Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Arushaone umewahi kuona kazi ya huyu kamanda? Jaribu uone hahaaaaa!
Hahahahaaaaa hii lazma niogope aisee lolHahaa Mkuu nakuambia ogopa hii silaha!
Kuna watu umewashtua humu na utawaona wakija! WiseLady, sweetlady, FirstLady1 na wanaofanana na hao! Hah hah hah hah hah
Safi sana wewe unafaa, hii ya Mungi lazima iwe ya aina yake! Wapi Blaki Womani aje apange kamati! Ila mie najichagulia mweka hazina!Hao wakaandae mbesi.
Kuna watu umewashtua humu na utawaona wakija! WiseLady, sweetlady, FirstLady1 na wanaofanana na hao! Hah hah hah hah hah
Kuna watu umewashtua humu na utawaona wakija! WiseLady, sweetlady, FirstLady1 na wanaofanana na hao! Hah hah hah hah hah
bila kumsahau charminglady. . .
Mungi hongera kijana. . . haya tupia jinale hapa ili tuache kukuita kwa jina!