Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,566
Kitu Preta, kitu sweetlady, kitu marejesho hahaaaaaaaaa!
Wacha nikachukue likizo ya uzazi nikasherekee
Kuanzia sasa nimefuta mpango wa kumtafuta Ayumi, mjomba wangu Preta nitakuagiza mahali uniletee German Shepherd, Madame B, msaidie mjomba wangu kufanikisha hilo.
Erickb52 au Arushaone kama wataleta za kuleta mpango mzima utakuwa hivi: