omarilyas
JF-Expert Member
- Jan 24, 2007
- 2,130
- 145
1. Hivi Steiner Mjerumani amekuwepo UNEP Nairobi kwa mda gani?
ACHIM STEINER sio jina la kijerumani. Anaweza kuwa raia wa ujerumani lakini huyu ni myahudi.
omarilyas
1. Hivi Steiner Mjerumani amekuwepo UNEP Nairobi kwa mda gani?
Kupeleka mradi kwao sio jambo la kumsemea huyu mama, angalau yeye amekumbuka alikotoka kuliko wengine wanaopeleka nje ya nchi, pia msisahau "mcheza kwao hutunzwa", je watamtunza nini kama hukuwakumbuka? na kama hivi sasa akirudi kwao bado profile yake iko juu hata ubunge aweza kuukwaa, je kama angelikupa wewe Masanja wapi wapi ungelimtunza nini?
Pia, kumbukeni kila aliye na nafasi huanzia kwao, Msuya wakati akiwa Waziri kule Mwanga vipi, Mramba na ile barabara ya Rombo,Magufuri na barabara ya Mza- geita,Diallo na Community air,BWM na barabara ya Kilwa n.k
.
Jamani watanzania wacha tuache unafiki, we always have something to comment! Hivi ni nani ambaye angepata hii nafasi akashindwa walau kutengeneza nafasi ama kusaidia watu wake.
Naamini kabisa kama huyu mama asingefanya haya leo hii mngemtukana sana na hata kumtemea mate.
I believe she might have some shortfalls lakini kung'ang'ania yale aliyofanya kama ndio sababu ya kumsema, please tafuteni sababu nyingine i think this is quite weak.
Mifano mnayo, wale viongozi wachache walio nchini tu kilasiku wanafanya mambo kwao hata kama kwao hakuna shida kama sehemu nyingi nchini! Leteni data credible za yeye kuwademoted - soon and very soon we shall know the truth.
Njoomloli, umeulizwa swali hujajibu. Unaelewa dhana ya "conflict of interest"? Whether it's by chance or necessity, huu mradi kupelekwa Muleba si bure. Hapo ndio ujue uongozi ni dhamana. Well, kama unabisha huyu mama hakucheza faulu, tueleze vigezo vilivyotumika kuichagua wilaya ya Muleba na si Nachingwea au Kondoa au Mvomero? Assume huyu mama hakuwa bosi wa UN-Habitat, unafikiri Muleba ingechaguliwa kutekeleza huu mradi? Binadamu ndivyo tulivyo. Ni vigumu mno kumpenda jirani yako nafsi yako!