Payoneer account verification

Tinnvibez

Member
Oct 27, 2020
6
4
Habari,

Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement.

Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa nataka kujua kwa wataalamu hapo nifanye namna gani niweze kuwa approved na niweze anza fanya miamala.

Na Address number naweka namba gani?

Shukran In advance.
 
Good evening: Making Millions of USD has been made easy. You don’t have to be tech guru to marketing your products and or services globally. Beiizetu SaaS will give you what it takes and avail you an opportunity to make money for serving others as well. Contact us for more details. Be among the first to Grag the opportunity.

View: https://youtu.be/tKYa8x38hTg?si=XyYLC60vzI4bOo6g
 
Nenda bank chukua vank statement waambie wahakikishe address inaonekana, au la kuna watu wanauza affidavity za address, unaweza tengeneza hii kwa wakili pia
 
Tumia utility bill kama water & Electricity Bill, hizi Bank Statement za CRDB hazionyeshi address wanazohitaji Payoneer.

Mimi nilitumia lease contract wakakubali chap
Shukran sana japo nishajaribu nunua gas bill nimewatumia juzi huwa wanajibu ndani wa 24hrs kwa previous documents nilizo-upload kwao japo zili-fail ila hii naona imechelewa maybe tuone wanaweza wakawa wame-approve. Pia nina shida na address namba pale nazipata wapi???
 
Tumia utility bill kama water & Electricity Bill, hizi Bank Statement za CRDB hazionyeshi address wanazohitaji Payoneer.

Mimi nilitumia lease contract wakakubali chap
Lease contract ndio kwa mwenye nyumba si ndiyo??? Sorry pia nna shida kujua address namba huwa inatakiwa zijazwe namba zipi maana nimenunua gas bill kuna group telegram la Grey kaniuzia ila haina address namba. Shukran in advance 😇
 
Habari,

Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement.

Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa nataka kujua kwa wataalamu hapo nifanye namna gani niweze kuwa approved na niweze anza fanya miamala.

Na Address number naweka namba gani?

Shukran In advance.
Inahitaji pysical address. Edit bank statement, weka jina la mtaa, namba ya mtaa mpaka namba ya nyumba. Kuwa makini editi iwe ya kiwango cha kimataifa la sivyo wataifunga account yako.
 
Back
Top Bottom