Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,323
- 10,050
- Thread starter
- #21
Guliano gemma alikuwa bonge la superstar enzi za sinema za ma cowboy( mfano 'one silver dolar) yaani ilikuwa ni farasi na bunduki kwa kwenda mbele (hata Ronald Reagan alicheza hizo movies),kina hemma malini,amitah bachan,rish kapoor ,mumtaz walikuwa ndo ma staa wa bollywood miaka hiyo.Tivoli sinema mwanza kiingilio kilikuwa senti hamsini,hahahahahaaaa those days meeeeeeeeen.Duh mkuu hapo nimetoka kapa hata kumpata mmoja hapo sijaambua
ngoja nitafute picha yake nikuwekee kabisa umuone