Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,977
32,283
Habarini za Asubuhi Wapenzi wote wa JF,
Natumaini mmeamka salama..........kwa Upande wangu mimi mzima.

Naomba siku ya leo mimi Madame B pamoja na memberz wenzangu tuungane kusherehekea MWAKA MMOJA TANGU NIJIUNGE NA JAMII FORUMS.
Siku, Mwezi na tarehe kama ya leo mida ya Saa 6 mchana nilijiunga na Mtandao huu wa Jamii Forums.

Ilikuwa hivi: Nakumbuka tarehe 8/4/2012 nilikutana na member ambae sikumbuki ID yake na akanieleza kuhusu mtandao huu,........niliuwekea kiporo na kesho yake tarehe 9/4 nilimuomba dada Kijino aniunganishe kwani yeye alikuwa tayari ni member.
Niliunganishwa na namshukuru Mungu kwani Niko nao Mpaka leo hii natimiza mwaka mmoja na sitarajii kutoka mpaka kifo.

Ningependa kuwashukuru wafuatao:
Smile- Member wa kwanza kunigongea LIKE........... asante
King Kong III- Member wa kwanza kumchokoza kupitia PM ili nijue jinsi inavyofanya kazi.......asante
dorcas1234- Member wakwanza kuni-mention na kuni-quote......asante
BAGAH, King Kong III, Erickb52, Ulimakafu na Young Master, hawa ni member walionikaribisha kwenye uwanja huu wa JF......asanteni.

Pia nitakuwa mchoyo wa Fadhil endapo sitautambua Mchango wa MziziMkavu, kwani amenielekeza vitu vingi sana wakati nipo mgeni na kamba yangu mguuni.
Da AshaDii- Aisee Pokea asante zangu nyingi sana,......Umenisaidia sana tangu naingia mpaka leo kwa maana nilikuwa nikitatizwa na jambo jukwaani, lazima nikimbilie kwako....... nawe hukuwa mchoyo, mpaka sasa nimekomaa komaa.
Mtambuzi,......... unakumbuka nilivyokuwa nakusumbua?, asante kaka.
watu8..... kuna kitu ulinifundisha, sasa nimefuzu...... asante
Nicas Mtei pia kuna jambo ulinielekeza, now nimewiva....asante
Kuna Huyu hapa Arushaone.......sijui nimshukuru vipi.......
Maana ninamtwisha maswali ya kunielewesha kule PM kuhusu Rep mpaka namuonea huruma, lakini hasiti kunijibu kwa Upole na kwa Ufasaha...... Asante switii wangu.

Pia Niwashukuru Mamodereta wote kwa sapoti yao kubwa.
Ila yote kwa yote, napenda niwashukuru member wenzangu kwa kuwa nami bega kwa bega, Hatua kwa hatua mpaka leo hii natimiza mwaka mmoja net. Najua muda mwingine huwa tunapishana kiswahili lakini tunaombana misamaha na siku inaendelea.
NAWASHUKURU SANA.
NAWAPENDA SANA MEMBERS WOOOOTE, Nanyi naomba Mnipende Jamani.
Asanteni.
KAZI NJEMA.
Madame B.


CC: Nivea, Lisa, King'asti, AshaDii, MwanajamiiOne, afrodenzi, Kongosho, BADILI TABIA, Paloma, mwaJ, MadameX, Mamndenyi, Preta, marejesho, snowhite, Angel Msoffe, sweetlady, FirstLady1, FirstLady, Remmy, Zion Daughter, Kipipi, Roulette, Smile, Asnam, Binti.com, lara 1, Mrembo by Nature, Raiza, cacico, gfsonwin, Asprin, Kiranga, Nyani Ngabu, Mwita Maranya, Don Mangi, Mungi, Erickb52, Mr Rocky, SnowBall,Dark City, Jeska, Lusile, Arushaone, Bujibuji queenkami KakaKiiza,Kipaji Halisi , Nicas Mtei, Ben Saanane, Chimbuvu, tedo, Chilli, Mwanyasi, marejesho Passion Lady.......... na wengineo............. nawapenda sana.
thanks.gif

Thanks-A-Million-M.jpg
 
Last edited by a moderator:
Wadai si mchoyo wa fadhila!
Kumbe huna lolote! Shemeji u-mwizi wa fadhila,
Fadhila huna! niliyofanya kwenu mnavyonichuna kwenu! Kuanzia Baba mkwe! Mama mkwe! Mashemeji! Takriban familia yote mnanichuna! Mnatakata! Mnabadili mboga! Mnanenepa tu! Ikiwa hapo ndiyo nimeposa tu kwenu! Lakini sijaona uliponishukuru!
 
Ni kweli Madame B tumetoka mbali sana aisee ingawa siku hizi umetukumbia sana hata hatukumbukani lol
Hongera sana aisee na namwomba Mungu azidi kutuweka pamoja!
Enjoy being JF Member!
 
Last edited by a moderator:
Wadai si mchoyo wa fadhila!
Kumbe huna lolote! Shemeji u-mwizi wa fadhila,
Fadhila huna! niliyofanya kwenu mnavyonichuna kwenu! Kuanzia Baba mkwe! Mama mkwe! Mashemeji! Takriban familia yote mnanichuna! Mnatakata! Mnabadili mboga! Mnanenepa tu! Ikiwa hapo ndiyo nimeposa tu kwenu! Lakini sijaona uliponishukuru!

Hii mada kesi..
 
Tunafurahi kuwa nawe Jukwaani
Binafsi najifunza mengi kwako

Asante sana Paw jamani.
Pia nashukuru kama kuna ambayo wajifunza toka kwangu,........hata nanyi mwaifanya kazi yenu vyema.
Unajua JF ni zaidi ya Elimu,.... twajifunza mengi sana na twafundishana mengi sana humu,
Binafsi Am Proud to Be a JF Member, nakiri toka ndani ya moyo wangu kbs.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Back
Top Bottom