The beauty and the ugly.

I love your Avatar (thou ni repetition)

Nyumba kumbwa anampenda yule baba asikwambie mtu, moja ya sababu alitoa eti because ni mzee wa RED kila mahala.... mie naona as much as ni ya Mwanaume it so reflects the person behind the Avatar as much as ni mwanamke.... It says am not seeking for attention, am serious, i don't want unizoee vibaya and I am tough!! lol
na nikiweka ya Asha Rose Migiro itakuwa ina maana kuwa?
 
Mimi huwa nikisafiri muda wangu ambajo sina kazi nautumia kuangalia movies
Naweza maliza siku nzima rum kama sina kazi naangalia movies tuu na documetary
Kweli kabisa mkuu
Idle sometime ni mbaya san a
nitafutie Bebii basi umwambie kesho jumapili anipeleke movie mlimani city,kisha samaki samaki,kisha.......
 
we iweke,lakini kwanza muulize CLEMMY anavyosumbuliwa pm na vidume..
wakati na yeye kidume lol...

Jamaa mpaka alirusha Uzi Complaints....lol...
Kuna dada akamwita jina la Vigezo vya Cameron,
Yeye mwenyewe karudi ile ya zamani ya Hitler...
 
Weekend kama unavoona B' anatuchangamsha hapa.... Mie mzima kabisa
Hongera nimeipenda saana Avatar....

Asante sana na kwangu iko poa pia
Dogo ana msimamo sana na niliipenda sana movie yake na Christina Milan huwa siichoki kuiangalia
 
nitafutie Bebii basi umwambie kesho jumapili anipeleke movie mlimani city,kisha samaki samaki,kisha.......

ngoja nikamvurumishe huko aliko aje hapa
Ila nikikuta kufuli mlangoni nakaa kimya sitakuambia
 
Asante sana na kwangu iko poa pia
Dogo ana msimamo sana na niliipenda sana movie yake na Christina Milan huwa siichoki kuiangalia

Kwa msimamo namkubali... Mie ni mmoja ambao nilifikiri hawata dumu!

I am proud of them kwa kweli wamshinda hata mapepe Kim Kard....
 
Kwa msimamo namkubali... Mie ni mmoja ambao nilifikiri hawata dumu!

I am proud of them kwa kweli wamshinda hata mapepe Kim Kard....

Kweli kabisa maana walimsema amekimbilia pesa za Mariah na kuwa ni mdogo sana kwa Mariah ila kaamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yake
Wengi tunakumbana na hayo na ukiwa mwepesi unaweza kuachana na mchumba au mke wako kwa sababu ya maneno kama haya
 
Back
Top Bottom