To my JF family, nina DEPRESSION

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
343
1,006
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.

Biashara imechakaa, sina mzigo wala pesa bali madeni tu, I am stalked.

Things are not moving, napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.

I'm in btn devil and deep blue sea.

20240214_134258.jpg
 
Biashara nafanyia iringa..
0614228735
Naomba mje mnunue hata kisu nipate kusurvive wakuu🙏



Update 17/02/2024
JF family asanteni sana nyie watu,nilifanya maamuzi sahihi sana kuleta hili jambo langu hapa nilikua nishapotea kiakili na sikua na turning point kabisa.

Jf ni sehemu salama kabisa ya kuleta jambo lako lolote linalokusumbua wema wapo wengi sana humu. USIOGOPE

Asanteni wote mlionipigia simu,mlioniPM kunishauri na mliotoa ushauri wenu na kutoa shuhuda zenu hapa Mungu awabariki sana..

Nimekubaliana na hali kuwa nipo vibaya
Nimekubaliana na hali kuwa nadaiwa
Nimekubali kuwa natakiwa kuwalipa wanaonidai wote by any means
Nimekubali kuwa magumu siyapitii peke yangu and I have to get my $ss up

Hivyo NIISHI

Watu wameuliza kuhusu status yangu ya life,ni hii
Mimi ni Me 26yrs ,sijaoa wala sina mtoto ila nina mama zangu wawili wananitegemea
20240104_213411.jpg
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa,sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.

Things are not moving ,napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
Pole Sana but maintain serenity

Keep Prayers
Stay connected with ur work mate

I pray for you
 
Depression hii imesababishwa na anguko kubwa la kiuchumi ninalopitia.
Biashara imechakaa,sina mzigo wala pesa bali madeni tu ,am stalked.

Things are not moving ,napitia kipindi kigumu sana kuliko vipindi vyangu vyote vigumu hapa duniani.
Am in btn devil and deep blue sea.
View attachment 2903809
Hauko peke yako watu wengi sana wanapitia hali ngumu ya uchumi
 
Back
Top Bottom