MzalendoHalisi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2007
- 4,520
- 1,368
Wewe ulitaka huu mradi upelekwe wapi ili ufurahi?
ilongo,
Kijijini kwake alikozaliwa!
Wewe ulitaka huu mradi upelekwe wapi ili ufurahi?
Campanero,
Ningefurahi kujua specifically alijaribu kuleta mapinduzi gani BAWATA na "Sirikali ikaishughulikia BAWATA" vipi.
Kuhani,
Wakati Anna Tibaijuka alipoamka na Bawata, nilikuwa namfahamu kwa karibu aliyekuwa Katibu Mkuu wa UWT enzi hizo ambaye ni ndugu wa karibu.
UWT na CCM walichukia kitendo cha Dr. Tibz kuunda ushirika wa Kinamama ambao ungeivunja nguvu UWT ambayo ilikuwa inataka iwe kinara wa mambo ya kina mama Tanzania kutumia mgongo wa CCM na si kukutanisha wanawake wote bila kujali itikadi za kisiasa.
My personal opinion on this demotion is that I think it is not a perfomance issue rather a political assasination ochestrated by CCM.
Sidhani kama nitaweka kidole kwa Asha Migiro kuwa she is behind it, lakini si siri kuwa BaniKiniMuni alikuwa mgeni TZ na mahusiano yake na Mtalii stadi ni makubwa sana!
Je kuna dili gani limefanyika au Tanzania imejitlea nini kama hisia zangu ni kweli kuwa Dr. Tibz kaondolewa kwa mizengwe?
Just speculating about the demotion!
Mjumbe hauwawi. Mimi nimefikisha ujumbe wa waandamanaji. Maadam wao wenyewe wafanyakazi wamesema alikuwa analeta mapinduzi mimi ni nani wa kuwabishia? Masanja hilo la BAKWATA wenye data wamezitoa ila kama unataka nyongeza nitakuletea dondoo kutoka kwenye PhD ya mgogoro wa BAWATA.
In September 2000 she was appointed by Secretary-General Kofi Annan as Executive Director of the United Nations Centre for Human Settlements. During her first two years in office, Mrs. Tibaijuka oversaw major reforms which resulted in the United Nations General Assembly upgrading the Centre to programme status and renaming it the United Nations Human Settlements Programme (UN-HABITAT). Tibaijuka was elected by the General Assembly to her first four-year term as head of the new agency in July 2002 and was given the rank of Under-Secretary-General, the first -- and only -- African woman to reach this level within the UN System.
Source: Wikipedia
Kuhani,
Wakati Anna Tibaijuka alipoamka na Bawata, nilikuwa namfahamu kwa karibu aliyekuwa Katibu Mkuu wa UWT enzi hizo ambaye ni ndugu wa karibu.
UWT na CCM walichukia kitendo cha Dr. Tibz kuunda ushirika wa Kinamama ambao ungeivunja nguvu UWT ambayo ilikuwa inataka iwe kinara wa mambo ya kina mama Tanzania kutumia mgongo wa CCM na si kukutanisha wanawake wote bila kujali itikadi za kisiasa.
My personal opinion on this demotion is that I think it is not a perfomance issue rather a political assasination ochestrated by CCM.
Sidhani kama nitaweka kidole kwa Asha Migiro kuwa she is behind it, lakini si siri kuwa BaniKiniMuni alikuwa mgeni TZ na mahusiano yake na Mtalii stadi ni makubwa sana!
Je kuna dili gani limefanyika au Tanzania imejitlea nini kama hisia zangu ni kweli kuwa Dr. Tibz kaondolewa kwa mizengwe?
Just speculating about the demotion!
Masanja pole sana kwa kuumia kwamba mama Tiba alipeleka mradi Muleba. Ungefurahi asiupeleke uko na apeleke wapi?
Kama ni kweli alifanya hivyo basi alifanya kazi njema kwa jamii yake na kama tukipata watz wengi UN watakaojali nyumbani tuna haja ya kufurahia wadanganyika kwenda kwenye mashirika ya kimataifa.
Lakini kama tukipeleka watu wa aina yako Masanja UN basi tuna hasara ya kutupa na hatuna haja ya kufurahia uwepo wa watz kwenye anga za kimataifa.
Nimesikia si Muleba pekee alikokuwa anafanyia kazi project zake kwenda mbele lakini hata miji ya Bukoba kwa habari ya maji, na miji ya Dar, miji kadhaa Uganda na miji kadhaa Tz ikiwamo na Dar.
Mungu akupe nafasi nyingine mama Tiba. Dumu kusaidia watz ambao kwa hakika wamejaa ufisadi kila kona na hawafurahii juhudi zako.
======Rev. Kishoka,
Mimi nilishavunja imani na Mama Tibaijuka baada ya kusikia shutuma ambazo, japo sikupata uthibitisho, zilinisikitisha na ninaamini inawezekana BAWATA palikuwa pana harufu harufu ya irregularities.
Kutoka ndani ya BAWATA kwa mtu ninayemwamini 100%, niliambiwa Tibaijuka alipewa hela za wahisani ambazo zilipitia serikalini, wizara inayoshughulikia mambo ya wanawake, kwa ajili ya kujenga umoja wa wanawake ambao sio mkono wa chama cha kisiasa kama ilivyo UWT.
Moja ya malengo makubwa ya hizi hela ilikuwa ni kutumika kuandaa katiba mpya ya BAWATA ambayo ingeendana na mission ya umoja huu. Mmoja wa deputy wa juu wa Mama Tibaijuka alikuwa ni mwanasheria, so, Tibaijuka, msomi aliyebobea, na deputy wake decided to go to "work" on the Katiba project.
Katiba ilipotoka ikaoneka imefanana, imekuwa scribed almost, kutoka katika ile ya UWT. Wanawake walipoisoma hawakuelewa kabisa, hawakuipenda. After all, mission ya BAWATA ilitakiwa iwe tofauti kabisa na UWT, na hiyo ndio ilikuwa kivutio, ilikuwa pitch, ya BAWATA na Tibaijuka. So, not surprisingly, wanawake went bananas!
Wakawauliza, hela za wahisani zimeenda wapi kama "kazi" yenyewe ndo hii mmefanya? Mtafaruku ukafukuta wizarani na BAWATA, Tibaijuka akatoa machozi ya mamba, wafuasi wake wakaamini kuwa CCM na Serikali wanaipiga vita BAWATA kwa sababu ni tishio kwa UWT. Mpaka leo, mpaka kesho, mpaka kufa, rekodi za juu juu za wafuasi wa Tibaijuka, BAWATA well wishers na outsiders wengine zitaonyesha BAWATA ilipigwa vita na CCM. Nisingesikia haya hata mimi ningeona wanachodai kambi ya Tibaijuka kina make perfect sense, kwamba UWT ilikuwa na mzizi dhidi ya Tibaijuka.
Lakini mmmmh! Inawezekana ukweli uko kwingine.
Msishangae kuanza kuona watu wanakimbia UN badala ya kukimbilia kama tulivyozoea.
wandugu,
..sikilizine taarifa ya NTV iliyoletwa hapa. wanadai kuna ubadhirifu umetokea na uchunguzi unaendelea. pia Kenya walituma maombi Dr.Tibaijuka aondolewe ktk nafasi hiyo.
Rev.
Unataka kuiwekea swali integrity ya Ban Ki Moon? kwamba anaweza kufanywa puppet na Kikwete kiasi cha kuambiwa nani wa kum fire bila kufuata msingi wa performance? Hii ni serious charge.
wandugu,
..sikilizine taarifa ya NTV iliyoletwa hapa. wanadai kuna ubadhirifu umetokea na uchunguzi unaendelea. pia Kenya walituma maombi Dr.Tibaijuka aondolewe ktk nafasi hiyo.