watanzania ndiyo uliotufikisha hapa tulipo.

Muda wenu unakaribia kwisha. Waungwana wote inabidi muanze kuwapisha Wakorofi watakaofahamu kuwa deal Mafisadi wote maana nyie mnawachekea. Ukicheka na nyani utashangaa "huna chupi" na kinyani kimeshapita tayari kati ya miguu.

Wamesha-to do sana na sasa tunataka Wakorofi watakaobadili mchezo na sisi tuwa-do walau kidogo tu.

Ufisadi ni kama JIPU. Ukifanya uungwana na huruma, utachekea msalani.

Ahh, by the way, waliobadili na kuweka HESHIMA na SHERIA kali kwenye nchi zao kwa Ulaya ni vijana wa University. Walianza kwa kuchoma na kubomoa mitaa iliyobanana sana Ufaransa. Hii ilitokea baada ya ule mkutano ambao ulikosa baraka miaka ya 40 mwishoni na vijana wakakodi MELI kwenda Ugiriki kama sikosei. Safari nzima kwenda na kurudi walikuwa wakijadili hili.

Wavuta Bangi wa Uholanzi ndiyo walianza vita kali na Serikali na leo hii Uholanzi ipo hapo ilipo kwa ubabe wa hawa vijana. Hawa wakiona jambo hawalipendi basi huwa hawasubiri. Nilicheka siku moja kusikia kuwa kuna uwanja wa mpira ambao ulikuwa ubomolewe na ujengwe upya. Uongozi wa uwanja ukawa unasuasua. Siku moja baada ya mechi, vijana wakaubomoa wooote. Ilibidi kweli wajenge upya. Labda ndiyo maana hata Wanaruhusu kuvuta bangi nchi hii maana ni Bangi imewasaidia.

Wenye UUNGWANA Wabelgiji pamoja na kuwa ni majirani, ona walivyo masikini..........

Uungwana, my Makalio..................

Hatuhitaji vijana wakorofi tunahitaji waungwana ,na waungwana tuko wengi

ANAYEPEWA HEKIMA ANAKUWA AMEPEWA HERI NYING

Hili nalo neno.

Tumerekodi maneno yako na tutafuatilia kwa ukaribu. Ila ukweli ni kuwa ukitaka kubomoa majengo yote yaliyojengwa kinyume na taratibu utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile. Kwa maana kuna majengo lukuki yaliyojengwa pasipotakiwa.

Mbadala wake tuwaachie wanaovunja taratibu za kawaida waendelee hadi wanyonge watoke kabisa DSM wabaki wenye mabavu ya pesa. HALIKUBALIKI
 
Sawa kabisa. Cha msingi tukatae hizo tabia potofu za kujirahisi na kulipia aghali. MAJUTO NI MJUKUU
 
Mama tiba angalia na petrostations ambazo zinaota katikati ya makazi ya watu. Hii ni hatari sana. Siku ikitokea moto tutalia sana
 
Hili nalo neno.

Tumerekodi maneno yako na tutafuatilia kwa ukaribu. Ila ukweli ni kuwa ukitaka kubomoa majengo yote yaliyojengwa kinyume na taratibu utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile. Kwa maana kuna majengo lukuki yaliyojengwa pasipotakiwa.
mimi mwenyewe naungana na ndibale,a hawezi kuvunja hawezi kabisaaa subiri muone! NAANZA KUAMINI KUWA NI NGUVU YA SODA!
 
utaigeuza Dar es salaam kuwa kama mji ulioshambuliwa na mabomu wakati wa vita. Kama Mogadishu vile.[/QUOTE
sipati picha itakuwaje, hasa kariakoo, itafanana na Baghdad...Ila cna imani na wanasisiemu, ni nguvu ya soda tu.
 
Mama kazi iendelee, Wa-Tanzania tupo hapa hapa nje na HATUTAKI KUSIKIA VITISHO zaidi katika hili.

Mpambanaji Magufuli, namjua sana bado anayapitia makabrasha moja baada ya nyingine. Waliochukua tenda kutia lami mwisho wakatia tu CHANGARAWE na kuondoka zao sasa mtaniambia vizuri.

Mzee, ushirikiano wangu kama mwananchi usipate taabu. Mwisho wa kutishwatishwa ni sasa hivi!!!

maana hawezi kuvunja Mayfair Plaza na kuziacha zile apartments za Mkulu nyuma yake kwani zote apparently watu wa EIA katika original reports zao zilisema hapafai kujengwa structures zile!!
 
Je mama tiba kule Tabata ambapo kanisa limeteka kiwanja cha michezo unapasemaje? Rejea taarifa ya habari ya juzi TBC1
 
Atakuwa kakumbuka home....TARIME...ndiko iko hiyo mineno

Mimi siyo mtu Tarime ingawa nimewahi kulala mara kadhaa Goldlsnd iliyo Mtaa wa Nyamwaga.

Mimi naijua Tanzania, Nimeizuru kwa kutaka kuijua nchi yangu,

Ili mafisadi nijue nini wanafanya katika Nchi yangu.
 
Back
Top Bottom