"Thanks in advance"

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Hii jamani nimeiona leo nilipokuwa napitia baadhi ya majukwaa... sasa sifahamu imesababishwa na kitu gani... Angalia picha hapa chini:
:
:
:
:

tnx.jpg
 
Ndio ujue wabongo hawana imani, sasa jamaa anaforce kuongeza credit za JF si inatoa statistics, ukimpa madaraka lazima replicate style yake ya kifisadi.

Wabongo wengi ni fake ila wanaigiza,
 
Haya ni manjonjo hamna lingine.

MQ

Naungana na wewe katika hili! Kwa maoni yangu kama manjonjo au vikorombwezo ambavyo member amependa kuviweka mbali ya avatar na ID haviathiri set up ya JF (kwa mfano ktk kupost, kutuma pm, thanks etc) naona hakuna neno kabisa, kwa mimi naona hiyo ya Sinkala ni kama tu signing notes! na vinginevyo kama kufanya hivyo kuna madhara nadhani ''mods'' wangeshafanya the needful!
 
Last edited:
QM

Thnx, but M comes b4 Q thts my name and the reverse is somebody else.
a, b, c, .....l, M, n, o, p, Q, ........x, y, z.
 
Haya
Mood, kumbuka viboti pale mwenge secondary hahahahahaaaaa
 
...all in all, users 90874 named sinkala kusema thanks 'tomorrow' mie ndio imeniacha hoi,
:D ha ha haa haaa...
 
Back
Top Bottom